MMU yaabudu ngono?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Mara nyingi hujiuliza sana.......hivi yawaje hapa makala za ngono hushabikiwa sana mithili ya kuwa mahusiano ni ngono tupu?.....kama vile bila ya ngono hakuna mahusiano?................au yaliyomo ndani ya MMU sana sana yanathibitisha ya kuwa hiki ni kizazi kinachoabudu ngono bila ya kujijua?
 
Sasa mbona na wewe umewaza kingono ngono badala ya kuja na topic mbadala? mawazo yako yana makengeza!!
 
Ngono ni sehemu ya maisha na viumbe wote watembeao, watambaao na warukao wametokana na ngono~~~~~~~~~~!
 
Ngono ni sehemu ya maisha na viumbe wote watembeao, watambaao na warukao wametokana na ngono~~~~~~~~~~!
Habari yako binafsi mamito,
Hakuna mahusiano bila tendo la ndoa,bali kuna mda wa kufahamiana na kuanza mahusiano yatakayoishia kwenye ndoa na tendo la ndoa,
Yakiwepo jua kila mtu anachakachua kwa wakati wake na mtu mwingine,
Tusipingane na ukweli hiyo ndio hali halisi other wise kila mahusiano ya mapnz huishia kwenye tendo la ndoa.
 
Mkuu tatizo ni nini hasa? Mamemba wa mmu ni binadamu kama binadamu wengine hivyo mabandiko yao ni reflection ya fikra/mawazo ya binadamu wa kawaida unaokutana nao kila siku ofisini,kwenye sherehe,barabarani,gest ,kaunta,kanisani,msikitini ,kwenye daladala etc. au post za mmu zinakukera?
 
Mara nyingi hujiuliza sana.......hivi yawaje hapa makala za ngono hushabikiwa sana mithili ya kuwa mahusiano ni ngono tupu?.....kama vile bila ya ngono hakuna mahusiano?................au yaliyomo ndani ya MMU sana sana yanathibitisha ya kuwa hiki ni kizazi kinachoabudu ngono bila ya kujijua?
Ruta sio kuabudu ngono,
Hili jukwaa mambo haya dio mahali pake,na unajua kbs mahusiano ya kimampnz ni sehemu ya maisha,
Na mapnz ndio kilio cha wengi unatajia nn?
Ni lmz tujifunze na kuyaongelea haya mambo kwa mwisho wa siku kwa ukamilifu wetu lzm tufanye hiyo kitu.
 
Mara nyingi hujiuliza sana.......hivi yawaje hapa makala za ngono hushabikiwa sana mithili ya kuwa mahusiano ni ngono tupu?.....kama vile bila ya ngono hakuna mahusiano?................au yaliyomo ndani ya MMU sana sana yanathibitisha ya kuwa hiki ni kizazi kinachoabudu ngono bila ya kujijua?

Ruta umehoji vizuri sana hata mimi naunga mkono hoja kama MMU hawaabudu ngono bila kujijua basi wanaelekea huko.

Kama tungekuwa tupo realistic tukafanya reseach kukujua kati ya popular member wa MMU ni wangapi wamewahi kutongozana basi matokeo yangekaribia 60% kwa maoni yangu au kuzidi.

Ushahidi zaidi ni mada za kingono ngono zikitolewa ma wakongwe wa MMU zitaenda mbali kama vile kuna tukio la breaking news tena ya haja ambayo kila mtu anahamu ya kujua nini kitaendekea.
 
Mie sijaelewa kabisa nisaidieni kunielewesha

Kwamba MMU member kutokana na hoja mbali mbali za kimapenzi zinazojadiliwa kwa ushabiki mkubwa je member hao wa JF waliojikita sana kwenye jukwaa hilo wanaabudu ngono bila kujijua?
 
Ngoja kwanza nikamwombe Invisible anipe ufafanuzi na kudadavua maana ya MMU!!

Otherwishe, nimepata mental block!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hii ni jamii kama jamii unayoishi wewe.....raha yake ni kuwa huru kuexpress yaliyo moyoni bila kuhukumiwa.upende usipende ngono iwe na mapenzi isiwe na mapenzi huchukua sehemu kubwa sana ya maisha yetu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom