Kupenda sana/kidogo ndo kukoje..?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupenda sana/kidogo ndo kukoje..??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtalingolo, Dec 25, 2011.

 1. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Habari ya sikukuu wana Jf(MMU)
  Jamani mim nilikuwa naomba kujuzwa tofauti kati ya kupenda sana na kupenda kawaida au kidogo, na nimambo gani mtu akiyafanya kwa mpenz wake(wakike/kiume) ataonekana anapenda sanaa na yapi akifanya atakuwa anapenda kawaida?
  Sina maana mbaya ila ni kutokana na wing wa lawama za watu kuumizwa na mapenzi pindi mahusiano yanapofikia kikomo.,

  msaada ndugu wapendwa...!
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Uwe unatumia akili kwenye kupenda sio mihemko tu.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,497
  Likes Received: 81,828
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  subiri experience huwa ni mwalimu mzuri
  mapenzi hayaui ila yanavunja mgongo.
   
 5. Kitaja

  Kitaja JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 2,647
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 280
  kwa mwanaume ukipenda sana utatoa sana pesa na vitu kibao ili kumwonyesha mwanamke kuwa unampenda.mwanamke yeye akipenda sana huwa tayari kukusikiliza na muda wote huogopa kukuudhi kwa hiyo atatii unachomwambia. lakini mwanamke akipenda kidogo hata ukiwa nae akipokea simu ya mtu mwingine yuko tayari kukuacha na kwenda kwa huyo jamaa. anakuwa nawe pale yule ampedaye kwa dhati anapokuwa hana nafasi nae.
   
 6. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  itabidi wewe mwenyewe ujitengenezee litmus test.
  everything comes from experience
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  gat you mkuu, ngoja kuanzia mwaka ujao nianze kujichunguza mwenendo wangu.
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duuh kemia ilinishindaga bt i'll try it mkuu,
   
 9. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Experience gani mkuu? Au yakutendwa kwanza? Naogopa kuumia moyo.
   
 10. V

  Victor Jeremiah Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kupenda sana; 1.kurespond haraka kwa kila jambo utakaloambiwa na mpenzi wako kulifanya wakati mwingine bila hata kuwa na muda wa kureason,kuangalia kama kuna logic
  2.kukubali hata kutoroka kazini,muda wa kazi,mara kwa mara,ili kwenda kukutana na mpenz wako, bila kujali kuwa tabia hiyo inaweza kukuachisha kazi kijinga
  3.kumpigia simu,sms mara kwa mara huku yeye amekaa kama operator,kusubiri simu zako na sms,hata kama yeye hakutafuti,usipomtafuta hata masaa 2, akikukoromea, unaanza kuomba msamaha,ili usiharibu mahusiano
  4.kujitahidi ku care beyond uwezo wako,kuwa tayari hata kudanganya kwa rafiki zako una shida ya haraka kama laki 1,utawalipa mshahara ukitoka,then unaenda kumpa mpenz wako aende salluni
  5.Mapenzi yenu kuendeshwa kwa misingi ya SLAVE AND SLAVE MASTER, yaani SLAVE=WEWE, SLAVE MASTER=YEYE. WEWE hutaliona hilo,ukijiaminisha kuwa ni wajibu wako kucare that way,kumbe mwenzako anakuona *****, sehemu ya kuchuna mpaka tone la mwisho.

