Kupeana pole baada ya kazi ngumu si ubaya jamani!


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,840
Likes
8,660
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,840 8,660 280
Najua wazoefuwako wengi
ila penzi alina exp jamani vyema kukumbushana sana ..kuna watu wakianza kula lile tunda
wanakuwa na furaha sana sana na baada ya tunda wanasahau kupongezana kwa shuguli nzito
sisemi nani aanze lakini ni vyema mnakumbushana baada ya shuguli thanks hny,darling ,sweet,baby
lemon,mybread etc..anakuwa anfurahia huduma uliompa imekutosheleza alafu kingine muulize
mwenzio hny umefurahia shuguli yangu ,,nasema hivi nimeona wengi katika taasisi yangu wanaleta malalamiko
wakimaliza shuguli wanakimbilia kuvaa nguo ,,achen kuoneana haya jamani mapenzi furaha ...

KINACHOFANYA NYUMBA NDOGO WANAZIDI UJANJA SIO UCHAWI ..NI KAELIMU KADOGO KAMA HAKA
AMBACHO WANALIPIA WE TUNAKUPA BURE UNASHINDWA HATA KUDESA UKIACHIKA UNARUDI JAMVINI
UMEACHWA NA SABABU KIBAO..AKUNA JIPYA FATA PRINCIPLE ULE MEMA YA NCHI UANGALIE KAMA UTAACHWA

Lingine kuna watu wakimaliza tu shuguli wanaanyanyuka haraka na kukaa pembeni,,najua wengine rtow
ni kubwa kuliko tow.so aina jinsi kiduume unyanyuke kumpa aendele kupumua..lakini kama ajasema unamuumiza
unaamka nini??labda niwakumbushe katika muda mzuri anaopenda mwanamke ukiacha ule wa kumfikisha kileleni
ni huu baada ya kumwaga anaitaj ukae kidogo aisikie imeingia kweli anakoitaji..msifanye mapenzi kama
mbuzi aliekuja na ujumbe wake...akikisha mkimaliza spend kama dk hata 5-10..nakwambia wanaume wengine wakiendelea
kukaa humo wanafanya suprise unaweza jua mumeodose yake ni mbili kwa moja siku hiyo mnapiga story kwa juu unashangaa ...swaleheee ananyanyuka gafla mnaanza round nyingine ..nakwambia unaweza sema hii miujiza ama lah
kumbe ni ileuelewa na akili zirelax..

Nawatakia wiki ya mafanikio wale wasiopanga kupeana mimba basi hata za bahati mbaya zikaingie kw anguvu wiki hii nawambia ya mafanikio kama ni mwana jf unamwamini sema amen
na iwe kwako kama ulivyo amini
 
lolyz

lolyz

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
335
Likes
18
Points
35
lolyz

lolyz

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
335 18 35
That amen is too weak 4 a believer lol
 

Forum statistics

Threads 1,235,092
Members 474,351
Posts 29,211,915