Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika...
Habari toka ndani ya mji Monduli ni kwamba Mbunge wa Wilaya ya Monduli amefiwa na mdogo wake wa kuzaliwa. Na bila shaka ni hbr nzito kwani kifo jamani ni janga kubwa kwa kila awaye yote,Habari hii...
Wana JF
Habari za masiku. Kuna binti mmoja rafiki yangu ( msinishambulie sio mpenzi wangu ni rafiki tu basi) amekwisha mpata wake na wameamua kuishi pamoja. Binti ni muislamu na kijana mkatoliki...
this post was deleted by eliah kamwela
Jamani,kwa wale vijana ambao hawajaoa bado,nawatahadharisha juu ya kuoa mabinti kutoka vyuo vikuu(wasomi).
Kwa uchunguzi nilio fanya wadada wengi{si wote}...
habari! jaman wanandugu mie nilikuwa na boyfrnd wangu 2lipendana sana akanitambulisha kwao na mwakan ilikuwa tufunge ndoa, sasa kuna siku tulikorofishana nikamjibu hovyo sana later nikamwomba...
Imefikia mahali tuanze kuzungumzia tabia za watu zinapotokea ili kama unaamua kufanya jambo au kuanzisha uhusiano ujue unachofanya.Maana malalamiko yamezidi kila siku huyu kamtenda huyu mara sijui...
Hivi karibuni nimesoma utafiti katika makabrasha yangu kuhusiana na maradhi mbalimbali yanayowakabili wanawake walioko kwenye ndoa au uhusiano wenye mashaka. Tafiti zinaonyesha kwamba, wanawake...
Haya wapendwa nawaletea kisa kingine.
Kuna mwanamke mmoja mtu mzima, alinifuata nimsaidie kumshauri mpenzi wake aliyenaye angalau akubali kuzaa nae hasa baada ya kukataa kumwoa! Alisema kwa...
Wakati nasherehekea siku yangu ya kuzaliwa kuna kituko kimewahi kunitokea nimekikumbuka sana leo.
Kuna binti mmoja amewahi kutangaza ana mimba yangu wakati hata kusalimiana naye sikuwahi. Halafu...
Ndg zangu WanaJF! Hili nimependa niwajuze tu! Yule Mmasai aliyekuwa anatangaza bia ya kampuni ya TBL kwa kutoa advertise ya kukimbia na kutaka kuruka mto na kudondosha kizibo cha bia ya safari...
Ni ukweli usiopingika kwamba wanaume sio waaminifu ktk mapenzi ukilinganisha na wanawake! Ktk utafiti niliofanya nimegundua kuwa asilimia 80 ya wanaume sio waaminifu ukilinganisha na asilimia 20...
WanaJF naombeni mnisaidie kwa ili nabishana sana nadadazangu wao wanataka niwaletee mwanamke mzuri tabia sura yoyote, wakati mie naamini mwanamke sura tabia ntambadilisha mana naogopa kuna...
Wana JF habari...
Kitu cha ajabu kimenipata nimeona niweke hadharani, nina rafiki yangu kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasiliana, lakini baadaye nikamwambia ukweli jinsi ninavyomzimia...
....ushauri wandugu...maana huu utamaduni unaonifanyisha nifikirie kwa lugha ya kigeni karibu naadhirika ugenini...
nimeletewa zawadi na mlimbwende (namshukuru mungu sina wa kuniuliza nimepewa...
habari za leo ndugu zangu...kuna bf wangu ambaye tulianza urafiki zaidi ya miaka kama 2 na nusu iliyopita, japo tulijuana kwani tulisoma primary pamoja lakini hatukua na uhusiano wowote ule. kwa...
ebwana wee siku hizi naona kwamba most ladies ukiwagusa wanakwambia kuwa ana bf au just from a relationship. sasa wewe kama ndio unaingia kwenye mahusiano ulishawahi kujiuliza uhusano wa mwhisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.