Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25. Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mi kijana wa kiume,umri wangu ni miaka 28,nipo dar. Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo -awe mcha mungu,kristo -umri kati ya miaka 20-25 -awe mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa au mkoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu hawahofii kufa, Biashara ya short time naona imekuwa utaratibu wa kawaida manake jana katika kutafuta Mahala pa kulala nimeshuhudia mengi. Watu wametoka ofisi moja wanapitiliza guest then...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
AT least kwa hapa TZ, hususani ukanda wa pwani, wanawake ni watu wanaopenda sana mipasho na maongezi ya mafumbo!!! Bila shaka ni wahitimu wazuri wa baadhi ya tanzu za fasihi simulizi. Last week...
2 Reactions
102 Replies
9K Views
....Kutokana na maisha kuwa magumu kwa kila mwanadamu lakini kwa kiasi kikubwa tukiwa tunapishana hata uwezo wa kimaisha,jamii yetu leo hii imekuwa ya kukwepa majukumu ambayo kimsingi ina ulazima...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ukifuatilia kwa makini habari zinazochapishwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini tabia za ushoga na usagaji zinazidi kushika kasi. siku hata siku. Jee kuna haja ya serikali kupitisha...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Shirika la ujasusi la Marekani linatutabiria waafrika zaidi ya milioni mia sita kupoteza uhai kati ya miaka 10 hadi 15 ijayo kutokana na ngono zembe.................hali hii yamaanisha ya kuwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hili ni tukio la kweli lililo tokea last weekend mjini Dar es Salaam pande za Masaki. Kisa chenyewe kilikuwa hivi, kuna kijana mmoja wa pande za Usukumani alipata msichana kwenye facebook...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25. Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pole wana Jf na shughuli za ujenzi wa taifa. Naomba msaada wenu wa kimawazo kwa kujaribu kunijibu kwa umakini zaidi. Miaka ya nyuma nilikuwa na girl friend kwa muda wazaidi ya miaka 2 lakini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habarini JF nipo dms nafanya kazi kampuni fulani ya simu.nimepata kibarua kingine kwenye kampuni nyingine ya simu kwa tofauti ya mshahara ya laki 2...i mean ya mkoani imezidi kwa laki 2 mshahara...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Waziri mkuu wa Italia,amejikuta yupo matatani baada ya gazeti moja kuamua kuchapa maelezo yake ya simu ambako alikua akijisifu kuwa ameweza kulala na wanawake 8 kwa USIKU MMOJA
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Kwa kufuatilia wengi wanasema simu inalinda penzi na wengine wanasema simu inabomoa penzi,je upi ni msemo wa kweli?nashindwa kuelewa,naombeni michango yenu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KUNA KIPINDI NILIKUWA NAPOKEA MESEJI ZA WATU AMBAZO ZINANIHITAJI ETI TUWE MARAFIKI LAKINI MESEJI ZOTE AU NYINGI KATI YA HIZO ZILIKUWA ZINAFANANA,NA NILIJIUNGA NA JF NIMEPOKEA MESEJI KAMA HIZO NA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jaman nina mpenz wangu mpya ambaye nimemtongoza sio mda na sijawahi kufanya nae mapenz hata siku moja.kuna siku moja 2likuwa sehemu nzuri inayo 2faa kabisa kufanya mapenz lakn 2likubaliana...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
baada ya kusoma kwa umakini mkubwa ushauri wa wana JF...asubuhi hii nimeamka nina confidence ya ajabu hadi najishangaa.....nipo nimeshafika ofisi za hii kampuni nasign mkataba na safari itaanza...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Najua utakuja na matatizo yake lakini leo naomba ujue matatizo ayakusaidii kusimamisha kumweka mkeo awe bora kuliko wengine..ndio maana ukaacha kuchukua yale ya lasvegas na kukimbilia nae...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
How do you protect your love ? Je unalinda vipi upendo(penzi)?? nawasalimu nyote , poleni na kazi za hapa na pale na majuukumu ya maisha.. Swala la upendo ni kitu kizito sana , ni mara nyingi...
11 Reactions
148 Replies
13K Views
….. There are No Golden Rules…… Kinachofaa kwa Hamisa.., hakifai kwa Mwajuma… (one size does not fit all....) Hata ule msemo wa “do onto others as you would have them do onto you” nadhani...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Ghafla bila kutarajia, nimejikuta naangalia kipindi cha Shajara kupitia TBC1, kilichokuwa kinaongelea ngoma ya kabila la Wamasaia inayoitwa esotho (samahani kama nimekosea neno hilo). Sikuwahi...
2 Reactions
18 Replies
12K Views
Back
Top Bottom