Fumanizi lipi litakuumiza zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fumanizi lipi litakuumiza zaidi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mapi, Sep 14, 2011.

 1. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Heshma mbele ndugu zangu wa Tz na wana jf kwa ujumla. Polen kwa msiba. Mungu azilaze roho za marehem mahal pema pepon.
  Kwanza naomben ukarbsho wa dhati katka MMU. Nimekuwa nkivnjar kwingne kabla ya hapa.

  Naelewa kwamba hakuna m2 anaependa kushare ile kitu ndio maana hata wengne unapowaulza wanadiriki kusema wataua, yote hyo ni kuonesha namna gan inawakera.

  Ila ningependa kujua yupi atakukera/kuudh zaidi na kwann, endapo utamkuta akingonoka na mpenz wako. Je? Ni ndugu wako wa kuzaliwa (mdogo au mkubwa) au ni mtu mwingine yeyote?
   
 2. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  None is allowed to do so.....! Everyone is totally prohibited....! And cheating does not mean only having sex, but consciously entertaining or allowing any act that is one of my dislikes is also cheating....! And all these results to the same extent of pains....!
   
 3. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  yote si sahihi
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Ngoja likitokea nitarudi...
   
 5. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  @konakal & BPM Nakubal kwamba siyo sahh lakn hata ubaya unazdiana ndugu zangu
   
 6. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #6
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama nakusoma hivi kichwani kwako..unataka kuonesha kuwa undugu uwepo mpaka kwenye kusaidiana kazi za 6x6...af mapenzi ni broad xana bbruh,..co kungonoka tu...so hakuna swali hapo...tena umenikumbusha kile wanachokiita kipima joto kule ITV...swali liko "naked"
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Ndugu zaidi!

  Why? Kwasababu mtu wako wa karibu hutegemei akusalitu/kukuumiza! Mtu mwingine sawa nitaumia na hasa maumivu yatakuwa juu ya spouse wangu; lkn kwa ndugu ni maumivu nadouble double!
   
 8. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nashukuru umelielewa swal ndugu. Kwa nini usimkubal ndugu? Kwan ng'ombe wa bandan sianakula majan aliyowekewa kwenye hori? Hahahahahaha
   
Loading...