Kuna familia mbili wake na waume zao walikua marafiki sana kwa bahati mbaya mume wa mke m1 akafariki, yule mke mjane akawa anaendeleza urafiki na kuomba misaada kwa rafiki zake hao na mume wa...
Love is everywhere, in every type of relationship, waiting patiently to be discovered to those who are open to it.
1. Love Is Not Demanding - Giving is at every core of all that Love is. So if...
Huwezi kujua mchango wako mpaka pale taadhira zake (Impact) zinapoonekana. Wana MMU mjue kuwa kuja kwangu humu mmenisaidia sana kuandika Script ya Movie ya ukweli. Michango yenu imeonyesha kwa...
wanajf nilishawahi kupost siku za hapo nyuma kuwa napenda ngono sana.Lakini siku za hivi karibuni hii hali imezidi kuongezeka nina hamu sana ya ngono yani hata nikiangalia watu wanakiss kidogo...
BAADHI ya wanaume wenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) wanaotumia dawa za kurefusha maisha wamejikuta wakivimba matiti yao na kuwa makubwa kama ya wanawake.
Vilevile, wanawake...
Kwa watu wenye kufuata misimamo fulani ya kiitikadi kufuga midevu ni swala la Sunnha. Lakini mijanaume mingi hadi sehemu nyingine nywele huwa hazinyolewi hadi wapigizane mikelele na wapenzi wao...
Nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike aniPM ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu...
Je unadhani kwenye vurugu za kindoa, fedha haina mchango wake? Kama unadhani hivyo, utakuwa umekosea sana. Hebu soma kuhusiana na utafiti huu uliofanyika kule Marekani.
Utafiti uliowahi...
nina miaka 26 nina g.f ambaye yuko mbali kwa sasa sijaoa. umbo la wastani kg65, urefu cm164 napenda sana mpira situmii kilevii sipendi kwenda club elimu yangu ya juu... natafuta mrembo wa...
Which do you think is the most difficult/challenging stage of marriage?
First 2 years
While raising children
After the kids have moved out and gone
If none of the above,please give your...
Tendo la ndoa linapopewa uzito mkubwa kwenye uhusiano wivu ni lazima utakuwa mkubwa. Mtu akiacha tendo la ndoa na wivu huondoka. Wapenzi ambao hawapendani na kufikia mahali hakuna anayetaka...
Habari wana jamvi, naimani wengi wenu bado mpo kwenye maeneo yenu ya kazi...
Kwakifupi mimi ni kijana wakiume miaka kati ya 20-25, nafanya kazi kwenye duka la babaangu ya kuuza spare za magari...
Ndugu zanguni wana MMU nawasalimuni salamu za upendo wa dhati kabisa.NAWAPENDA SANA.
Jamani hapa mtaani kwetu kuna dada mmoja alikuwa na mpenzi wake wakaachana, lakini siku za jirani kapata katoto...
ni kweli msichana anapokosa mapenzi ya dhati kutoka kwa boyfriend wake na kuchukua uamuzi wa kuwa na mume wamtu inamsaidia kutulia na kuweza kuenjoy mapenzi?
Habarini jf members! Sasa mimi kama nilivyojieleza ni mgeni katika ulimwengu wa wapendanao kwa ufup sijawahi jihusisha kabisa na harakati za kutafuta au kudeal na wasichana hadi sasa ila nadhani...
habari zenyu bana!?.
hii ni siri nakupeni wewe mwanaume mwenye kuwa na girlfriend au mke,usije ukathubutu kumtania mpenzi wako mambo yanayohusiana na mapenzi.kwa mfano umwambie"nampenda rafiki...
Jana jirani yangu wamebwatizana na mkewe kisa jamaa karudi nyumbani saa Nne usiku wakati kawaida yake saa mbili huwa anakuwa sebuleni anaangalia TV.
Nikajiuliza kwani ni haki kwa mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.