Kwa wanaume wenye ndoa tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaume wenye ndoa tu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Hmaster, Sep 24, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huna hili wala lile unasikia ujumbe umeingia kwenye simu yako ya mkononi, unaifungua na kukutana na sms yenye jina na namba ya mkeo huku ujumbe wenyewe ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe ni mkali, nimekupenda sana kwa vituko vyako kitandani na ninaapa sitokuacha na nnakuomba nawe usiniache, asante sana".

  Unajaribu kufikiri kwa nn wife akutumie sms hiyo leo wakati mna miaka zaidi ya mitano ktk ndoa hupati jibu. Unauchuna lkn unaporudi nyumbani na kuchukua cmu yake na kuiangalia unakutana na sms ileile lakini imetumwa pia kwa mtu mwingine na unapokwenda kwenye inbox unakutana na majibu ya sms ile ya kwamba "usijali kwani hata mm nimekupenda sana kwa namna unavyojishughulisha kitandani.

  Je, kama ndo yamekukuta wewe ndugu yangu utafanya nini? Amini usiamini tukio hili ni la kweli na limemtokea mdogo wangu ambaye tumeolea familia moja na hadi sasa ni cku nne zimepita amesafiri na cmu ya mkewe pasipo kumweleza chochote hadi arudi wk ijayo. Afanyeje? Nishauri nikamshauri!
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Kama umeshindwa kumpa kisawasawa ndo athari za moja kwa moja hizo!!
  Cha kufanya ni kujipanga ili umpe kisawasawa asihangaike huko nje!
   
 3. malle.com

  malle.com Member

  #3
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  pole sana,ninachokushaur kaeni nae muongee nae kwani ndoa haiendesh kidiplomacia nikwa upeo,na fikra pevu ur a man so be strong
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mshauri amwambie mkewe kwa ukali kwamba asirudie tena hiyo tabia mbaya.
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  'mesenja kaleta matatizo nyumbani' Max Bushoke na DDC Mlimani Park enzi hizo.........just remembering aloud.
   
 6. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #6
  Sep 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya wanaume wenye ndoa kazi kwenu.
   
 7. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa ameniambia kwamba huwa anampiga nje ndani hadi mwanamke mwenyewe anasema basi na ndo kinachomshangaza zaidi, au ampige ndogo kabisa? Ana wasiwasi jamaa huenda kapitiliza huko!
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Amepata ukweli kuhusu mke wake na sasa akae chini aamue. Ama kuendelea mbele au kuzima gari na kulitelekeza!

  Hana tena nafasi zaidi ya kufanya maamuzi magumu. Pia ajiangalie kama na yeye ni msafi ki hivyo. Kama ni ajali ya kimapenzi ambayo hata yeye ingeweza kumpata wakati wowote auchune tu na kuendelea na maisha!

  Hata hivyo anaweza kumwonesha mkewe hiyo sms na kumwomba siku nyingine awe makini ili aache kumrusha roho! Vinginevyo huyo ndiye my wife wake!!!
   
 9. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye red, try to remember aloud again!!! It was Bila Lee Orchestra!
   
 10. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red jamaa si msafi kihivyo, hata hivyo ushauri wako ntaufikisha kwake.
   
 11. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli! Ndoa ndoano! Kuishi na mtu mzima mwenzio kazi kweli, unaweza kuwa unajituma, unajishughulisha, unamridhisha na bado akatoka nje tu. Binafsi naomba Mungu nisije kujua kama kuna kitu kama hicho na mimi kama ninafanya au nitafanya hayo basi na yeye asijue basi! Siku nitakapojua basi mambo yote yataishia hapo hapo, I mean itakuwa mwisho maana hapo tutakuwa tumeadharauliana vya kutosha
   
 12. M

  MyTz JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nilipo bold hapo...
  ndio maana anashindwa kuchukua maamuzi!!
   
 13. kijana15

  kijana15 JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 640
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Au yamekukuta wewe?
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,547
  Likes Received: 2,260
  Trophy Points: 280
  Never for give the cheater always
   
 15. S

  Sharp Observer Member

  #15
  Sep 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  AFANYE YAFUATAYO:
  1. Asimfukuze mke
  2. Ila ajue tu kuwa hapo hana mke tena
  3. Amwoneshe mke hizo sms zote, aliyotumiwa na zile alizokuta kwenye simu ya mke wake
  4. Asitukane wala kukasirika wala kuonesha reaction ya namna yeyote
  5. Kwa kuwa mkewe amecheat na hatoweza kumwamini tena, aangalia kama ataweza kuendelea naye katika tendo la ndoa au la, hapo ataamua mwenyewe
  6. Asipunguze huduma kwa familia.
  7. Atafute mwanamke mwingine wa kumpoza aka nyumba ndogo
  8. Asimwoneshe mwenzake kama ana nyumba ndogo
  9. Ikiwezekana nguo afue kwa dobi au afue mwenyewe au hata akimwacha afue sio mbaya
  10. Asihusike tena na masula ya mke wake zaidi ya kutoa kodi ya meza na huduma za watoto
  11. Asikubali vikao vya kusuluhisha wala nafasi ya kuliongelea jambo hilo na mkewe
  12. Halafu maisha yaendelee [Maana yake ni ADHABU YA KISAIKOLOJIA)
  13. Kimsingi hapo mke umempa talaka, ila yeye anashindwa kujua uamuzi wako
  Utanipatia taarifa baada ya miezi mitatu kama mwanamke hajakonda kinoma ama kukimbia nyumba.
  1. Mke akikimbia asimfuate wala kubembeleza
  2. Lengo ni kumpa nafasi mwanamke afanye kila anachotaka
  NB: Baada ya kama mwezi hivi nipe feedback
   
 16. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayajanikuta mimi mkuu, nisingeficha ukweli ni huyo mdogo wangu wa kuoa katika familia moja. Amenisimulia kisa hiki ili nifikirie ili akirudi safari tukae tuyajadili kabla ya yy kuchukua maamuzi, ila cmu ya my wife wake ameondoka nayo.
   
 17. W

  WIZARD Member

  #17
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakikumegea mkeo na wewe tafuta mnyonge wako mmegee. ("tatizo la wamegaji, wanamega kuzdi mpaka mkeo anakuona boya"}
   
 18. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #18
  Sep 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mkuu mwambie tu kuwa hayo ni mambo ya kawaida. Tumeoa wanadamu, hatujaoa malaika. Kila binadamu ana mapungufu naamini hata yeye anayo. Amuonye mkewe kwa namna yeyote ile, (japo kwa maneno machche na ya upole itafanya kazi zaidi). Ajitahidi kumsamehe na maisha yaendelee...
   
 19. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unatisha mkuu, sawa nitamweleza kama ulivyonishauri.
   
 20. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160

  Hii ni adhabu kali sana ni bora ampe talaka kuliko kumfanyia hili
   
Loading...