Naombeni mwongozo kuhusu huyu kigori wakuu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Heshima mbele wakuu,ebana me nimepata gelofriend mpya,na kikweli nimepima oil,nimegundua ni kweli mambo yako safi kabisa,kaniambia me ndo mvulana wa kwanza katka maisha yake,so wakuu,naomben mwongozo wa jinc ya kuish na wamanzi wa aina hii.over
 
NI JF BWANA SOMETIMES mhhh kweli vichwa vipo vingi sana humu!
 
mkuu hapo jiandae kutoka mijasho kunako samwel sita, maana wabishi haoooooooooooo, na ukifanya mchezo utaishia kunawa kama kweli hiyo oil ndo bado kweli ile orijino bado haijabadilishwa!
 
Umepima oil halafu umeacha kwa hiyo ukakenua sasa ngoja siku unaamua kuweka oil mpya uone cabulator inavyopitisha bila wasi
 
Back
Top Bottom