kulala hivi inawezekana?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,223
Nchi nyingi za Ulaya na Amerika ya Kusini ni kawaida kwa mwanaume kulala chumba kingine na mwanamke kulala chumba Kingine. Jee kibongo bongo inawezekana (kama mna nyumba kubwa) mwanamke kulala chumba tofauti na mumewe? Inaswihii jamani!!??
 
Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
26,774
39,203
Kwanini isiwezekane?
Yote inatokana na matakwa ya wahusika...
 
nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,312
8,344
Hata Asia specifically Japan ndio zao. Kiafrika watu wanapenda wakumbatiwe ati. Cha kushangaza kwetu huku joto lakini tunapenda kukumbatiwa all night long.

Nchi nyingi za Ulaya na Amerika ya Kusini ni kawaida kwa mwanaume kulala chumba kingine na mwanamke kulala chumba Kingine. Jee kibongo bongo inawezekana (kama mna nyumba kubwa) mwanamke kulala chumba tofauti na mumewe? Inaswihii jamani!!??
 
nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,312
8,344
Tena wajapan nilisikia si kuwa wanalala different rooms tu ila eti wala hawa do. Wana do pale wanapotaka babies tu wakimaliza mambo ya kuzaa mama analala na watoto.

Ila wanawake wa Japani kwa vidumu usiseme. Wao ndio wanaotunza ela za familia though they are not allowed to work. Sasa unakuta mama ana pesa kweli kweli ana spend na masharobaro huku anampangie mumewe matumizi.

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,327
2,227
duh,hiyo kali aisee.
Ila itakua vyema m-missiane perfume zenu
maana kila siku kugusana inapoteza fleva
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,245
91,913
Tena wajapan nilisikia si kuwa wanalala different rooms tu ila eti wala hawa do. Wana do pale wanapotaka babies tu wakimaliza mambo ya kuzaa mama analala na watoto.

Ila wanawake wa Japani kwa vidumu usiseme. Wao ndio wanaotunza ela za familia though they are not allowed to work. Sasa unakuta mama ana pesa kweli kweli ana spend na masharobaro huku anampangie mumewe matumizi.

hayo mambo ya ku do mpaka mnapotaka babies nasikia ni wayahudi
wale fundamentalist..sijui wajapan....

but culture zingine unagundua kuwa sisi waafrika hasa wanaume tulivyo'bahatika'
ulaya ukimwambia mtu nina wake wawili...anakutazama kama cinema lol
 
nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,312
8,344
By culture. Wana culture ya hajabu sana. Binti anafanya kazi akiolewa tu anahacha kazi tena wengi unakuta wana masters zao lakini ni house wives. Mke kwao kazi yake ni moja tu; kulea watoto.

Wale wajanja wanaamua kuwa single parents mfano maprofessor wa kike nilokutana nao wote hawana wame wengine wana watoto wengine hata watoto hawana.

Yani wana mila potofu za kwetu ni cha mtoto.

Ila wanachotuzidi ni kuwa mwanaume akipata mshahara lazima amkabidhi wife ni culture. Na wife anamgaiya ela mpaka ya lunch mumewe. Na wanawake wale wanoko unakuta anampa mumewe lunch box hivyo hapewi hata senti tano. Mke ndo financial manager.

@Nyumba kubwa

they are not allowed to work by whom?
 
nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,312
8,344
Wajapan kuto ku do sijuhi kama ni culture au ni kwa sababu wao ni workaholic. Kwa kifupi ndoa zao si romantic at all.
hayo mambo ya ku do mpaka mnapotaka babies nasikia ni wayahudi
wale fundamentalist..sijui wajapan....

but culture zingine unagundua kuwa sisi waafrika hasa wanaume tulivyo'bahatika'
ulaya ukimwambia mtu nina wake wawili...anakutazama kama cinema lol
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,231
By culture. Wana culture ya hajabu sana. Binti anafanya kazi akiolewa tu anahacha kazi tena wengi unakuta wana masters zao lakini ni house wives. Mke kwao kazi yake ni moja tu; kulea watoto.