  KUPENDA KAWAIDA
  1.Kutorespond haraka kwa kila jambo utakaloambiwa na mpenz wako,i.e- kukaa chini na kutafakari kama jambo uliloambiwa linahitaji uharaka anaouhitaji au la(be logical). e.g huwezi ukachomoka kazini,just because amekupigia akikuomba uende haraka gheto kwake kuna panya kapita ghafla,na yeye anaogopa kushuka chini ya meza.
  2. Kutokubali ku risk mambo yako ya maana,just kukutana na yeye,kuwa muwazi kuwa saa flani mpaka saa flani ntakuwa kazini,there is no way kwa sisi kuonana ktk muda huo, hata kama akilazimisha,unamkatalia,huwezi ukaleta mdhaha na kazi inayokuweka mjini.
  3.usikubali kuweka utaratibu wa namna hiyo ktk mahusiano yenu. YOU ARE NOT MADE OF STEEL/STONE/NON LIVING OBJECT. Umwambie unajisikia raha/relief unapopigiwa au kuandikiwa meseji naye,siyo kila siku wewe 2 do unapiga na ku sms, asipobadilika,onyesha kwa vitendo, uchune, usimpigie simu/sms ili uone je na yeye huwa anakumiss? anaweza kufika mahali akkupigia simu/sms. asiporespond, endelea kuuchuna , akilalamika, mwambie hukuumbwa kupigia watu simu/sms, you need to trace me too. LOVE IS SOMETHING MUTUAL,BOTH DIRECTION, NOT UNIDIRECTIONAL/SINGLE DIRECTION. Akileta UJEURI, MPOTEZEE,PIGA CHINI, MUNGU ATAKUJAALIA KUMPATA ATAKAYEKUWA ANAMAANISHA/SERIOUS
  4.DO NOT CARE BEYOND YOUR ABILITY. MWeleze uwezo wako mwisho ni kiasi flani, akianza kulilia care eyond uweo wako ,mwambie huwezi kufanya hivyo. usijifanye kidume wakati huna kitu. akidengua kimpango wake. usiingie gharama mpaka unakopa kama hakuna sababu ya msingi. e.g unakopa ili umnunulie pete ya uchumba ya milioni 2, wakati mshahara wako laki 3 kwa mwezi. kopa kama mama au ndugu ama wako/wake anahitaji operesheni na hela hamna ukoo umejichanga ukapata kiasi flani,then unaweza kopa ku top up,na mambo significant yafananayo na hayo.
  5.Mapenz yenu yasiendeshwe kwa misingi ya SLAVE AND SLAVE MASTER. wote mpeane care, na siyo wewe ndo utoe care ,yeye ameweka miguu juu anasubiri care zako. hayo sio mapenz,ni kupotezeana time. YOU WILL NOT MAKE A GOOD HUSBAND AND WIFE


  kaka huo ndo ushauri wako, kama vipi,ukiupotezea ,sawa, utamsaidia na mwingine atakayeusoma, ukiufanyia kazi ,UNALIPA, WISHING YO GOOD BOXING DAY
   
 11. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hakuna SI unit nor princplz 4 love. Be creatv!
   
 12. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Ahsanteee....Great presentation,na hayo uliyoandika ni kweli kabisa!
   
 13. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nashukuru sana Victory, nadhani ulioyaandika ni kama kioo yatakuwa kwangu ntakuwa naangalia kama napenda saana(maanayake napelekwa kizembe) au napenda kawaida(sipelekwi kizembe) happy boxing day u2.
   
 14. V

  Victor Jeremiah Member

  #14
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana HEART, for appreciating, HAPPY BOXING DAY! Thank you Mtalingolo, have a good BOXING DAY
   
 15. kikwakwa

  kikwakwa Senior Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heshima kwako victor even me umeniamsha toka usingizini maana kwa ulivyoshauri mi nipo kwny msingi wa SLAVE,4rom now nimifunguka.
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa maelezo yyako mazuri umejitahidi sana
   
 17. V

  Victor Jeremiah Member

  #17
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante Mr. Rocky, pamoja na kikwakwa for appreciating, have good boxing day, both of you
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Karibu sana
  japo naona ni mgeni sana humu ila uchambuzi wako uko makini na hongera sana
  At least umefikisha ujumbe
   
 19. sister

  sister JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  kwakweli!
   
 20. sister

  sister JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  aisee where have you been kutupa hili darasa? anyaway ujachelewa sana . ahsante kwa elimu nzuri ntaifanyia kazi kwa kweli.
   
Loading...