Hebu tuchukulie kwamba umekwenda kusoma nje ya nchi, au umekwenda mbali sana na nyumbani kwako kikazi. Umekaa huko kwa miaka miwili . unaporudi, unakuta mkeo ni mjamzito! Hebu niambie ungefanya...
Habari JF!
nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.
Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.
Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo...
kwa asilimia kubwa kwa walioko kwenye ndoa utamani na/au kukumbuka baadhi ya vipengele vya maisha walivyokuwa wakiishi wakati wakiwa bachelor, je ukipewa likizo ya mwezi mmoja kuwa off marriage ni...
Nimebaki dilema kwa huyu dada,amekuwa just a friend since nilipom-approach 2009. Aliniambia yuko single na hayuko tayari kwa mahusiano wakati huo. Kipind chote ninachoendelea kusubiri anasema yuko...
Utakuta mpenz wako anakuambia "nakupenda kutoka moyon" au "moyo unaniuma sana"
je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?.
Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo"...
Ni asubuhi ya Ijumaa Tar. 2/09/2011. Rafiki yangu kaniita Tabata
Anasema ana mazungumzo na mimi. Ninapofika nyumbani kwake
Simkuti, namkuta mkewe naye anajiandaa kuondoka, anamsindikiza...
Wandugu nilikuwa safari,nimerudi nyumbani kwangu usiku wa manane nimemkuta mama mkwe kalala na mke wangu chumbani kwangu,na nina nyumba kubwa tuu ya vyumba 4.niwaeleweje hawa watu na nifanyeje...
Kwa kifupi sana ni hivi. Mwaka 1975 nikiwa mwalimu kijana bado, nilifanya jambo ambalo kwa wakati ule wala halikunisumbua ingawa lilikuwa baya sana. Bila shaka, wale wanaokumbuka mfumo wa elimu wa...
Kukosekana kwa malezi ya dhati ya mama kumeonekana kuwa na athari kubwa juu ya kukua kwa mfumo wa neva wa mtoto na hupelekea kuathiri
saikolojia ya mtoto.
Hii ina maana kwamba...
"you don't love a woman because she is beautful,but she is beautful because you love her and the definition of a beautiful woman is one who loves you"
thnx.
Kiswahili is not among the top 10 sexiest accents, uugh!!!
The world's top 10 sexiest accents
We recently asked our Getaway Facebook community what they thought the worlds sexiest accent was...
ndugu zangu naombeni msaada wa kimawazo
nilikuwa na girlfriend ambaye nilimpenda sana, lakini kwa bahati mbaya nilichukuwa uamuzi wa kumuacha kutokana na kuona ananitesa sana katika mahusiano...
Mie ni kijawa mtanzania ila sipo Tanzania kwa sasa...Ningependa kukutana na marafiki wa kike wenye umri kuanzia 18-26....Mengi tutaongea huko,aliye serious...
Wasichana huwa wanasema umenipenda au umenitaman!. Je unaweza kutamani kitu ambacho haujakipenda?. Mi nashndwa kuelewa kuwa unaweza kumtamani msichana ambae haumpendi.
Nawakilisha.
Katika rabsha za hapa na pale jamaa kalikwaa gono kwa nyumba ndogo. Baada ya siku kadhaa maumivu makali, kaenda hospital kaambiwa ana gono. Kapewa ma-antibayotik, kapona but siku chache baadae...
Nyie wadada mnaonyemelea waume za watu tunaomba kesho siku kuu muwaache wanaume wakae na familia zao na kusheherekea. Kesho muwe wavumilivu mtafute shughuli yoyoye tu ya kufanya. Acheni ku beep na...
Habari wadau. Naamini kila mtu kwa namna moja au nyingine katika maisha yake alishawahi kuomba msaada kwa ndugu yake akapata au asipate. Na katika kuupata/kutopata msaada huo kuna mambo fulani...
Kuna jamaa mmoja jana amefanya kituko..........alikuwa kakaa kijiweni na rafiki zake, ghafla kwa mbali akamuona mama wa mkewe akija na njia ile kilipo kijiwe chao. Jamaa akakimbia na kujificha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.