Namna ya kurudisha mahusiano mazuri katika ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya kurudisha mahusiano mazuri katika ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MAGISAC, Dec 26, 2011.

 1. M

  MAGISAC Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wazi kuwa migongano katika ndoa hutokea , lakini tatizo huwa ni namna ya kusuruhisha migongano hiyo. Katika ndoa mnaweza kukwaruzana kitu kidogo sana lakini kisipotafutiwa utatuzi mapema kinaweza leta madhara na kuvuruga uhusiano. Kama wewe ni mwanandoa na imetokea umemkwaza mwenzio kiasi cha kumfanya akasirike unaweza kujaribu hii. Mkiwa kitandani huku umemsogelea kwa sauti ya upole mwombe msamaha huku ukionyesha kweli unajutia kile ulichofanya. Mwambie maneno matamu yatakayompa faraja. Usiishie hapo mwonyeshe hisia zako za kimapenzi kwake. Muhimu zaidi mpe mapenzi motomoto siku hiyo. Ukitoka hapo hakuna atakayetaka kuanza kujadili kuhusu kosa hilo. Huu ni mtazamo wangu na imenisaidia binafsi. Matatizo mengine yanaweza kumalizwa na wanandoa wenyewe sio lazima kuwashirikisha watu wengine.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mmh haya! ngoja nichokoze mtu halafu nitumie mbinu hii. NITALETA MAJIBU
   
 3. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika thread chache zenye maana hii ni mojawapo,

  Taifa linatokea kwenye familia ambayo inaanzia kwenye ndoa.

  Ndoa ikisimama,ni pamoja na familia na Taifa kwa ujumla.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  atasameheea kama hajabaka underage!
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh hujaisahau tu jamani! Hivi madame ameamuaje? Kumshauri wasameheane au ndo kwishineee????? Dah maisha yana mambo.
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Unajua kuna wakati mwenzako anakukosea lakini haoni km ni kosa, anachukulia kawaida so hapo itakuwaje? Lazma mambo yasiishe na hii njia yako itakuwa ngumu ku apply. Halafu kuna vitu vingine kusameheka kirahisi ni ngumu,inachukua muda sana kufutika moyoni,inategemeana na ukubwa wa kosa.
   
 7. e

  ejogo JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inategemea ni kosa gani!
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ....'rushwa' ya ngono?...hapana bana, utatuzi wa migongano ya fikra isitatuliwe kitandani pekee,
  kwa kufanya hivyo mnakaribisha mianya ya kunyimana tendo la ndoa kama ishara ya mpasuko.

   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yah km ni kusuluhisha yasifike kitandani,muyamalize hapo hapo hata kabla hayajawa makubwa km kweli mnapenda kuyamaliza.
   
 10. V

  Victor Jeremiah Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni ushauri mzuri,unasaidia kuboresha ndoa. Nyongeza kidogo tu, kuna baadhi ya mambo ni vizuri mkamalizana kabla hata hamjafika kitandani. Kubali kushuka tu,kama unajua umemkosea mpenz wako,usitafute visababu ili uonekane hauko guilty. ukiomba msamaha kwa kumaanisha,hata ukitoka nje hatutajua kama uliomba msamaha. Nasema hivyo,coz kuna wengine wakikasirishwa,haingii chumbani/kitandani, siku hiyo atalala chumba cha watoto/ cha wageni,atalock kwa ndani,kama ulikuwa una time umuombe msamaha kitandani,umemkosa,then asubuhi anawahi kuamka, anasepa
   
 11. M

  MAGISAC Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ninazungumzia makosa yanayofanywa na wanandoa ambayo yanaweza kumalizwa na wanandoa wenyewe bila kuwashirikisha watu wengine.
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Raha ya kusameheana ni kumaliza ugomvi kabla ya kuingia kitandan!japo hata technic hii ni nzuri kulingana na aina ya kosa na huyo umwombae pia!kwa mtu km mwenzangu na mie tunaopenda bila vibaya na kufuta kbs ile option ya kuachana au kuhama chumba hapo hatutakua na ujanja lol!
   
Loading...