Wadau mnasemaje kuhusu hili.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau mnasemaje kuhusu hili....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MyTz, Sep 20, 2011.

 1. M

  MyTz JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unakuta binti ana b/f wake tangu akiwa level za sec, boy anajiweka kwa binti kiukweli koz anategemea badae flan aje awe wife!!jamaa anamsapoti binti mpaka kufikia level ya chuo!!baada ya kujoin chuo binti anaamua kumpiga chini boy, na hili tukio limeshawakuta vijana wengi....hii kitu % kubwa ya mabinti huwa wanaifanya sana!!!
  wadau mnasemaje hili, hii kitu huwa inasababishwa na nini?
   
 2. s

  shomshallo Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wengi wao ni vnyonga, tamaa na co wakwel
   
 3. M

  MyTz JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu mbona hata maisha ya mtaa yanaweza mtia binti tamaa, kwa nini matukio mengi yanakuwa wakipataga post za chuo??
   
 4. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  binti wa chini ya miaka 18 mara nyingi huwa hana chaguo maalum,,,mara nyingi huwa anakuwa kapenda kwa shinikizo au kuiga marafiki au ndugu zake wa karibu.anapofikia level ya chuo hapo anakuwa na maamuzi yake mwenyewe.
  Ilikwishawahi nitokea miaka ya nyuma nilipendana na binti wakati huo tukiwa sekondari, baada ya kumaliza tukatengana yeye akawa yupo mkoa tofauti na mimi, na siku tumekuja onana wakati huo miaka imepita na yeye akiwa kamaliza chuo...nilijaribu kumdodosa na kujaribu kurudisha mahusiano,,yeye alikataa na kuniambia nijaribu kumpa nafasi kwani wakati ule(enzi za mahusiano yetu) alikuwa hajui kupenda.
   
 5. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  usaliti, matamanio ya tamaa, hasa kwenye fedha na akili ya ulimbukeni kwa hiyo ni bora sana kufikiria hasa pale mwenzie anapo hangaika kumpatia mahitaji ya kila aina halafu anakuja kumugeuka.
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahahahaha ....hapo hamna cha kumlaumu mwanamke...yule jamaa alifanya hayo kwa mapenzi yake mwenyewe......wewe upo kwenye dinbwi la maji unaanza ipango ya ndoa!!! ukifika bahari itakuwaje? sasa deu amefika bahari ndio kaona hufai tena...just mambo ya maisha.
   
 7. M

  MyTz JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  in red, wengi wao huwa hawana maamuzi hapo nimekusoma POMO
  POMO inakuwaje wakifika Final year, huwa wanarudi kwa wale waliowapiga chini kwa take off speed ya ndege??
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Me ndo maana najchukuliaga zangu majimama yaliyoshndkana mtaani.no strec wala nin.
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tamaa kubwa sana inawaingiza pabaya.
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ni ulimbukeni tu na tamaa ndo zinazowanasisha na we utamuhudumiaje mtu akati ana wazazi???
   
 11. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  KWELI
  Mnoooooooooo
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja!
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kusema ukweli mimi ninadoubt kama wengi wetu kwa kipindi kile tunakuwaga tunaelewa hata maana ya kupenda. Mtu anifuate mie kwa umri huo wa chini ya miaka 18 aniambie nakupenda nataka nikuoe ukimaliza shule. Nitamkubalia kama nimevutiwa naye kwa umbole la nje ila pia kichwani mwangu kutakuwa kumejaa ......mashelashela, nimepigiwa vigelegele na pengine zawadi na jinsi nitakavyokuwa malaika au malkia siku ile ya arus- Na wala sitoelewa akitokea mtu atakayenambia Mwj1, jua ukijaolewa itakubidi uvumilie, utakumbana na a,be,che na mafundo mengine ya hali halisi ya ndoani sidhani kama ningemwelewa.

  So mimi ni vema wakati wa umri wa aina hii watu wawe marafiki tu mpaka wakijafika chuo na kujiona wamekomaa ndio watamkiane wanataka kuoana. Wavulana waache kuwekeza( zawadi za kawaida, sijui barua yenye manukato, zile kadi zenye wahindi waliokaa kwenye maua) sawa tuma lakini usijiwekezee ukiwa na matumaini ya huko mbeleni. Waache kubaka akili zao ambazo kwa wakati huo bado hazijakomaa.

  Eh hapa nimeandika utafikiri Head Mistress anahutubia loh.....unoko tu umenishika! Nisameheni.
   
 14. j

  joxin Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikubwa mi naona ni tamaa na kutofkiria kesho yako itakuaje.wanawake weng wako materially sana so no tru love.
   
 15. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndo maana wazee wanasema tusichanganye mapenzi ,pale shuleni tufanye kilichotupeleka maswala ya mapenzi angalau mkifika chuoni na vichwa vinakuwa vimekomaa atleast
   
 16. h

  hayaka JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni vigumu sana kwa binti wa chini ya miaka 18, kutoa uamuzi kuhusu swala zima la mapenzi. since yeye mwenyewe bado ni mtoto!!!
   
Loading...