Wale wajanja wanaamua kuwa single parents mfano maprofessor wa kike nilokutana nao wote hawana wame wengine wana watoto wengine hata watoto hawana.

Yani wana mila potofu za kwetu ni cha mtoto.

Ila wanachotuzidi ni kuwa mwanaume akipata mshahara lazima amkabidhi wife ni culture. Na wife anamgaiya ela mpaka ya lunch mumewe. Na wanawake wale wanoko unakuta anampa mumewe lunch box hivyo hapewi hata senti tano. Mke ndo financial manager.

Haya maelezo yote umepata kwa kusikia au vyenginevyo? Na wana mila potofu kwa mujibu wa nani? whats the benckmark?
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,245
91,913
Haya maelezo yote umepata kwa kusikia au vyenginevyo? Na wana mila potofu kwa mujibu wa nani? whats the benckmark?

gee
nipo curious kidogo,we ni mdigo au ni mjapan?au both?
you sound both lol
nijibu hata kwa pm ikibidi lol
 
nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,312
8,344
Of course sijaolewa na mjapani kwa hiyo ni kusikia. Nimewahi kukaa Japan 2 years; na mimi ni mdadisi. Mila zao ni potofu according to wao wenyewe. Nasema hivyo kwa kuwa new generation hawafagilii mila zao na wengi hawataki kuolewa wala kuzaa kuepuka kuwa house wives.

Basi walokwambia wamekupotosha.

Wajapani wanafanya kazi wakiwa na watoto majumbani kama kawaida. Hata kama si kazi rasmi za maofisini. Mimi maprofesa nilokutana nao wanafamilia na colleagues nilofanya nao kazi wana watoto nyumbani.

Wengi wakipata watoto huacha kazi kwa muda kwa sababu hakuna vituo vya kutosha vya day care na hakuna mwenye uwezo wa kulipa maids na mama zao wenyewe (bibi za watoto) wanaenda makazini. Lakini watoto wakianza shule hurejea makazini.

Sasa maofisi mengi yana facilities za kulelea watoto hapo hapo kwa hiyo wenye kurejea kazini baada ya kuzaa tu ni wengi mno.

Kuwasikia wakisema nj mila potofu sijawahi na Sioni kwa nini iitwe mila potofu. Mwanamke ana choice ya ama kufanya kazi au kubaki home. Ni mila nzuri tu mwanamke kuchagua kufanya akipendacho na kuweza kulea mtoto mwenyewe sio kama sisi tunavyowaacha house maids waliofeli shuleni kutulelea watoto

Kuishi kwangu kwenye culture tofauti sijawahi kutana na watu wanaopenda kuolewa kama Wajapani maishani na ndio maana kuna culture( be it pop or traditional) ya kutafuta wachumba.

Naamini umeishi miaka hiyo miwili bila ya kujua lugha yao hivyo kupitwa na mengi kwenye social system yao. Unaweza kuwa ulikuwa lost in translation
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,231
gee
nipo curious kidogo,we ni mdigo au ni mjapan?au both?
you sound both lol
nijibu hata kwa pm ikibidi lol

Hahaha Boss bwana! Naijua sifa ulotoa ya wadigo majuzi. Lol

Mimi si Mdigo wala Mjapani :]
 
nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,312
8,344
SOma hiyo link. Japanese are the least sexiest people in the world.
Why Don't Japanese Men Kiss Their Wives? | Japan Probe
Basi walokwambia wamekupotosha.

Wajapani wanafanya kazi wakiwa na watoto majumbani kama kawaida. Hata kama si kazi rasmi za maofisini. Mimi maprofesa nilokutana nao wanafamilia na colleagues nilofanya nao kazi wana watoto nyumbani.

