Unamsaidiaje member mwenzako wa jf?

Soso J

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
1,976
1,220
....Kutokana na maisha kuwa magumu kwa kila mwanadamu lakini kwa kiasi kikubwa tukiwa tunapishana hata uwezo wa kimaisha,jamii yetu leo hii imekuwa ya kukwepa majukumu ambayo kimsingi ina ulazima wkt mwngne kuonyesha wazi wazi ni kiasi gan unao uwezo juu ya msaada unaohitajika,
Mimi nikiwa jnr member ndan ya JF leo hii nategemea kupata mwongozo bora toka kwa wale ambao JF yenyewe imethubutu kuwaita SENIOR MEMBERS NA SENIOR EXPERT MEMBERS wa JF,msaada niliogusia hapo juu sio wa fedha,chakula,maradhi au mavazi ni msaada wa mawazo,ushauri juu ya elimu zetu tofauti tofauti za darasani,mtaani na kwingineko kote elimu inapoweza patikana,sisi tulio junior members daima tunakuwa nyuma ya wale wakongwe,yoote ni ktk kuendeleza mtandao wetu wa kijamii ili uweze kuwa huru,imara na wenye manufaa kwa wote walio na mapenzi ya dhati na JF
Mwongozo huo toka kwa hao wakongwe ndio utakaofanya Jf iwe mfano wa kuigwa na wa kipekee,kwakuwa vitu kama matusi,kejeli, na vinginevyo visivyo vya msingi kutokuwepo........Daima tuwe imara kuombeana maisha mema,kukumbushana yaliyo ya msingi,kuonyana,kupeana ushauri na kuelekezana!
Daima nitaipenda JF......na kila member kwa imani yake dhabiti amshukuru Mwenyezi Mungu kwa kupata uwezo na nguvu wa kushirikiana na members wengne ndani ya JF...hii ndio maaana halisi ya SOCIAL INTERACTIONS!!
GOD BLESS JF,GOD BLESS MEMBERS WA JF.
 
Sijui kama nimekuelewa vizuri, ila hapa JF kama unahitaji msaada wowote kuna kategori za majukwaa, unaenda huko unapost shida zako na watu wanakusaidia!
Halafu kua Senior au EXpert JF member inategemea number za post tu. We hata leo ukiamua kupost sana utajikuta tu unakua senior then Expert Member! Ila kama unataka kua Premium Member lazima utoe kitu kidogo bana!
 
Karibu sana Jf Mkubwa.
Naona hayo majina yanakukanganya.
NIjuavyo mie mchanganuo wake upo hiv
0-9 posts wewe ni junior member.
10-49 posts wewe ni member
50-249 post wewe ni senior membe.
250 na kuendelea to infinity utaitwa senior expert member.so kuwa senior expert member ni kasi yako tu,angalia nimejiunga tar 7 sept na leo hii nimefikia status hiyo.
Kuwa premium Member watakiwa kuchangia JF nadhani kuanzia elfu 10.hata ukiwa na post 10 ukichangia watabadili status yako na kuwa JF premium member.Nakushauri uchangie na mie nipo mbioni.Wasalam.
OTIS.
 
Zanta sawa bwana....am glad umenielewesha lkn,pia hapo hapo juu nilitoa somo pia
 
kaka dusheleelele nimekupata mkuu....nashukuru saaana.lkn nimetoa somo pia
 
Mfano mzuri sana .Mfano mwingine ni mimi nimejiunga muda mrefu sana tokea 2008 ila nilipoteza Password na kila nilikuwa nikiomba nipatiwe password mpya nilikosa mrejesho hadi 2 weeks ago wakasikia kilio changu.Tunasonga pamoja na tutafika lengo ikiwa ni kuelimishana/kupashana habari/kufundishana na hata kuburudishana.
Karibu sana Jf Mkubwa.
Naona hayo majina yanakukanganya.
NIjuavyo mie mchanganuo wake upo hiv
0-9 posts wewe ni junior member.
10-49 posts wewe ni member
50-249 post wewe ni senior membe.
250 na kuendelea to infinity utaitwa senior expert member.so kuwa senior expert member ni kasi yako tu,angalia nimejiunga tar 7 sept na leo hii nimefikia status hiyo.
Kuwa premium Member watakiwa kuchangia JF nadhani kuanzia elfu 10.hata ukiwa na post 10 ukichangia watabadili status yako na kuwa JF premium member.Nakushauri uchangie na mie nipo mbioni.Wasalam.
OTIS.
 
Mfano mzuri sana .Mfano mwingine ni mimi nimejiunga muda mrefu sana tokea 2008 ila nilipoteza Password na kila nilikuwa nikiomba nipatiwe password mpya nilikosa mrejesho hadi 2 weeks ago wakasikia kilio changu.Tunasonga pamoja na tutafika lengo ikiwa ni kuelimishana/kupashana habari/kufundishana na hata kuburudishana.

pamoja mkubwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom