Yaliomkuta rafiki yangu.....

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
habari wana jf,ni hivi utajuaje kuwa uliyenaye anakupenda? na ni mambo gani ya kuangalia?
 
itabidi kufungua forum ya learner, au kuwe na mandatory training kabla ya ku-submit registration.
 
itabidi kufungua forum ya learner, au kuwe na mandatory training kabla ya ku-submit registration.

Na wewe Dada Mkuu vipi??

Wakujukuu zangu utawafikisha salama???

Mtoto akija analia si unampa pole kwanza halafu unamsikiliza?? Itabidi na wewe tukurudishe class!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom