Asilimia 40 ya mashoga zenu wanawaibia waume zenu watch out!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asilimia 40 ya mashoga zenu wanawaibia waume zenu watch out!!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 20, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Yawezekana aijakukuta lakini nakutaarifu tu
  mistake za kuwazoesha waume zenu na mashoga zenu madhara yake ni makubwa sana
  sipendi kukimbilia kila kosa shetan shetani lakini kama tunaweza kuavoid
  si mbaya tukampunguzia shetani dhambi jamani....hii mambo ya kwenda taarabu na shoga wako
  na mumeo alafu unaenda kucheza koma kabisa asilimia nyingi ya ndoa za watu zinaangamia kwa sababu
  ya marafiki zenu mabinti...kuweni makini na hli hata wewe unaeenda kuolewa hivi karibuni
  sikia uwe macho mapenzi yenu ya zamani na marafiki zako usihusishe kabisa na mumeo

  KIKULACHO KINGONI MWAKO SHOST ......MSIMSINGIZIE SHETANI KILA KITU SHETNA NYIE WENYEWE
   
 2. K

  Kyeli Lula Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pdidy umesema ukweli mtupu yalishawahi kunikuta hayo mambo yapo sana mashoga sio watu wakuwaachhia hata sekune moja na mumeo hapoa hapo ila inategemea na tabia ya mwanaume pia kama ni kimeo hata umwachie mwanao uliyezaana baba mwingine atamtokea tu
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  pamoja na kusema tabia ya mumeo jua mpwa wanaume tumeumbwa kupenda shartikwa wamama kutunza kile walichopata
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sawa shostisho
   
 5. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  You appear to be very judgemental, immature with an attitude problem that will not be tolerated by the JF society. You also sound very bitter and angry with most of your pings. Just this once i will beg you to post something positive for a change. Stay blessed.
   
 6. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Andika lugha iliyotumika. Kutumia kiingereza hakukupandishi chati yoyote, bali ni kukujengea dharau na chuki.

  Alichokisema mwandishi hapo juu ni cha kweli fika. Na kosa wanalolifanya wenzetu ni kujisifia, hii inamshawishi huyo shostito wake kutaka naye kuonja! INATOKEA NA ITAENDELEA KUTOKEA.
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Pdidy acha vituko bwana mtu mzima anaibiwaje alimvizia kalala akambeba au sijakuelewa
   
 8. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  wanawake wengi hupendi kutoa mambo yao ya ndani kwa mashoga zao hii inawagharimu sana kwani huyo rafikiye anajua / kumjua mwanaume zaidi hivyo anajirahisi
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  shogako siku zote ni mamako mzazi,mwanao,bibi yako kama yuko hai.....walobaki wawe ni watu mnaojuana tu!
   
 10. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kuna mambo husimuliana wanawake kutokana na kipigo kikali cha kitandani je anaweza kumsimulia mam yake mzazi na je atamwangaliaje mkwe wake???
   
 11. s

  shosti JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kwani lazima usimulie...mwanamke gani wewe mdomo wazi kama 7-Eleven,na kama huwezi kunyamaza bibi yako yupo,ongea nae nadhani bibi inakuwa rahisi zaidi
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  ongea kiswahili fasaha kila mtu aelewe acha kutuandikia kimangati
  mmh na hiyo statement yako ya mwisho aku wala sitaki kuwablessed na unafiki ninachotoa kinatoka moyoni wala sio mdomoni shost
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  alienda na shostito mwenzake na mzee pale traventine mziki ukakolea best asiamke kwenda kucheza amwache mumewe na mzee arudi anakuta wamelaliana upande mmoja huku wakifarijiaana bibie anajua kucheza
  bado wewe mkwe wangu na mwaka huu sipokei mwanangu wa kike wa kiume ruksa kurudi nyumban
   
 14. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Asante bidada kwa angalizo.
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  alijiimbia Issa Matona(RIP):
  shoga mkaribishe barazani,wifi sebuleni, mme chumbani,naamini alikuwa na maana.Mwenyezi Mungu amrehemu pahala pema peponi Amin.
   
Loading...