Mama mwenye nyumba

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,094
0
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,213
2,000

Kama ni mndengereko, uguswaye na ufahamu...Body language inawsilisha ujumbe kaka...sasa kama hujawahi kunyofolewa nyeti jaribu kurespond positively!...usidanganyike kuwa baba mwenye nyumba ni dereva wa magari makubwa ya Lubumbashi ...lol!
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
55,997
2,000
makubwa hayo, mkalishe chini muulize ni nini anachokitaka kutoka kwako/
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?

Hebu tufafanulie kidogo hapo
 
Kiraka

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
2,767
2,000
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?

Mumewe alishakuona unavyo mmezea mate mkewe, kamwambia ahakikishe anakupata then mumewe atakupandia juu... shauri yako.. kaa chonjo!! nakushauri hama hiyo nyumba la si hivyo..waweza olewa humo!
 
Mabel

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,134
1,500
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
MKUU mimi nakushauri uhame hiyo nyumba halafu jaribu kuepuka kuwa nae karibu, atakuharibu, na atakuharibishia pia. Inaonekana na wewe uko karibu sana na huyo mama, mara kalio, mara akupige Ikulu. Achana nae.
 
czar

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
340
0
Chunga utaja kojoa dagaaa. Burudika nae then hama fasta siku inayofuata tena tuma mtu aje akuchukulie vyombo vyako wewe usin'gae tena pale.
 
Muacici

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
208
195
Kuwa serious kijana, vunja ukimya na huyo mama, mweleze hutaki mzaha, ata acha mwenyewe. Ila inaonekana unapenda!!!
 
Wakuchakachua

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
346
0
Mpe nyie akina baba si hodari na ku Do out ni moja ya uanaume wenu , unauliza nini sasa si ufahari kwenu??????
 
mbombongafu

Member
Nov 1, 2010
61
0
Kama una mpango wa kumrukia mrukie tu ila kama hutaki hama kwenye hiyo nyumba utakuja ondoka kwa aibu wenye nyumba wana vituko sana
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,775
2,000
Mpeleke mpenzi wako ukae nae hata siku mbili tatu. Labda mother house ameona una unyege.
 
semango

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
532
195
Kabla ya kukushauri kwanza sema mumewe huyo mama yuko wapi?na huyo mama yukoje ki muonekano na kitabia?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom