Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mzee mmoja amedai kuwa amechoshwa na tabia ya mke wake ya kudekeza watoto mpaka wanataka kuharibika. Amesema anakelwa na mengi toka kwa wife wake hadi kuna siku aliamua kuchukua cheti cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilileta uzi hapa usemao;'Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu'.Nashukuru nilipata mawazo mengi sana kutoka kwenu,na jtano iliyopita nikayatumia kwa kuwafuta maraki zake 2 wanaommudu...
0 Reactions
103 Replies
8K Views
Hi jf members, jamani juzi nipo na mzee mmoja analalamika eti watoto wake hawana msaada. Nikagundua kwamba tunazaa tu ila watoto ni "liabilities" and not assets. Yaani huwezi rejesha gharama zako...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau nimevumilia tabia kwa muda mrefu tabia hii ya wakina dada ya kutikisa makalio pale waonapo wanaume wengi tumekaa,saa nauliza lengo ni kututia hamasa au tuone maumbile yao.?
0 Reactions
106 Replies
15K Views
Kuna watu wameoa wake au kuolewa na waume ambao ni vichaa au baada ya kuoana wamekuwa vichaa, lakini watu hao wameendelea kuishi na hao wapenzi wao kwa Amani tu na kuwapenda. Huo ndio unaoitwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie wana JF,hawa mabint wa kimanyeama wanatabia gan?
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Ni mawazo gani ya kwanza yanayokujia kichwani juu ya moja au baadhi ya mambo kati ya haya yanapotekea juu ya mme/mke/mpenzi wako? Unapiga simu hata mara tano, haipokelewi... Unapiga simu...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mumeo anatoka safarini unapotoa nguo kwa sanduku unakutana na chupi iliyochokachoka ambayo si yako. Ukiwa mwanandoa utafanyaje?
0 Reactions
41 Replies
5K Views
nasikiliza kipindikimoja wanadai wanaofanza duty za usikukurudi asbh wengi wamepoteza imani kama awapo kwenye ndoa na hata waliopo wanaishi kwa matumaini ukiwa kama mwanandoa siongeleei...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inasikitisha sana mtu kaoa tena ndoa ya kimungu na kwa heshima kubwa halafu unamkuta kwenye madanguro na mausiku klabu, kikubwa anatafuta malaya na hana ugomvi na mkewe kisa tamaa tu. kuna mana...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Kuna jimama moja apa mtaani limekuwa likarimu sana kwangu hata akisafiri nyumba yake ananiachia mimi,zawadi kibao,na mkwanja ananiachia,jana ndo kafunguka eti ananipenda ikanibidi mtoto wa kiume...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
jamani hebu tulitazame hili kwa kina maana binadamu tumetofautiana kwa mambo mengi.
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Salamu kwenu waungwana na heri ya mwaka mpya. Jukwaa letu hili mara nyingi limekuwa likilalamikiwa kuwa linajadili mada ambazo hazikupaswa kujadiliwa na great thinkers (tafsiri ya nani ni great...
1 Reactions
227 Replies
15K Views
Wakubwa shikamooni Wadogo marakhaba.. Wengineo mambo zenu.. Nway mie ningependa kuuliza Nyimbo gani za harusi nzuri ..? Au nyimbo gani zilikuwa kwenye harusi yako.? Na kama bado hauja...
4 Reactions
132 Replies
21K Views
Jamani mapenzi nikitu muhimu na mapenzi nikitu chakushikwa kama chupa yenye madini ya nyukilia!!Namapenzi nikitu kigumu kuyahandle hivyo vyote nikuonyesha mapenzi nikilakitu kwenye maisha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kufuatia utafiti uliofanywa East, Southern and Western Africa, imegundulika kuwa wanawake wenye 'maamuzi ya mwisho' juu ya sex ndani ya ndoa zao hupata huduma hiyo less than wale ambao waumezao...
2 Reactions
101 Replies
10K Views
Then tutabadilishana mawasiliano mengine.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Sijui lengo la vyandarua hivi vya JK ni nini zaidi ya kutukinga na malaria,.... Naona kama vina punguza nguvu za kiume ingawa kwenye tangazo lao wana kana kata kata. Toka nimeanza kutumia...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Back
Top Bottom