Kufunga macho kwa mabinti ni aibu ama maumivu ?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
Nimewiwa kuuliza hili hiivi wakati wanandoa mkiwa mnakula lile tunda
wengi wamekuwa wakisema nanii wenzao wanafunga macho
na wengine huanzia hata wakati wa romance na mpaka unapoanza
kumantain above see level bado wanakuwa wanafunga macho

najiuliza hii ni kwa kuona aibu ama wanapofunga macho wanakuwa
wanasikilizia maumivu?? Na kama maumivu iweje waje kuiita rahaa baada
ya sekunde kadhaa tena sio raha tu yaani tamuuuuuuuuuu tamuuuuuu!!!!
 
ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,219
1,677
Nimewiwa
kuuliza hili hiivi wakati waandoa mkiwa mnakula lie tunda
wengi wamekuwa wakisema nanii wenzao wanafunga macho
na wengine huanzia hata wakati wa romance na mpaka unapoanza
kumantain above see level bado wanakuwa wanafunga macho

najiuliza hii ni kwa kuona aibu ama wanapofunga macho wanakuwa
wanasikilizia maumivu??na kama maumivu iweje waje kuiita rahaa baada
ya sekunde kadhaa tena sio raha tu yaani tamuuuuuuuuuu tamuuuuuu!!!!

Hahahahahaha......... Pdidy bhana!! huwa wanackilizia utamu. ila embu 2subiri wafungaji hayo macho watwambie huwa wanackilizia nn.
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,777
4,625
ukiona hvo wengi wao ukiacha wale wezi,wengi wao huwa wanaloose their minds,lyk they in the other world...............huuuuh
 
feis buku

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
2,343
674
nimewiwa kuuliza hili hiivi wakati waandoa mkiwa mnakula lie tunda wengi wamekuwa wakisema nanii wenzao wanafunga macho na wengine huanzia hata wakati wa romance na mpaka unapoanzakumantain above see level bado wanakuwa wanafunga machonajiuliza hii ni kwa kuona aibu ama wanapofunga macho wanakuwawanasikilizia maumivu??na kama maumivu iweje waje kuiita rahaa baadaya sekunde kadhaa tena sio raha tu yaani tamuuuuuuuuuu tamuuuuuu!!!!
mmmh! Unamaneno ya kitumishi/kilokole!! Eti nimewiwa!!!
 
lolyz

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
339
197
Nimewiwa
kuuliza hili hiivi wakati waandoa mkiwa mnakula lie tunda
najiuliza hii ni kwa kuona aibu ama wanapofunga macho wanakuwa
wanasikilizia maumivu??na kama maumivu iweje waje kuiita rahaa baada
ya sekunde kadhaa tena sio raha tu yaani tamuuuuuuuuuu tamuuuuuu!!!!

Pdidy we huwa hufungi machooooo????
I tend to close my eyes as well - so that I can totally absorb myself in the moment. I don't do it on purpose - or to avoid eye contact - it just happens. I do peek once in awhile though
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
ukiona hvo wengi wao ukiacha wale wezi,wengi wao huwa wanaloose their minds,lyk they in the other world...............huuuuh

mkiataba feki umenifurahisha
umenikumbusha mbali niliambiwa na dk mmoja ukitaka kuchelewa kumwaga usiniulize nini
kumbuka mbayawako basi nikiwa shugulini namkumbuka prof mmoja wa somo la maji anaitwa
mayo basi nikifikiria somo lake yaani pale nashinda hata wiki aitoki ndugu yangu hii niuwazi na ukweli
ama kama uamini jaribu
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
pdidy we huwa hufungi machooooo????
I tend to close my eyes as well - so that i can totally absorb myself in the moment. I don't do it on purpose - or to avoid eye contact - it just happens. I do peek once in awhile though

yaani umemaliza kila kitu ma dear ni kweli wengine inakuja automatic ila msijekuwa mnakumbuka machungu ili tupate muda wa kukesha kuzitafuta zilipo
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
Pdidy we huwa hufungi machooooo????
I tend to close my eyes as well - so that I can totally absorb myself in the moment. I don't do it on purpose - or to avoid eye contact - it just happens. I do peek once in awhile though

mwaya tukifunga wote macho si shetan atakuja tusimwone jamani!!huwa lazima mmmoja awe macho kumkimbiza shetan
 
Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,326
2,228
Nimewiwa
kuuliza hili hiivi wakati waandoa mkiwa mnakula lie tunda
wengi wamekuwa wakisema nanii wenzao wanafunga macho
na wengine huanzia hata wakati wa romance na mpaka unapoanza
kumantain above see level bado wanakuwa wanafunga macho

najiuliza hii ni kwa kuona aibu ama wanapofunga macho wanakuwa
wanasikilizia maumivu??na kama maumivu iweje waje kuiita rahaa baada
ya sekunde kadhaa tena sio raha tu yaani tamuuuuuuuuuu tamuuuuuu!!!!

Haha,hivi umewahi kujiuliza itakuaje
una kiss na mwenzako afu kakukodolea jicho?
au wote mna kodoleana macho?
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
haha,hivi umewahi kujiuliza itakuaje
una kiss na mwenzako afu kakukodolea jicho?
Au wote mna kodoleana macho?

samahani kwa ndugu zangu wachaga
clemmy kama ushawahi kwenda harusi za wachaga unajua kwa nini wanashikana mikono...
Hili nakusaidia usishangae ukimpata mchaga akikupa penzi ndio kwanza anakutolea jicho
kama umeshika surua li upande wa kulia
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
siku ya ww pdiddy kupewa uppostle mimi ntapewa ushemasi ama uzee wa kanisa

teeehh teeehhh hivyo appostle;ushemasi gaianeni
mi nataka uweka hazina bana ,,nataka kula mema ya nchi hapa hapa duniani!!!!!!!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom