Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

NImepewa hii scenario na kaka yangu. Amekuwu nje ya nchi tangia 1996. aliondoka akiwa kijana mdogo hadi sasa ana 40's. Katika kipindi hicho, ladies friends zake wote wameolewa. rafiki zake wa...
2 Reactions
137 Replies
11K Views
Naombeni mnisaidie kidogo ili nipate kufahamu maana naona hii social network haina faida kabisa, Mara ya kwanza tulionana fesibuku nililike picha yake hapo sasa ndo kosa baada ya hapo nikatumiwa...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Kuna vitu ambavyo ukifanyiwa unaweza ikachukua mwaka mwingine kusahau yapo mazingira tofauti ila naomba wenye mahusiano ya jinsia tofauti tafadhali na si jinsia moja hivi ni kipi kimekufurahisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana MMU Natumaini mlikuwa na blessed Xmas? Sio hivyo kwa mdogo wangu, ambaye ni nurse ambaye baada ya kutoka mapema night shift alimfumania mumewe akimbaka msichana wa kazi. Amelazimika kuchukua...
1 Reactions
469 Replies
30K Views
Kuna rafiki yangu hayupo JF ila ameniomba nimuombee ushauri, yeye anamhisi mkewe ana mahusiano na mtu mwingine na wanawasiliana kwa simu, je akienda ofisi za vodacom watamsaidia kuchapisha meseji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani hivi ni kweli mmo ndani ya ndoa lakini ukimtaka mkeo kimwili uanze kumtongoza kama vile hamjawahi kuonana ingawa mnalala kitanda kimoja
0 Reactions
3 Replies
983 Views
Amani ya M.Mweenyezi Mungu iwe nawe na msamaha wake na baraka sake ziwe Juu yako. Heri ya mwaka mpya kwa wale ambao M.Mungu atawajaalia kuuufikisha. Nimatumaini yangu kuwa utakuwa Mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Showstopper... ni wale warembo ambao, wakipita barabarani waaacha waume domo zege, waume lazima wapinde shingo. Mwenyezi mungu kawaumba kwa MAKINI zaidi, nao wanajua, huongezea madaha. Warembo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Love relationships among the lovers are like bluetooth. They stay connected when they are close. And when you go away they find new devices.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mtumishi naishi KISARAWE nimebahatika kumtafuta mchumba mwaka huu ambaye alikuwa hana kazi sasa amepata kazi DODOMA najaribu kufikiri jinsi atakavyo ishi kwa mazingira haya ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Now at A-town nnajitahidi kwa nguvu za majicho yangu kuangaza apa na kule ili nipate rafiki ama marafiki wa kike ambao tutapata kubadilisha maujanja ya namna maisha yanavyoenda.Ebu nifurahisheni...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Poll Poll
habari zenu wana jf,ni hivi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana ila ikaja ikatokea amepunguza mapenzi kwangu,baadae nikagundua kuwa anatoka na msichana mwingine kwa siri na hakutaka...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
kwa kawaida amtu ambaye yuko serious hatakiwi kutafuta mwenza kupitia mitandao, ila ina nibidi kufanya hivyo kwa kuwa ni tatizo na ninajaribu kulitafutia ufumbuzi . (kuhusu mimi) nina miaka 23...
2 Reactions
306 Replies
22K Views
Wadau kuna mademu wanamashavu manene!!!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwaka unaisha keshokutwa hebu tuambizane thread gani ilihit sana kwa mwaka huu?
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Waungwana hebu nisaidieni kwenye hili suala ambalo nimekuwa nikilifikiria kwa muda mrefu bila jibu sahihi.,ni hivi eti mke wako ni ndugu yako au ni rafiki yako?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari, im calvin..aged 23 frm dar..kitaaluma mi ni mwalimu..nahitaji msichana mzuri na mkeli,ambae ataniweka waz kila ki2,ambaye hapend uongo,co mwenye fikra potofu..ambaye atanipenda jinsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi sijaoa lakini nimesikitishwa na kitendo cha rafiki yangu mmoja ambae ana mchumba wake na wamekua ktk uchumba kwa karibia mwaka sasa, huyu rafiki yangu alishauriwa na mtu wake wa karibu ili...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu!ebana,juzi kati ivi niko zangu viwanja,nkakutana na mmanzi flani hvi,dezaini umbo lake ukilicheck unaweza uhisi ni binti mwenye miaka 23 na kuendelea!bac,me nikawa nimemind...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF, Mwaka huu nipo katika harakati za kutafuta mchumba katika mazingira ninayoishi na kwingineko, nimeona sio vibaya pia nikiweka wazi nia yangu hapa ili mwanamke yoyote...
0 Reactions
149 Replies
13K Views
Back
Top Bottom