Vyakula vyote ni vitamu

JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
552
234
Kuna usemi uliozoeleka ya kwamba chakula fulani ni kitamu au vyakula fulani ni vitamu. Binafsi nakataa kwa sababu chakula chochote ili kiwe kitamu kinahitaji mapishi mazuri. Ndio maana ukienda kwenye hoteli au mgahawa kujipatia chakula chohote ambacho nasfi yako imekipenda alafu ukakuta mpishi anajua namana ya kuchanganya vioungo nya chakula vizuri na varieties of food lazima utasifia na inapobidi kusimulia rafiki zako kuwa mgahawa huo ndio utakuwa wa kwako pale unapotaka kula chakula na fufurhia mlo wako.

Kwa mfano wakazi wa arusha wana kitu inaitwa trupa cha ajabu bar nyingi walikuwa wanatengeneza lakini kuna bar ambayo watu walipendelea kwenda kuila kwa kuwa mpichi wake aliipatia haswaa.

Kwa hiyo ili tufuraie vyakula vyetu sharti tuwe wapishi wazuri.
 
Mhhh haya bana
ngoja waje wenyewe watakuambia uzuri wa chakula na mapishi maana chawez akuwa chakula kile kile ila mapishi yanatofautiana so to say hata ladha itakuwa tofauti
 
mapishi ndo mpango mzima,ufundi wa kuchanganya viungo ndo huongeza utamu wa chakula
 
quantity kwanza,quality baadae..................thats the theory when we were in college
 
unamaanisha nini? nadhani nimekuelewa tofauti na wenzangu. kama ndivo navyodhani then umepatia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom