Ukishapata mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukishapata mtoto

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, Sep 27, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  What changes when you have a baby?
  Or say: What doesn't change after you get a baby?

  1.You finally stop to smell the roses, because your baby is in your arms. You find your baby smells better that anything.

  2. The sacrifices you thought you made to have a child no longer seem like sacrifices.

  3. You respect your body ... finally.

  5. You respect your parents and love them in a new way.

  6. You find that your baby's pain feels much worse than your own.

  7. You believe once again in the things you believed in as a child.

  8. You lose touch with the people in your life whom you should have banished years ago.

  9. Your heart breaks much more easily.

  10. You think of someone else 234,836,178,976 times a day.

  11. Every day is a surprise, Then say "God is Great"!

  12. Bodily functions are no longer repulsive. In fact, they please you. (Hooray for poop!)

  13. You look at your baby in the mirror instead of yourself.

  14. You become a morning person.

  15. Your love becomes limitless, a superhuman power.
  16.You discover how much there is to say about one tooth.

  17.You finally realize that true joy doesn't come from material wealth.

  18.You now know where the sun comes from.

  19.You'd rather buy a plastic tricycle than those shoes that you've been dying to have.

  20. You realize that although sticky, lollipops have magical powers.

  21. You don't mind going to bed at 9 p.m.

  I love my daughter,whenever i think of her i get more strength to do more
  of what i do.
  What hasn't changed?mmmh,....i think of others (mum,dad and my daughter) than before.

  Is this common to all?men and women?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  toka ubadili jina na avatar unatuchanganya sometimes....

  weka avatar ya jinsia yako basi mkuu...
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Shhhh,kimya kimya basi.
  Afu ahadi yako hujatimiza hadi leo.

  Back to the topic,...changia mada basi
   
 4. J

  Japhari the Gun Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuso bana
   
 5. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Clemmy
  Kila ulichopoint ni kweli tupu,binafsi nakuelewa sana bana #19 its sooo true i get hurt even in reading kama leo nimeona post ya Mtambuzi i cudnt help nimejiskia vibaya sana eti mtoto wa kike shida tangu tumboni..what u point out my dear is very true..
  Thanks for the nice thread...be blessed
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Thanks Lolyz,..
  please don't burst into tears.

  Binafsi nimegundua kwamba hata kama ulikua humthamini mzazi wako
  kwa kiasi unacho paswa baada ya kupata mtoto na kuanza majukumu
  unagundua ni jinsi gani alikua ana hangaika kwa ajili yako na
  upendo kwao unaongezeka mara dufu
   
 7. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni mabadiliko makubwa sana yanatikea hasa kwa mama, nimeiona kwa sister angu alikuwa ni mtu mababe asiokuwa na huruma kabisa lakini tangu amekuwa na mtoto kabadilika mpaka kwa wengine hata ule ubabe sijui umeishia wapi, anapenda mpaka watoto wa wengine.
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haha,inaonekana kama mzazi ukiona mtoto hakuheshimu
  muombee apate ujauzito kwanza haha
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu ahhh badili avatar yako bana unatuchanganya
  Nimeipenda mkuu na asante sana
  <Kweli a lot of changes zimetokea toka kupata watoto
  Kuna raha yake bana na hata msimamo au muonekano unabadilika baada ya kupata mtoto
  Asante sana mkuu
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Naihisi ni ndio hivyo coz sister amekuwa mtu mzuri sana hata ukiwa na shida unaweza mkaongea na akakushauri!
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haswa kuhusu msimamo lazima ubadilike,unajiona sasa umekua.
  mentally unaona kama umevuka stage ya utoto (hata kama una mtoto at 17) na uko
  kwenye utu uzima na majukumu sasa.

  Kuhusu avatar:
  Mmmh,inaonekana wadada wanashida kweli humu.
  Kuna jamaa alinitumia PM akiuliza kitu kingine,tumechat fresh
  baadae akaanza kutongoza hahaha,.... (sio mwenyeji wa MMU)
   
 12. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  it seems you have a child now,congrats!
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Thanks,..you are right
  she is 2.6 years
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Yeah na mkuu mtoto ana raha yake bana
  Yaani u feel him or her when u hold her or him in your hands
  Ana kitu cha ziada ambacho unajiona you are proud of having that baby
  Na ukiangalia ukuaji wake na maendeleo yake unamshukuru sana Mungu


  Avatar kweli mkuu hapo lazima watu wapate shida
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  naomba niwe baba mkwe wako maana nina kavulana ka miaka mitano aise
   
 16. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  eeh! mungu baba huyu anaozesha watoto wadogo!!!
   
 17. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  baba mkwe mratajiwa bana
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha,hiyo labda waje kukutana
  wenyewe (kama wako destined kuwa pamoja) then waamue.
  Tutajuana waki tuhusisha kwenye mahusiano yao haha
   
 19. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wajinga dio waliwao,...
  huyu dada ni mnyarwanda,anaimba kwaya ya "Ambassadors of Christ choir"

  Watu wanapenda avatar kweli wanajikuta wanatongoza midume duh
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Hiyo inaanza kwetu sisi bana
  kama sisi tukiwa close bila shaka na wao wataiga hizo mambo na watakuwa close na utajakuta undugu umekuwa na nishakuwa baba mkwe wako bana
   
Loading...