Nimepata msiba wa baba yangu mdogo...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Messages
472
Points
0

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2010
472 0
[h=6]Jf Members Praise the Lord!

I suddenly loose my Father this morning, RIP baba mdogo. Ooh Lord Give me strength huu mwaka sijui kuna nini, Nahitaji maombi yenu sana kwa sababu nimechoka kabisa Huyu ni mzee wangu wa nne kutangulia mbele za haki tokea huu mwaka uanze. Kikao cha maandalizi kitafanyika pale Legho hotel Sinza kuanzia saa kumi na moja na nusu, naomba ushirikiano wenu wakuu. Mbarikiwe sana.[/h]
 

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,008
Points
1,225

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,008 1,225
POle sana mkuu. Mungu akujalie nguvu za kuweza kukabiliana na majonzi makubwa yaliyokufika. namuombea pia marehemu awekwe mahali pema peponi, amen
 

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
3,820
Points
0

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
3,820 0
Mungu alitoa, Mungu amechukua. Pole sana. Ninamuombea Baba Mdogo Malazi mema na Wewe na Familia yako Mungu awape subira na Nguvu ya kulikabili hili.
 

Forum statistics

Threads 1,380,782
Members 525,872
Posts 33,779,450
Top