Wanawake huwa wanapenda/kuhitaji nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake huwa wanapenda/kuhitaji nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mshiiri, Sep 12, 2008.

 1. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kuna jambo linanishangaza sana kwa kushindwa kulielewa ni hili suala la wanawake huwa wanapenda au kutaka nini wawapo katika mahusiano kwani nafikiri huwa hapa ndipo pasipoeleweka na ni chanzo kikubwa cha migogoro katika mathalan ndoa. Ukifikiri tatizo ni mali na starehe utapotea kwani wanawake walio na pesa na wenye fursa ya kwenda starehe utakuta kingine si waaminifu. Ukisema wanawake wanataka mwanaume msikivu basi atamdharau na kumfanya ajikie like a crap. Ukisema mwanaume anayewahi nyumbani basi yeye atakuja saa kumi asubuhi, kusema kitchen party ee bwana ee sielewi kabisa.

  Na muda wote wanawake hawakiri kuwa na mahusiano mazuri na waume zao hata kwa senti moja, kwa tathmini utasikia 99% hawako happy. Sasa sijui tuwarudishe kwa wazazi wao. Na hata wazazi utakuta baba anamwambia mtoto wa kiume kuwa uyaone wanawake ni soo. Sasa mimi naona mwanamke poa kwangu ni mama yangu na almost kila mtu anaona hivyo but ukimwuliza baba ni vipi hapo kwa demu wako? Atakwambia mama yako kikwazo sana. Sasa nisadieni kwanza swali lenyewe ni noma kwani point za-flow kama wese vile.

  Maongezi ya wanawake wengi katika ndoa ni ya ku-reposition mwanaume mfano aaa uniniambie bwana, acha hizo, nk yaani akilinganisha na wanawake wengine.

  In contrary, wanaume hufikiria wakistruggle na kupata mali basi maisha yao ni poa. You see here they always aim high but keeping expectations low; which is a life principle. But wanawake wengi ni day dreamers etc. To me I see a lot of double standards in women and all that they advocate. Wakati wanaume wan standard moja duniani kote why ya wanawake haijulikani na hata wao wenyewe? I sometimes think its a demonic thing since creation.

  Sasa swali wanawake wanataka nini katika mahusiano? Ili waache kulalamika kila kukicha kwani hata wapigania haki za wanawake hawajui wanawake wanataka nini na wao wenyewe hawajui kwanza kwa sababu wengi hawajaolewa au walishindwa kuelewa wanahitaji na kutaka ni katika mahusiano waka-break. Na still hadi sasa hawajui wanataka nini.

  Karibuni and lets share experience and knowledge
   
 2. mohammedzahor

  mohammedzahor Member

  #2
  Sep 13, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  my mom told me you never know with the women. it is a matter of trying, but don't keep your hopes high that you can satisfy them. just know that they are very diferrent creatures of which only God knows the complication within them because he is the one who created them. but the best of all. no one can satisfy any woman.especially man because woman was made by love and man was not..
   
  Last edited: Sep 13, 2008
 3. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Muhimu kujua kuwa wanawake wote wanafanana kwa hulka zao
   
 4. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  I can say women has no complication, so long as she is made by love and care, therefore she is expecting to receive the same love and care from a Man. Huo ndio ukweli mtakatifu. Therefore Men should love and care.
   
 5. c

  chichi Member

  #5
  Sep 22, 2008
  Joined: Aug 15, 2007
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Dah! Man hii topiki iko hot sana yan unaweza uka ukwea U PhD mwisho wa kuijadili. Nataraji kurudi kuchangia hapa mfungo ukiisha. MY BLOOD SUGAR IS VERY LOW.
   
 6. M

  Mama JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  wanafanana kwa hulka? you can not be joking! Every human being is unique!
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...wanataka kusikilizwa! akianza kulalama we mwache alalame weeeh, ...usijidai mjuzi wa kuingilia na kutoa ushauri uonavyo wewe, UNLESS amelalama kiasi keshaishiwa pumzi na maneno, ...kisha anakutumbulia mimacho ya "mbona husemi kitu", ...hapo ndio nawe tumbukiza lako moja kwa sauti ya 'upole', "NIMEKUELEWA MKE WANGU!"
   
 8. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2008
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Asifie mvuwa imemnyea inaonekana dhahiri mtowa mada hiikuna mambo yamemumkuta pole kaka ndio safari
   
 9. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  It's the little things, Mshiiri....the little things.

  womenofsubstanc knows what I'm talking about... ha ha ha
   
 10. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ha ha haaaaa, nakubaliana kabisa na wewe QM, tatizo ni pale wanapoamini kwamba wekundu wa msimbazi na unyumba wenye akili ndio suluhisho la matatizo yote!!!
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Vitu vidogo vidogo tu,onyesha unampenda,mletee zawadi ndogo ndogo,mtoe siku moja moja,ukirudi mkumbatie mbusu,saidia kazi za nyumbani siku zingine ,.....
   
  Last edited by a moderator: Sep 23, 2008
 12. L

  Lione Senior Member

  #12
  Sep 23, 2008
  Joined: Dec 1, 2007
  Messages: 115
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  There is nothing exactly which they need,wamjua kinyonga weye?they changes kulingana na hali ya hewa,kiuchumi,afya,status,na mengine yatokanayo na hayo,hata mama yako hajawa mkweli kwako,na wala umuonavyo sivyo alivyo,only your baba knows her true colours,habari ndo hiyo!
   
 13. K

  Kungurumweupe JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2008
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 317
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  A woman is a very complicated creature you will never ever define! Don't ever try to satisfy her cause you will never ever succeed! She is your best friend when family life is good, but She is your most enemy in the world when life is harsh! Sorry, but I think she doesn't know what she wants in this complicated world! She keeps dreaming and complaining until the end of her precious life!
   
 14. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Women are so soft and easy to handle. It is like when u eat bamia and ugali it just teremka in your throat. So once you have known what she wants and apply her WANTS. Yani inakuwa kama kapewa limbwata vile. Unless awe ni yale miwanawake isiotosheka, likewise Miwanaume isiyotosheka! but give it a try first and see which group she belongs. Not all women have the same character.
   
 15. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pengine kuongezea, muweke wazi katika shughuli zako na pengine mara nyingi penda kwenda naye unapokutana na wanaume wenzako, sio kwamba na yeye ahudhurie hicho kikao lakini anaweza kukusubiria pembeni. Pia wewe ambatana naye kwenye kitchen party msubiri pembeni. Unapombusu au kuongea kumbuka kumwangalia machoni kila wakati. Mnapokuwa ndani ya nyumba kaeni kwenye sofa moja, mda ukiruhusu kuleni pamoja. Kwa kweli kama hatoridhika na mambo haya basi hili litakuwa lijimwanamke na matatizo yako.
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Any woman (and I believe same goes for a man), needs a good relationship where there is love, peace and understanding. So, saying that women dont know what they need is an understatement. A relationship will only work, if expectations and needs of both the man and the woman are met, and both must be ready to study and understand each other thoroughly.It looks like this often is not the case that is why there is so much pain and misery in relationships.
  Men usually enter a relationship or marriage expecting their mate/lover to be a playmate and share their recreational interests. Women enter a relationship or marriage hoping to find a loyal best friend.
  Men want a recreational companion. Women want a loyal companion.
  Men need recreation in order to relax. Women need loyalty in order to feel secure
  Both need their own interests but they also need interests that overlap. They need playtime together.
  Both need their own space and privacy but they also need to come together and support each other.
  He needs a lot of recreational time together. She needs the support and loyalty that makes her feel secure.
  When a woman usually goes her way while a man usually goes his way, the "ways" often part. When he does not support her, she may look for security elsewhere. When she doesn't act as a recreational companion, he may look for a playmate elsewhere.
   
 17. K

  Kungurumweupe JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2008
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 317
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Lorain, kama uliyoyasema ndio ukweli wako basi wewe ni mmoja kati ya millions of wanawake. Yaani wanawake wengi ni 'yale miwanawake isiyotosheka' kama msemo wako! They keep dreaming and complaining until the end of their precious lives! Hata wale unaowasikia wakitetea haki za wanawake hao ndo basi kabisaaaaaa! Yaani hawajui hasa anachokihitaji mwanamke katika ndoa yake; wao kinachowasukuma ni frustrations zao tu za ama kuachika au kutobahatika kuolewa kabisaaaa! Wewe jaribu kufuatilia hao waliomstari wa mbele kudai haki za wanawake utakuta wengi wao hawana waume!
   
 18. L

  Lione Senior Member

  #18
  Sep 23, 2008
  Joined: Dec 1, 2007
  Messages: 115
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  jAMANI,tatizo ni kwamba when does mwanamke turns to be Jimwanamke?simply because most of those Jimwanamkes have been good wanamkes before,eventualy,wakaanza kua mijanamke,hairiziki,haitosheki,hata ukifanya kama lorain hapo juu anavyosema,mwisho wasiku they will end being mijanamke,sasa suala hapa,je what makes them turns to mijanamke?na lini wanarudi kua wanawake?au ni mpaka wazeeke?kwakua shetani akizeeka hugeuka malaika!
   
 19. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  No, ni pale watakapo onyesha kuridhika na wanayofanyiwa na wanaume zao ndo watakua wanawake.
   
 20. L

  Lione Senior Member

  #20
  Sep 23, 2008
  Joined: Dec 1, 2007
  Messages: 115
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sasa niwakati wanaridhika,maana mnavyobadilika kama vinyonga,na mnavyopretande,hapo ndo mwaniacha hooi!
   
Loading...