Wengi wakipata watoto huacha kazi kwa muda kwa sababu hakuna vituo vya kutosha vya day care na hakuna mwenye uwezo wa kulipa maids na mama zao wenyewe (bibi za watoto) wanaenda makazini. Lakini watoto wakianza shule hurejea makazini.

Sasa maofisi mengi yana facilities za kulelea watoto hapo hapo kwa hiyo wenye kurejea kazini baada ya kuzaa tu ni wengi mno.

Kuwasikia wakisema nj mila potofu sijawahi na Sioni kwa nini iitwe mila potofu. Mwanamke ana choice ya ama kufanya kazi au kubaki home. Ni mila nzuri tu mwanamke kuchagua kufanya akipendacho na kuweza kulea mtoto mwenyewe sio kama sisi tunavyowaacha house maids waliofeli shuleni kutulelea watoto

Kuishi kwangu kwenye culture tofauti sijawahi kutana na watu wanaopenda kuolewa kama Wajapani maishani na ndio maana kuna culture( be it pop or traditional) ya kutafuta wachumba.

Naamini umeishi miaka hiyo miwili bila ya kujua lugha yao hivyo kupitwa na mengi kwenye social system yao. Unaweza kuwa ulikuwa lost in translation
 
nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,312
8,344
Siongei bila data. Hii nimeambiwa na sources za uhakika including male an female professors na nimekaa mtaani hence was able to mix with them.

Yes wakiolewa wanaacha kazi wanalea watoto mpaka wanakua and that takes long time hivyo hawawezi kuwa employed kwenye professional works. Wanachoishia kufanya ni kuuza super markets and the like.

Hence new generation hawako ready ku risk kuzaa na wengine hawataki hata kuolewa kwani ukikaa home 10 years hamna ofisi inakuwa inakuhitaji zaidi ya kuuza super market.

Na nasema ni culture kwa sababu they believe and demand that a mother should raise kids. Nilikuwa na mwenzangu yeye alikuwa na mtoto na aliweza kumlipia day care na ni mbongo utanambia wao wamekosa ela ya kulipia day care??? It is not about money or they are poor ni kuwa mama anatakiwa kulea watoto. Na siyo choice kuwa they so much like kukaa nyumbani. Hawapendi na ndio maana wengi wanaolewa siku hizi hawazai na wengine wanaamua kuwa single kabisa.

Basi walokwambia wamekupotosha.

Wajapani wanafanya kazi wakiwa na watoto majumbani kama kawaida. Hata kama si kazi rasmi za maofisini. Mimi maprofesa nilokutana nao wanafamilia na colleagues nilofanya nao kazi wana watoto nyumbani.

Wengi wakipata watoto huacha kazi kwa muda kwa sababu hakuna vituo vya kutosha vya day care na hakuna mwenye uwezo wa kulipa maids na mama zao wenyewe (bibi za watoto) wanaenda makazini. Lakini watoto wakianza shule hurejea makazini.

Sasa maofisi mengi yana facilities za kulelea watoto hapo hapo kwa hiyo wenye kurejea kazini baada ya kuzaa tu ni wengi mno.

Kuwasikia wakisema nj mila potofu sijawahi na Sioni kwa nini iitwe mila potofu. Mwanamke ana choice ya ama kufanya kazi au kubaki home. Ni mila nzuri tu mwanamke kuchagua kufanya akipendacho na kuweza kulea mtoto mwenyewe sio kama sisi tunavyowaacha house maids waliofeli shuleni kutulelea watoto

Kuishi kwangu kwenye culture tofauti sijawahi kutana na watu wanaopenda kuolewa kama Wajapani maishani na ndio maana kuna culture( be it pop or traditional) ya kutafuta wachumba.

Naamini umeishi miaka hiyo miwili bila ya kujua lugha yao hivyo kupitwa na mengi kwenye social system yao. Unaweza kuwa ulikuwa lost in translation
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom