Naufunga moyo wangu na ufunguo nautupa baharini

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Hatupendi tabu wala kupigishana kelele na wasichana sema wenyewe ndo mna tulazimisha kuongea. nyie wanawake ni watu na kutufariji na kutupeleka dunia nyingine. Lakini mnatumia mapenzi mnayotupa kama fimbo ya kutupigia na kutunyanyasa hadi kutuweka roho juu kiasi kwamba hata chakula hakiliki. haiwezekani jana tangia saa tatu asubuhi unaniambia eti unaniletea box nifungue pasipo kukuona eti unakuja saa tano usiku bila chochote na kusema kufuli yako ndo box eti nifungue huku umelewa. rudi huko huko. Mia
 
We vp? Hivi kuna zawadi kubwa zaidi ya mzigo?sasa we ulitaka ukuletee boxer?ayaaa umepoteza mzaz!
 
hahahahahah pole....

ukiutupa funguo baharini...
ukamezwa na samaki...
samaki akivuliwa na mvuvi....
mnunuzi ataupata tena huo ufunguo.......
 
Saa ingine hata aina ya mwanamke/mwanaume ambae unakua nae hu affect matatizo/raha uzipatazo ndani ya mahusiano....

BTW kumbuka kuna watu watundu na wabishi kiasi kwamba anakua mtaalam wa kuogelea (hata kwa visaidizi) hadi anaupata ufunguo...lol
 
Tatizo kufuli yake umeizoea sana ndo maana ulikuwa unatarajia kitu tofauti.....Poleee!
 
wananunuzi bora waununue sipo kuliko angekuwa anauuza na mimi nipo nae. wanakela sana. Mia
 
mzee wa mia umepatikana?
Hivi bado kuna wanawake walevi dunia hii?
Huku kwetu mbona hamna?

Duh, ulevi noma!

Yanni mlevi afanye utupe funguo? Never!!!!
Kamata mtetea pori utulie.
 
Saa ingine hata aina ya mwanamke/mwanaume ambae unakua nae hu affect matatizo/raha uzipatazo ndani ya mahusiano....

BTW kumbuka kuna watu watundu na wabishi kiasi kwamba anakua mtaalam wa kuogelea (hata kwa visaidizi) hadi anaupata ufunguo...lol

cha ajabu anajifanya ana wivu sana na wewe wakati yeye huko anako shinda na kulewa hakuambii alikuwa na nani. Mia
 
Tatizo kufuli yake umeizoea sana ndo maana ulikuwa unatarajia kitu tofauti.....Poleee!

bora angeileta mapema nikashinda nayo kuliko kuileta nshakasilika na kununa na mizaha isiyo na maana. huo mda wa kupigishana naye kelele si bora kutafute mwingine mwenye kunijali na kuniliwaza. mia
 
Hatupendi tabu wala kupigishana kelele na wasichana sema wenyewe ndo mna tulazimisha kuongea. nyie wanawake ni watu na kutufariji na kutupeleka dunia nyingine. Lakini mnatumia mapenzi mnayotupa kama fimbo ya kutupigia na kutunyanyasa hadi kutuweka roho juu kiasi kwamba hata chakula hakiliki. haiwezekani jana tangia saa tatu asubuhi unaniambia eti unaniletea box nifungue pasipo kukuona eti unakuja saa tano usiku bila chochote na kusema kufuli yako ndo box eti nifungue huku umelewa. rudi huko huko. Mia

hii ni pande zote bana, hata sisi huwa tunategemea faraja kwenu na hamna kitu, wote ni sawa tu.
ila hilo la kutupa funguo, usiutupe baharini ni afadhali unipe nikutunzie mpaka hapo ukiuhitaji tena.:eyebrows:
 
hahahahahahahahaha,
pole sana mkuu
 
hahahahah
pole sana mkuu mambo ya sikukuu
alikuwa analewa na marafiki zake waliokuwa wanasoma
wote shule ya msingi
 
hii ni pande zote bana, hata sisi huwa tunategemea faraja kwenu na hamna kitu, wote ni sawa tu.
ila hilo la kutupa funguo, usiutupe baharini ni afadhali unipe nikutunzie mpaka hapo ukiuhitaji tena.:eyebrows:

mapenzi ya siku hizi si ya kurudia njia ulopitia, mambo ni mbele kwa mbele. coz wapo wengi wanakuwa wanasubili na wazuri sema kwa kuwa unakuwa unamuhitaji umpendae unaamua kupotezea. ya nini kukaa na mtu anayekufanya kila saa unune? Mia
 
hahahahah
pole sana mkuu mambo ya sikukuu
alikuwa analewa na marafiki zake waliokuwa wanasoma
wote shule ya msingi

basi angesema bwana eeh...siji mimi nipo na kampani tulosoma wote huku. na mimi ningetafuta cha kufanya kuliko kunifanya nizee nyumbani. simu alikuwa hapokei, msg hajibu, ukimuuliza kwa nini eti hakuona msg wala hajaskia simu ikiita na hakuona mussed call. mi nmechoka. Mia
 
wananunuzi bora waununue sipo kuliko angekuwa anauuza na mimi nipo nae. wanakela sana. Mia

Tatizo atakayenunua samaki nani? Ukiwa na bahati mbaya mnunuzi anaweza waachia vijana wapaaji wa feri wasafishe samaki,ufunguo utaokotwa na teja

bahati ikiwa mbaya samaki atasafishwa nyumbani na mke wa mtu,utarudi jamvini unalia

ukiwa na bahati njema funguo itakutwa na mrembo mmoja,cjui atakutenda tena? Mia.
 
dah..!!. sijui nilifanyeje hili litoto. limekaa kimtego mitego. huwa sipendi kupiga wala kutukana. dawa ni kumtoa moyoni tu japo yataka moyo. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom