ngono zembe ni kiama cha waafrika yabashiri CIA.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ngono zembe ni kiama cha waafrika yabashiri CIA..............

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Sep 20, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Shirika la ujasusi la Marekani linatutabiria waafrika zaidi ya milioni mia sita kupoteza uhai kati ya miaka 10 hadi 15 ijayo kutokana na ngono zembe.................hali hii yamaanisha ya kuwa asilimia zaidi ya 75 ya waafrika kufa katika kipindi hicho..............kutokana na balaa ya ukimwi..

  pili wanabashiri ya kuwa asilimia 25 ya watu wote dunaini watakufa kwa sababu ya ukimwi katika muda huo huo..................mbaya zaidi CIA inaona hapatakuwepo na kinga au tiba ya maana katika kipindi hicho kutokana na gonjwa hili kuwa ni laana zilizoandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.........ya kuwa malaika wa Mungu (Angel of death) ataiteketeza 25% ya walimwengu kama ishara za kuanza safari ya mwisho wa dunia na Muumba kuonyesha ghadhabu yake kwa maovu yetu...................CIA wanaamini mwisho wa dunia umeanza kusogea sana na dunia hii haina miaka 500 mbeleni...............

  waumini wa ngono zembe mpo????????????????????????????????????????


  chongeni majeneza na chagueni maeneo ya kuzikwa huku mkiandika wosia wa mlichonacho kiende wapi..........................ila acheni kusingizia magonjwa mengine na kuendelea kumkashifu Muumba kwa uongo kuwa malaria sugu, kifaduro, moyo, shinikizo la damu, kisukari kubwa.............na laana zifananazo na hizo ndizo zimewaangamiza......semeni ukweli kuwa ni ngono zembe ndiyo imewafikisha kwenye kiama tajwa.............huu utakuwa msaada wa kuelimisha wale wanaobaki.................the remnants........just as it was prophesied in the Bible........

  SOURCE: A book called "THE SIGNATURE OF GOD"...........................................kitafuteni kwa bidii na mkisome kwa uangalifu..............

  [​IMG]
   
 2. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hatimaye majasusi wahubiri injili,
  Kwa
  sababu, ukimkiri Yesu
  kwa kinywa chako ya kuwa ni
  Bwana, na kuamini moyoni
  mwako ya kuwa Mungu
  alimfufua katika wafu,
  utaokoka. Kwa kuwa, kila
  atakayeliitia Jina la Bwana
  ataokoka. Warumi 10:9, 13.
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mhhhhhhhhhhh! sina la kusema hapo
   
 4. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnh! haya bana
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  wokovu unaoongelewa hapo ni wa kiroho.........................kimwili kibanio kipo pale pale.............
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu kumbe ndio maana short time kila lorge kweli tutaisha..
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  REVELATION OF CHRIST JESUS: " Then the Lamb broke open the fourth seal; and I heard the fourth living creature say, "Come!" I looked, and there was a pale-coloured horse. Its rider was named Death, and Hades followed closely behind. They were given authority over a quarter of the earth, to kill by means of war, famine, disease, and wild animals." Revelation 6:7-8
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  tusipobadili tabia kwa vitendo tukaendelea kujidanganya ya kuwa vvu imepungua....................sijui kasi ya kuambukiza tumeithibiti wakati tunajua sote ya kuwa ........the situation is getting worse by the day...................................................njia ya mwongo ni fupi nayo ni mauti................uongo au hadaa ni za muda tu lakini kiama kipo palepale...........................and it is very sad kwa Afrika yote...........tunapoteza muda kuongelea maendeleo wakati tutakufa hivi karibuni na wengi wetu hata hatua ya kufaidi ujuzi tulionao ni kidogo mno............
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa Ruta hali ni mbaya sana na ukilinganisha na ugumu wa maisha ndio kitu kikubwa ambacho kinaponza watu kibao nenda corner bar sinza hali ni mbaya hela yako tu.

  maisha ya magumu na watu wanaotakiwa kuya rahisisha wameshindwa..
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Chat za ngono ndio twaongoza...
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  La ajabu waathirika ndiyo wanaongoza kwa Kumlaani Muumba wakidhani amewaonea............................but the Almighty GOD is wisdom and knows what is best for us..................................

  kwa kujifariji someni......Isaiah 57:1 " The righteous perishes, and no one takes it to heart. The merciful is taken away but no one considers the righteous men are taken away from evil."

  there are few hiv victims who are being taken away from evil......................that a fornicating partner afflicted them with a killer punch while they had done nothing to provoke the anger and wrath of the Father of lights....................
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  nina classmate wangu ni dakitari hapo Muhimbili na ni specialist wa magonjwa ya zinaa and in particular HIV......................kaniambia tusisikilize wanasiasa ambao kila siku wanawahadaa wananchi ya kuwa kasi ya maambukizi ya HIV inapungua............vipimo vya wagonjwa pale Moi vinathibitisha ya kuwa this nation is on a wreck path...........

  tusitegemee maajabu hapo ila maafa tu..................................utashangaa wanafunzi mashuleni wanavyoitumia muda mwingi kujipanga kuharibu maisha yao..............kwa ngono zembea..............hata hii education for all as a national policy needs rethinking.................75% ya hao tunaowagharimia mashuleni ............will not live to contribute to the growth our measly GDP...........................then why waste too much cash there.............that money should have gone to educating these youngsters to abandon their sexual immorality ways..................

  Iko shida sana katika nchi inaoabudu waganga wa kienyeji kuwa wafanikisha maisha yao badala ya kumtafuta Mungu wa kweli........
   
Loading...