nachid
JF-Expert Member
- Apr 14, 2011
- 936
- 203
Nimeenda home na mke wangu kwa mapumziko ya sikukuu, toka tuanze maisha hajawai kufika kwetu, tatizo tumekaa wiki moja tu amekasilika hataki hili wala lile hadi maza ananiuliza kulikoni? Nikimuuliza tatizo hataki kusema, sasa wadau hili limekaeje nikiamua kumpiga chini itakuwa kosa maana aibu aliyonipa siwezi hata kusema.