Wafungwa-Hatma ya Ndoa zao Ikoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafungwa-Hatma ya Ndoa zao Ikoje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Erickb52, Dec 26, 2011.

 1. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Jamani nimekaa nikajiuliza inapotokea mtu akafungwa Jela, na alikuwa na mke/mume je hatma ya ndoa yao ikoje? Je anayebaki uraiani anatakiwa asipate unyumba hadi kifungo cha mwenzi wake kiishe mfano Miaka 15? Je kiubinadamu inawezekana kuvumilia kwa muda wote huo hata kama unajilinda? Haki ya wanaobaki uraiani ikoje? Na km akitoka nje kuna ubaya au afanyaje?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  mmmmmh jaribu hili miaka 15? au kifungo cha maisha? mmmh
   
 3. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mambo kama haya hutokea pindi unapotupwa lupango
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mtoto hafundishwi kunyonya.
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ndio maana watu walio jela huanza kufanya ustaarabu wao tofauti kwa kutumiana wao kwa wao
   
 6. p

  pilu JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kabisa kuvumilia, vinginevo kile kiapo cha "Nitavumilia wakati wa shida na raha" kifutwe!.
   
 7. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hata magereza ya bongo kulikuwa na vyumba maalumu vya wafungwa kukutana na wenza wao ila kwa sasa vimebomolewa na serekali imeongeza vyumba ya kulala wafungwa
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  So Kongosho unataka kusema mambo yatajipa yenyewe? na je atakapoachiwa huru utajisikiaje kumsaliti?
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hilo ni jaribu kubwa sana jamani linahitaji kuangaliwa pia.
   
 10. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kizuri share na wenzako.
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh ila usijue km mnashare coz ni balaaaa
   
 12. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii kitu imekaa vibaya ila nafikiri kutakuwa na kautaratibu flani kwa wenye ndoa ila lazma utoe chochote kwa askari
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ila kwa hapo lazma aliyebaki nje awe na huo moyo wa kumpa mwenzake haki yake
   
 14. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Kwa nini kusiwekwe kachumba ili waliofungwa wawe wanapata haki zao kutoka kwa wenzi wao.Mbona USA wanazingatia haki za wafungwa.
   
 15. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kuna haja ya kuangalia haki za wafungwa ikiwa ni pamoja na kuwapa haki ya kukutana na wenzi wao wa ndoa. Kifungo hakijamuondolea haki hiyo.Kama tuna nia basi hili linawezekana. tatizo letu ni ukosefu wa ubunifu katika mfumo wa magereza yetu na ni moja ya majukumu ya tume ya haki za binadamu.
   
Loading...