Mwanamke/Mschana kuwa mcheshi

Msikilizaji

Member
Nov 6, 2008
51
9
Ndugu wana JF, kuna hiki kitu ambacho mimi huwa nashindwa kuelewa, ni kwanini mdada anapokuwa mcheshi wakaka/wanaume huwa wanachukulia kuwa she is easy to get.

Utakuta wakaka wengine wanamsema vibaya kuwa she is easy lakini hata kumjua hawamjui, ni kwanini wanfikiria hivyo?

Naomba msaada wenu ili nielewe hii phenomenon.

Karibuni
 
sitaki hata kulisiia hili nenowanaume jamaniiiii uuuuuwwwwwwwwwwwiiiii jamani yamenikuta
yani ni watu wa ajabu sana hawa viumbe lol
nipeni tu pole
 
Ni jambo ambalo halijazoeleka so kila amwonaye Ana mu-underestimate na kudhani ni dada poa kumbe ni swaga tu.

Mori
 
tena wacheshi ndio wanakuwa wagumu na wawazi, coz wanaweza kukuambia ukweli usoni, kuliko wa shingo upande, wanakuwa wakimya sana ila wanakula kwa kwenda mbele tena kimyakimya unashangaa kawamaliza group zima la marafiki, naona uchunguzi wako uufanye tena
 
Ni jambo ambalo halijazoeleka so kila amwonaye Ana mu-underestimate na kudhani ni dada poa kumbe ni swaga tu.

Mori

Lakini sidhani kwamba ni tatizo la kuzoeleka au la maana ni generation after generation limekuwa likitokea.

Hata kaka akiwa erudite bado anakuwa na notion kama hiyo that is why am failing to understand.
 
Ndugu wana JF, kuna hiki kitu ambacho mimi huwa nashindwa kuelewa, ni kwanini mdada anapokuwa mcheshi wakaka/wanaume huwa wanachukulia kuwa she is easy to get.

Utakuta wakaka wengine wanamsema vibaya kuwa she is easy lakini hata kumjua hawamjui, ni kwanini wanfikiria hivyo?

Naomba msaada wenu ili nielewe hii phenomenon.

Karibuni
Msikilizaji ni he/she?
 
sitaki hata kulisiia hili nenowanaume jamaniiiii uuuuuwwwwwwwwwwwiiiii jamani yamenikuta
yani ni watu wa ajabu sana hawa viumbe lol
nipeni tu pole

nenda kinondoni makaburini ndo utajua kwa nini ucheshi unatumika ktk ushawishi wa ngono. Ikumbukwe mwanamke kuwa na staha ni muhimu sana. Sio kukenua muda wote kwa kila anayekatiza mbele yako, lazima utasemwa vibaya kwani hiyo ni style ya machangudoa jamani wadada zetu.

Haya wa Kaka na wanaume tunawasubiria majibu yenu......

Kwa asili mwanamke anatakiwa awe mcheshi ili mpenzi/mumewe ajisikie raha anapokuwa naye, na ni kweli wanaume hupenda wanawake wacheshi. Tatizo vicheche vingi hupenda kujilengesha kwa style ya kujichekesha kwa wanaowawinda. Kwa kuwa ni ngumu kutofautisha yupi ni yupi, hapo ndo generalisation inapofika, kiukweli sio kila ajichekeshaye ni 'public woman'.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom