My BEST FRIEND IS LOOKING FOR A LIFE PARTNER

Mrembo

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
408
201
Habari zenu wakuu.

Naandika hii post kwa niaba ya best friend wangu. Kwa kweli yeye hafahamu kama nimemuweka humu, ila kwakuwa alinidokeza nia yake nikaona si vibaya kujaribu na JF.

Tafadhali naomba serious Men.

Wasifu wa rafiki yangu
- mrefu about 5.10 F
-Dark skin color
- education- masters level
- hard working, kind hearted and very caring
-christian (catholic)
- 33 years old

Mwanaume anayetafutwa awe;
- at least 1st degree holder
-single
- Mrefu
- caring and hard working
- christian
-awe tayari kupima HIV
- 33 yrs to 40 years

interested Men please ni PM kwa mazungumzo zaidi, before i decide to give her contacts.

I hope mtaieshim hii post na kurespond seriously
 
Mrembo

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
408
201
like i said i need serious interested candidates. i am not going to respond to stupid posts. i hope you understand
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,211
8,677
Habari zenu wakuu.

Naandika hii post kwa niaba ya best friend wangu. Kwa kweli yeye hafahamu kama nimemuweka humu, ila kwakuwa alinidokeza nia yake nikaona si vibaya kujaribu na JF.

Tafadhali naomba serious Men.

interested Men please ni PM kwa mazungumzo zaidi, before i decide to give her contacts.

I hope mtaieshim hii post na kurespond seriously
Kwanini uzunguke kiasi hiki?
Si unyoroshe maneno tu!!....nadhani hakuna sababu kupitia 'care-of'
Vinginevyo naheshimu sana hisia zako na jinsi unavyotii Moyo wako!
Ndiyo freedom of expression hii bana!
 
Kiraka

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
3,765
2,959
Kwanini uzunguke kiasi hiki?
Si unyoroshe maneno tu!!....nadhani hakuna sababu kupitia 'care-of'
Vinginevyo naheshimu sana hisia zako na jinsi unavyotii Moyo wako!
Ndiyo freedom of expression hii bana!

Umeona, hata mimi naelewa ni yeye, sasa kwanini hajiamini, hii ina tosha kum disqualify!!
 
Mrembo

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
408
201
Kwanini uzunguke kiasi hiki?
Si unyoroshe maneno tu!!....nadhani hakuna sababu kupitia 'care-of'
Vinginevyo naheshimu sana hisia zako na jinsi unavyotii Moyo wako!
Ndiyo freedom of expression hii bana!

ivi kwanini watu humu ndani mnapenda kuhisihisi mambo? ivi wewe hujawahi kusikia au kuona watu wanaunganishiana, na hatimaye wanakuwa na happy relationship. mi ninamifano hai mingi, and i believe in match making, ndio maana nikapost hii mada hapa.
 
msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,797
1,181
ivi kwanini watu humu ndani mnapenda kuhisihisi mambo? ivi wewe hujawahi kusikia au kuona watu wanaunganishiana, na hatimaye wanakuwa na happy relationship. mi ninamifano hai mingi, and i believe in match making, ndio maana nikapost hii mada hapa.
sawa mrembo sijakidhi vigezo vya umri na mimi nahitaji mke ila nina miaka 29,mrefu,first degree na ni mkristo.
nadhani utakuwa refa mzuri sana hata kwangu niko serious
 
Pdraze

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
616
321
Na sie mayank 25 je? Age is nothing bt a number kama nick na mariah carey mpe cv hiyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom