Wapo wengi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapo wengi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sawabho, Dec 27, 2011.

 1. s

  sawabho JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Ndugu wana JF ni matumaini yangu kuwa aina zote za maisha au tabia zinaweza kujaribiwa na kuchwa [/FONT][FONT=&quot]kama[/FONT][FONT=&quot] hazifai lakini sio ndoa. Ndoa haijaribiwi. Ni vizuri mtu anapotaka kuingia katika kundi hili atafakari kwa kina [/FONT][FONT=&quot]kama[/FONT][FONT=&quot] anayeingia naye anamfaa kweli. [/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Kuna rafiki yangu mwaka 2009 kachumbia Mdada, huko mikoani (nyumbani) yeye anaishi na kufanya kazi mjini. Watu wa karibu wakamwambia kuwa huyo Mdada hafai kuwa mke wa mtu labda kwa starehe tu. Walifikia hata kunipigia simu na kuniomba nimshauri. Jamaa kang’ang’ania, mpaka kaoa. Kibaya zaidi, kamwambia mkewe kuhusu wale waliomtahadharisha. Mrs kawapiga marufuku nyumbani kwake nikiwemo mimi. [/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Sasa baada ya kumleta mjini mambo yamekuwa magumu, bahati mbaya ndoa imechewa kujibu, jamaa yangu akirudi kutoka kazini Mrs hayupo na simu haipatitikani. Jamaa kamrudisha nyumbani kwao (Kwa wazazi wa mwanaume), huko tunasikia Mdada amefungulia mbwa. Sasa Jamaa yangu anasema hataki kumwona huyo shem wangu, wanawake ni wengi ataoa mwingine. [/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Tatizo ninaloliona hapa ni hili:[/FONT] [FONT=&quot]i) [/FONT][FONT=&quot]Unapoa/olewa tayari umepiga hatua katika maisha, kuacha /kuachwa ni kurudi nyuma kimaisha;[/FONT] [FONT=&quot]ii) [/FONT][FONT=&quot]Umelipa mahari ambayo ungeyatumia kwa shughuli za maendeleo na inakuwa vigumu kurudishwa;[/FONT] [FONT=&quot]iii) [/FONT][FONT=&quot]Ukiacha/kuachwa unaweka doa katika familia yako kwa maana watu watakapotaka kuoa au kuolewa kwenu wataangalia historia ya familia yako. [/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Je, Wana JF huu msemo wa ….Wanawake/ Wanaume wako wengi ni msemo sahihi au unapotosha? [/FONT]
   
 2. huzayma

  huzayma Senior Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni sahihi kabisa, wanawake /wanaume wapo wengi saaaana, lakini wanawake/wanaume wa kufunga na kuishi kwenye ndoa ni wachache, tena sana.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,232
  Trophy Points: 280
  mpe pole
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  msemo VALID STATEMENT
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  no comment!
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Maisha ya ndoa yanahitaji ushauri na km mtu anashauriwa hakubali itakula kwake km huyo jamaa
   
Loading...