Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Source: The Love Calculator We all know that a name can tell a lot about a person. Names are not randomly chosen: they all have a meaning. Doctor Love knew this so he made another great invention...
3 Reactions
160 Replies
9K Views
Nikiwa ni mwingi wa mawazo na kukumbuka miaka 3 nyuma nilivyotendwa na mdada ambaye sintamsahau maishani mwangu, Naingia ofcn kwa kishindo nikiwa na uchovu wa kimwili na akili. Walinzi ambao pia...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
wadau mm ni mwanaume natafuta rafiki wa kike umri miaka 18-20 wa kuchat nae...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja alijitokeza mda kidogo umu jf alikua anatafuta mchumba(mume wa kumuoa) je Umefanikiwa???
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeshakutana na kisa hiki kwa jamaa watano. Wapenzi wao wa kike kwa nyakati tofauti walishawahi kuwanunia tena kwa siku nyingi kisa eti waliwaona marafiki zao wakiwa na wanawake wengine tofauti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sifa zake za utulivu na tabia njema zilizagaa kwenye shirika letu hili lisilo la kiserikali. Nilishawahi kusikia vijana wenzangu mara kadhaa wakimsimulia binti huyu kwa jinsi alivyo na misimamo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu kuna kitu kinanisumbua sana!mimi sijao lakini umri umesogea'nimekuwa na uhusiano na wanawake wengi'kinachonishangaza ni baadhi ya wanawake nikifanya na mapenzi inakuwa shughuli pevu'yaani...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kuna msichana 1 nimempenda ila yeye simuelewi elewi. Ni hivi mara ya kwanza mwaka jana mwez kama wa 5 nilimtongoza na akanitolea nje na kunitukana sana matusi.Cha ajabu some time alikuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wana JF, Mwishoni mwa mwaka uliopita nilileta post hapa nikiomba ushauri ili kulinda kibarua na kuwa jirani na familia. Wengi kama sio wote waliochangia walinipa na ushauri mzuri iloi...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna dada alikuwa akisoma SUA miaka ya 2000 mwanzoni. Kwa bahati alikuwa na mahusiano na Mhadhiri mnyarwanda pale SUA. Akiwa ktk mahusiano hayo, kama kawaida, akajenga uhusiano na mwanafunzi...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimetembea dunia mashariki na magharibi,,nimetembea mataifa kumi na moja katika maisha yangu,nimelala na wanawake wanaozidi mia moja,,,wakuu naombeni niulize swali,,nina umri wa miaka 37 na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajanvi wenzangu, Asalam aleykum? Ninalo tena jaribu linaloitesa roho yangu. Mapenzi yanataka kunifanya, sijui? Sahibu langu ni kama ifuatavyo; miaka mitano iliyopita nilikuwa na mpenzi. Alikuwa...
0 Reactions
83 Replies
6K Views
Jamani , Kijana mtanashati na vijicent vyangu vya kudunduliza nikaamua kujitutumua kumtoa valentine wangu nimpeleke sehemu za haya mahotel ya wawekezaji tupate dina . Unaweza amini tumezunguka...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ni mtazamo tu! kama haikuhusu ipotezee au "PITA" Haina kubeza, Waacheni wajione michael anawaangalia kwa mtazamo gani. AshaDii: Aunt heshima yako! Naomba urudishe shungi vidume vishaanza...
14 Reactions
165 Replies
17K Views
kinachoumiza zaidi ni kuwa wale wanaokupenda like familly and friends ndo wanaumia zaidi hata ukiwa umeshakufa.... mapenzi gani haya ya kuumiza watu weengi wengine..... - by Boss JF Member...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu,ebana me nimepata gelofriend mpya,na kikweli nimepima oil,nimegundua ni kweli mambo yako safi kabisa,kaniambia me ndo mvulana wa kwanza katka maisha yake,so wakuu,naomben...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Waungwana habari za jioni! Leo nikiwa napumzika baada ya mihangaiko ya kutwa nzima nilipata wasaa wa kukaa na kupumzisha koo kwa kupata moja moto moja baridi! Tukiwa tunabadilishana mawazo na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwakua sijafanikiwa kuwa na dume la rangi nyeupe mie wangu ni mweusi nasikia weusi wanajoto na weupe wamepooza katika majambozzzzzzz. nikweli?.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Halow jamii forums members, Nina mchumba wangu ambaye kiukweli namfeel sana,ila tumekuwa tukipishana sana kwenye suala zima la starehe particularly clubing...anapenda sana kwenda club every...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom