Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani...
Mimi nina binti kaolewa na ana watoto 2 na wanakaa kwao kwenye nyumba ya yeye na mumewe,mama yuko mko mwingine na wao wako Mkoani lakini anamlalamika mama mkwe wake kila akienda kuwatembelea...
ukipenda chukua ukinuna achana nazoSIRI YA KUMVUTIA MUME MUDA WOTE:
Ni kweli upo kwenye mahusiano na katika mahusiano yako mwanaume uliyenaye ni wa uhakika, safi kabisa na hongera sana.
hata hivyo...
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni...
Kuna usemi uliozoeleka ya kwamba chakula fulani ni kitamu au vyakula fulani ni vitamu. Binafsi nakataa kwa sababu chakula chochote ili kiwe kitamu kinahitaji mapishi mazuri. Ndio maana ukienda...
Natanguliza na salaam.
Kuna dada flani amepatwa na tukio ambalo hakutarajia japo ni mtu amekomaa.Anadai kuwa katika kabila na mila zao hajawahi kuliskia ila ndilo hili linamsumbua akili.
Ni wa...
for those in relationship or married consider this parable and deduce the lesson you can learn to enhance your r/ship or marriage.
A little bird was flying in winter..The bird froze and fell on...
Wanajamii katika maisha ya ndoa binadamu tunakutana na mengi. Ni hili lililotokea karibuni ndio limenishangaza zaidi mwenzenu! Jamaa amemuacha mke na watoto wake na kutimkia kwa mama yake! Hii...
Kama wewe ni kizazi cha Adam na Hawa basi suala la ndoa linakuhusu sana na ndoa ni kitu beautiful, Kwani huleta mahusiano ya kutosheleza yanayowaunganisha watu wawili mke na mume.Inapendeza kwamba...
Kama nimeipenda, utaipenda tu
:)
********************
Photo/FILEFor various reasons, remaining legally married but leading separate lives under the same roof is a trend...
Yawezekana aijakukuta lakini nakutaarifu tu
mistake za kuwazoesha waume zenu na mashoga zenu madhara yake ni makubwa sana
sipendi kukimbilia kila kosa shetan shetani lakini kama tunaweza kuavoid...
The home great thinkers,hv kuna namna yoyote m2 anaweza apply ili kupunguza au kuzuia kabisa kuwaka kwa tamaa za mwili ambazo lengo lake kubwa ni kutuangamiza?
Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25.
Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo...
Mi kijana wa kiume,umri wangu ni miaka 28,nipo dar.
Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo
-awe mcha mungu,kristo
-umri kati ya miaka 20-25
-awe mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa au mkoa...
Watu hawahofii kufa, Biashara ya short time naona imekuwa utaratibu wa kawaida manake jana katika kutafuta Mahala pa kulala nimeshuhudia mengi. Watu wametoka ofisi moja wanapitiliza guest then...
AT least kwa hapa TZ, hususani ukanda wa pwani, wanawake ni watu wanaopenda sana mipasho na maongezi ya mafumbo!!! Bila shaka ni wahitimu wazuri wa baadhi ya tanzu za fasihi simulizi. Last week...
....Kutokana na maisha kuwa magumu kwa kila mwanadamu lakini kwa kiasi kikubwa tukiwa tunapishana hata uwezo wa kimaisha,jamii yetu leo hii imekuwa ya kukwepa majukumu ambayo kimsingi ina ulazima...
ukifuatilia kwa makini habari zinazochapishwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini tabia za ushoga na usagaji zinazidi kushika kasi. siku hata siku.
Jee kuna haja ya serikali kupitisha...
Shirika la ujasusi la Marekani linatutabiria waafrika zaidi ya milioni mia sita kupoteza uhai kati ya miaka 10 hadi 15 ijayo kutokana na ngono zembe.................hali hii yamaanisha ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.