Ni aibu kwa mwanaume kutukanwa na mwanamke,either jf au fb,tuachen mambo ya kumix madem jamani.Mpaka aibu...khaaa!,hata wasichana pia.kuja jamaa katukanwa,sijui kama atafuatilia tena.
Wadau,
Nikiri kuwa mimi ni mpenzi mkubwa wa nachi nachi, mapicha ya sinema ya kihindi. Sababu kubwa ya kupenda, mbali na stori, ni yale mazingira ambayo jamaa hutujalia kuyaona(...
Habari zenu wana JF
wakuu kuna manzi ambaye nilimtongoza zamani kidogo lakini yeye alinikataa kwa kunitolea maneno machafu mno.baada ya kusikia ana mimba na aliyempa kaikataa nikamtongoza tena na...
Mara nyingi hujiuliza sana.......hivi yawaje hapa makala za ngono hushabikiwa sana mithili ya kuwa mahusiano ni ngono tupu?.....kama vile bila ya ngono hakuna mahusiano?................au yaliyomo...
Hatupendi tabu wala kupigishana kelele na wasichana sema wenyewe ndo mna tulazimisha kuongea. nyie wanawake ni watu na kutufariji na kutupeleka dunia nyingine. Lakini mnatumia mapenzi mnayotupa...
Habari ya maandalizi ya x-mas wakubwa?
Ikiwa tunaelekea kufunga mwaka, wengi tumepitia mengi ktk mahusiano yaliyotufunza namna ya kustahimili na kumudu hisia mbalix2 kwenye mahusiano. Natumai...
Ebu sikia hii, jamaa kamtongoza rafik kwa mda kama miez 6, dem kamkubalia tangu novemba..now wamekuwa wapenz ila dem hamuelew mshkaj sa iv ham2mii mesej kila siku kama zaman, inaweza pita siku...
Ndugu wana JF ni matumaini yangu kuwa aina zote za maisha au tabia zinaweza kujaribiwa na kuchwa kama hazifai lakini sio ndoa. Ndoa haijaribiwi. Ni vizuri mtu anapotaka kuingia katika kundi hili...
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumapili mwaka 2000, wakati huo ndio ujana wangu ulishika kasi na nilikuwa napenda kujirusha ile mbaya. Nilikuwa naishi maeneo ya Mwenge, lakini maeneo yangu ya...
habari zenu wakuu!
nina jamaa yangu anasumbuliwa na mawazo kuhusu huu mkasa!jamaa anae dem wake na hivi karibuni demu wake akasafiri kuelekea kusalimia maskani,baada kama ya siku 6 demu akampigia...
What up jf, how waz xmas? op was ok! katika heka heka za maandalizi ya xmas nkakutana na manzi m1 mkali, nkampiga somo akalielewa kama wanafunzi wanavyoelewa reproduction katika biology! ila...
Hivi ni kweli kwamba binadamu huwa tunatokea kupenda mara moja tuu! katika maisha yetu na hatuwezi penda mwanamke/mwanaume kwa mara ya pili kwa kiwango kilekile?
Nimeenda home na mke wangu kwa mapumziko ya sikukuu, toka tuanze maisha hajawai kufika kwetu, tatizo tumekaa wiki moja tu amekasilika hataki hili wala lile hadi maza ananiuliza kulikoni...
mimi nna mchumba ambaye kanizidi elimu yeye ana shahada na mimi nna stashahada,wana jf naomba ushuri wenu je?kuna tatizo nikimuoa kwa kuwa amenizidi elimu?
Ni wazi kuwa migongano katika ndoa hutokea , lakini tatizo huwa ni namna ya kusuruhisha migongano hiyo. Katika ndoa mnaweza kukwaruzana kitu kidogo sana lakini kisipotafutiwa utatuzi mapema...
Jamani nimekaa nikajiuliza inapotokea mtu akafungwa Jela, na alikuwa na mke/mume je hatma ya ndoa yao ikoje? Je anayebaki uraiani anatakiwa asipate unyumba hadi kifungo cha mwenzi wake kiishe...
Habari ya sikukuu wana Jf(MMU)
Jamani mim nilikuwa naomba kujuzwa tofauti kati ya kupenda sana na kupenda kawaida au kidogo, na nimambo gani mtu akiyafanya kwa mpenz wake(wakike/kiume)...
jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na...
Thread ya Lizzy(Zawadi ya ngono) imeongeza sintofaham kwenye ubongo wangu,hasa michango ya waliochangia.Nilikua najiuliza maswali mengi sana.Hivi tutaweza kurudisha nidham kwenye mahusiano kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.