Ooh maskini huyu babu!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,745
7,781
Duniani kuna mambo, mkasa huo;

DUBAI (AlArabiya.net)

A 50-year-old Saudi woman asked for divorce after her husband lifted her face veil while she was sleeping, local press reported.

For 30 years, the wife said she never showed her face to her husband in conformity with the tradition of her native village near the south western Saudi city of Khamis Mushayt.

"After all these years, he tries to commit such a big mistake," the wife told Saudi newspaper Al-Riyadh, after she left the house in total disbelief.

She said the husband apologized and promised never to do it again.

This is not the first case of husbands who have not seen their wives' faces in decades.

When asked how she could have kids without her husband ever seeing her face, she replied: "Marriage is about love, not faces"

...yaani miaka thelathini unakula penzi nyuma ya pazia? aaah, mila na desturi nyingine bana bora nimezaliwa 'mmatumbi!'
 
hehehehe!!!nimependa tu mwisho alivyo malizia, marriage is abt love not faces..looh mie hoiiii!!
 
Ebo! unaweza kula uroda bila kuangalia sura...:) LOL! duniani kuna mambo! halafu anaomba na talaka! Duh!
 
Is this true jamani?
Jamani sura wakati mwingine ndio kivutio..sasa hawa wanafanyaje?
 
uzushi huo..hamna kitu kama hicho

source; http://freerepublic.com/focus/f-news/2018477/posts

...'mgosi' ndio hivyo mkuu, mila na desturi!...kama siye wazaramo na mila na desturi zetu tukishauza mpunga huko kisele ni ngoma tu na kuoa, au wamasai na kusimika mkuki mlangoni kwa 'mke wa ngugu yake', au kina nanihii na ile desturi yao ya kumrithi mke wa kaka akifa (hata kama na HIV)...!

duniani kuna mambo!
 
duniani kuna mambo!Nimeiona hiyo SOURCE yako mzee - thumbs up!.
Hizo picha zimenifurahisha sana hasa ile ya TALIBAN SINGLES ONLINE.
:)

Kweli hii inafaa kwenye tag ya Stoneage Savages

.
 
I agree, what matter the most is downstairs and not upstairs! tena kama mwanamke mwenyewe ana nyago bovu ndio kabisaaa! Si wengine njaa zikituzidi tukiokota ngoma mbovu huwa tunazifunika na posters za kina Jessica Alba na Britney!
 
Unazungumzia 'kujikimu' sio, how about this then, what you think? ;)
They are very bendy! :)

.
 
I agree, what matter the most is downstairs and not upstairs! tena kama mwanamke mwenyewe ana nyago bovu ndio kabisaaa! Si wengine njaa zikituzidi tukiokota ngoma mbovu huwa tunazifunika na posters za kina Jessica Alba na Britney!

...au unazima taa, 'fantasy' world!!!
 
So long humuoni na ushungi wake 'akikung'ong'a' ukiwa nae faragha poa tu!

marriage is about love not faces; 'Ukiingia deep' huyu mwanamama anaongea sense, physical appearance ya mtu inabadilika! hiyo tradition ya huko inamfanya mwanaume anaishi kwenye...'fantasy' world, hivyo labda kutamani nje inabakia nadra kuliko sie tunaoishi kwenye reality ya mkeo kukununia!!!
 
Duuh!! mi nafikiri kwamba wanapokuwa ndani hasa muda wa kulala mr&mrs wanaonana i mean huyo mwanamke uninja anaweka pembeni hayo mengineyo ya kuficha sura niya public, it doesnt make a sense that u live with some one u dont known her face suppose anapata ajali na kupoteza maisha je uta utambuaje mwili wa marehemu???Mchongoma umenipata??.
 
So long humuoni na ushungi wake 'akikung'ong'a' ukiwa nae faragha poa tu!

marriage is about love not faces; 'Ukiingia deep' huyu mwanamama anaongea sense, physical appearance ya mtu inabadilika! hiyo tradition ya huko inamfanya mwanaume anaishi kwenye...'fantasy' world, hivyo labda kutamani nje inabakia nadra kuliko sie tunaoishi kwenye reality ya mkeo kukununia!!!Yes man physical appearance ya mtu inabadilika, ila usisahau, penzi hubadilika pia.

Napata picha kwamba baba hatakiwi kuona nyuso za wanawe wa kike tangu wangali wachanga.
Wanaume kwenye jamii hii wanaweza nao kuvaa masks full time - that would even the score.

.
 
I agree, what matter the most is downstairs and not upstairs! tena kama mwanamke mwenyewe ana nyago bovu ndio kabisaaa! Si wengine njaa zikituzidi tukiokota ngoma mbovu huwa tunazifunika na posters za kina Jessica Alba na Britney!

Kana ka Nsungu angalia bwana! mtu anauziwa mbuzi kwenye gunia? Yaani unaoa kwa ajili ya downstairs tu? Basi hakuna haja ya kumwita mwanamke pambo la nyumba kama huwezi kumwona!
 
Duniani kuna mambo, mkasa huo;...yaani miaka thelathini unakula penzi nyuma ya pazia? aaah, mila na desturi nyingine bana bora nimezaliwa 'mmatumbi!'
Inachekesha sana aisee!
 
babu mambo mengi ya dot com ni upuuzi mtupu sijui hata kama wanaelewa.

Nataka madogo wa kizazi kipya wajue wakongwe tulipotokea.........haikuwa na kutafuna mama mkwe wala kutafuta wachumba au kuwekewa ma-love bites kwenye makalio.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom