Nimejiunga nae ntafanyaje?

Tofty

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2008
Messages
206
Points
195

Tofty

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2008
206 195
Pdidy ulichosema hapo juu ni cha ukweli kabisa, watu wengi waingia kwenye ndoa wakifikiri watambadilisha partner wao na mwisho wao wanakuwa frustrated tu....wahenga walisema ukipenda ua penda na mti wake!

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
5,606
Points
1,225

Gagurito

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
5,606 1,225

Ni mpira upi unaouzungumzia wewe? Ni huu wa futiboli ama kuna tafsida imetumika? Coz wengine CHABO huita mpira. Anyway kama ni kuhusu soka Mwanamke/Mke wa James kafanya vyema kujiunga coz ndege wenye mabawa ya kufanana huruka pamoja, sitegemei kusikia maugomvi ugomvi kwao tena coz itikadi yao kwa sasa ni moja. HOFU YANGU ni kwa huyu Mrs, james, je ataweza kumanage ratiba yake vilivyo? Je ataplay role yake kama mama wa nyumbani vilivyo?

Kama ni mpira wa Chabo kina Mr. ChweChwe wataweka mambo sana!

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,099
Points
2,000

ENZO

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,099 2,000

Halafu raha y chabo umpige mkeo wakati anaoga weeeee!

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,099
Points
2,000

ENZO

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,099 2,000
"james ni mshabiki w atheno na yanga" .......bora amckilize 2 mkewe mana anajiongezea 2 stree ziczokuwa z lazima.

Forum statistics

Threads 1,378,964
Members 525,243
Posts 33,729,664
Top