Tatizo sikukariri number yake.....!.!.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo sikukariri number yake.....!.!.!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SURN, Sep 14, 2011.

1. S

SURN JF-Expert Member

#1
Sep 14, 2011
Joined: Sep 5, 2011
Messages: 313
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
kuna dada mmoja alikuwa na mchumba wake ambaye walipendana sana but becuase ya tamaa zao wote wawili kilitokea hiki kifuatacho:.............................:walitaka kusalitiana lakn hakuna hata mmoja ambaye alikuwa anajua kuwa mwezake anataka kumsaliti.but one day huyu dada alikuwa anasikiliza kipindi cha mahaba redion gafra akasikia kuna kijana mmoja anatafuta mchumba na namba yake ya simu ikatajwa(number ya huyo kijana).yule dada kwakuwa alikuwa analengo la kumsaliti mchumba wake wa kwanza bas aliamua kuinote ile number.basi siku aliamua kuwasiliana na yule kaka ili waingie ktk MAPENZI kwa bahati mbaya au nzuri walikubaliana vzr kuwa wapenz kwa mawasiliano tu bila kuonana.basi walipanga waonane sehemu furani ili wayadumishe mapenz yao vzr maana inaonekana mapenz yao yaliwaka moto kwa mawasiliano tu-................!KICHEKESHO SIKU YA KUONANA!kila mmoja alijiandaa vrz ili akamuone mpenzi wake mpya jins alivyo.DU SIKU YAKUONANA KUMBE WALIKUWA WAPENZ TOKA MDA BILA KUJUA(Walitongozana mara ya pili)

2. Nyati

Nyati JF-Expert Member

#2
Sep 14, 2011
Joined: Mar 6, 2009
Messages: 2,044
Likes Received: 383
Trophy Points: 180
Nakupa mji wa Kabul Afghanistan

3. IGWE

IGWE JF-Expert Member

#3
Sep 14, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,752
Likes Received: 1,326
Trophy Points: 280
waliwasiliana kwa namba zipi_maake navyojua mm namba ya mchumba/mpnz wako ni lazima utakua umeisev,sasa akikupigia au kutuma sms itadisplay id au jina lake,.....acha kuleta hadithi za kumbi na kumbinga mkuu,...bora ungempelekea kanumba hii story ili aicheze filamu

4. S

SURN JF-Expert Member

#4
Sep 14, 2011
Joined: Sep 5, 2011
Messages: 313
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

<br / why kaka?

5. S

SURN JF-Expert Member

#5
Sep 14, 2011
Joined: Sep 5, 2011
Messages: 313
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

<br / think twice simu zipo nyingi

6. IGWE

IGWE JF-Expert Member

#6
Sep 14, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,752
Likes Received: 1,326
Trophy Points: 280
nyingi kivip_fafanua plz

7. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#7
Sep 14, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

hahahaha! Si ndio hapo. Hata sauti wangejua.

8. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#8
Sep 14, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,249
Trophy Points: 280
igunga kungemfaa zaidi

9. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#9
Sep 14, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Kweli ulikosea sana na wewe kwa nini hukukariri, ukakalili? unaona sasa?

10. SnowBall

SnowBall JF-Expert Member

#10
Sep 14, 2011
Joined: Sep 13, 2011
Messages: 3,067
Likes Received: 27
Trophy Points: 145
Yaaan Uliivyoiset utadhani kweli...kwa hiyo unataka kusema wameiba mfuko huu wakaweka mfuko ule...

11. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#11
Sep 14, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Mmh! Uchumba gani huo usio na mawasiano? Ungejua hata ungesema akanunua line mpya kwa mawasiliano tofauti na ile ya mwanzo!

12. S

SURN JF-Expert Member

#12
Sep 14, 2011
Joined: Sep 5, 2011
Messages: 313
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

<br / asante

13. S

SURN JF-Expert Member

#13
Sep 14, 2011
Joined: Sep 5, 2011
Messages: 313
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

<br / siwalikuwa wanadanganyana..ndo mapenz meng ya wabongo

14. M

Mutukwao JF-Expert Member

#14
Sep 14, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 213
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Simamaa kaa,cmamaa kaa ruka rukaruka simamaa kaaa.......

15. ENZO

ENZO JF-Expert Member

#15
Sep 14, 2011
Joined: Sep 30, 2010
Messages: 4,057
Likes Received: 552
Trophy Points: 280
Story yako ipeleke gazeti la ijumaa upate pesa.

16. Ndechumia

Ndechumia JF-Expert Member

#16
Sep 15, 2011
Joined: Jul 15, 2011
Messages: 1,015
Likes Received: 19
Trophy Points: 135
Hizi ni story ya kitoto zaidi, nafkir umr wako si km wa wana jf wengine, bas kama ww ni mkubwa ni Magamba in origin

17. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#17
Sep 15, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160
Uje teena shangazi uje teeena shangazi njoo karibu njoo karibuuuuuuuuuuuuuu.......................................

18. fabinyo

fabinyo JF-Expert Member

#18
Sep 15, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 2,084
Likes Received: 31
Trophy Points: 145
itakuwa ni wewe tu huyo ndio unatabia hizo

19. gmosha48

gmosha48 JF-Expert Member

#19
Sep 15, 2011
Joined: Oct 19, 2010
Messages: 1,955
Likes Received: 500
Trophy Points: 280
Wakaenda ... wakaenda... wakaendaaaa.......Na hadithi yangu ikaishia hapo. Papa! Imara! papa! Waah!

20. g

gwesso Member

#20
Sep 15, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 9
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

huu ni uongo usio enda shule, unadanganya watu wazima bwana na wenye akili zao,
kwani namba zao hawazijui? Kama mmoja alidanganya namba je wa pili hakuweza kugundua
namba ya mwenzake,
sio hilo tu hata sauti hawajuani kweli?
Acha uongo wa kitoto.

Loading...