Kama we ni mwanamke mwenye sifa hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama we ni mwanamke mwenye sifa hizi

Discussion in 'Love Connect' started by msani, Sep 20, 2011.

 1. msani

  msani JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mi kijana wa kiume,umri wangu ni miaka 28,nipo dar.
  Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo
  -awe mcha mungu,kristo
  -umri kati ya miaka 20-25
  -awe mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa au mkoa mwingine wowote isipokuwa arusha na kilimanjaro
  -asiwe mnene sana ila kama mwembamba mrefu ni sawa lkn sio lazima
  -elimu isiyopungua kidato cha 6 na isiyozidi degree 1
  -asiwe na mtoto wala hajawahi kuolewa
  mambo mengine ni ya kuongea sisi wawili
  kama unamaanisha na una sifa hizo naomba tuwasiliane,na nikimpata nitatoa taarifa kwa wana jf ili kusiwepo na usiri na ijulikane kuwa nina mtu tayari

  nawasilisha
   
 2. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kila la kheri,
  I almost got it,hapo kwenye unene ndo pameniharibia
   
 3. msani

  msani JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  usijali wewe utakuwa ni wa mtu mwingine,siwezi kukuambia upunguze maana kuna mwingine anahitaji sifa kama zako dada
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wata ku pm mkuu
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  suala la kumpata mke mwema a.k.a mwenza na msaidizi wa maisha ya mwanaume sio suala la lelemama ni suala mtambuka..naomba lichukuliwe kwa unyeti wake...niwasilishe
   
 6. msani

  msani JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  jamani mi niko serious,kama kweli una hizo tuwasiliane,naomba kwa wale ambao hawana hizo wasinitumie msg au hakuna msichana mwenye sifa na ambaye anahitaji mtu mwenye sifa kama zangu,tuwasiliane kwa address famon1987@yahoo.com
   
Loading...