Nimtongoze au nimkaushie?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimtongoze au nimkaushie??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ENGINE CONTROL, Feb 17, 2012.

 1. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna msichana 1 nimempenda ila yeye simuelewi elewi.

  Ni hivi mara ya kwanza mwaka jana mwez kama wa 5 nilimtongoza na akanitolea nje na kunitukana sana matusi.Cha ajabu some time alikuwa ananipigia simu tunaongea fresh ila nikimtumia sms ihusuyo mapenzi anang'aka na kunitukana sana cha ajabu kingine kwa dada zake marafiki zake anasema kuwa mim ni boyfriend wake. Nilimpotezea kwa mda sana mpaka mwaka huu naona sasa amekuja kwa kasi ya ajabu sana some time ananipigia simu na kunitaka niende kwao mim sikwenda akanilaumu sana,na anandugu yake anakaa mitaa ya home now amekuja na kasema amekuja kwa ajili yangu na yupo hapo kama wiki 2 na kafanya hivyo baada ya kumzingua kila alipokuwa anakuja nilikuwa namkwepa kuonana nae na kumwambia daily narudi usiku hivyo yeye kaamua kuchukua uamuzi huo ili apete onana na mim.

  Msaada wenu je?? Nimtongoze tena au nimpotezee??

  Kinachonikata maini mara ya kwanza nilipomtongoza alinitukana sana matusi na kunikejeri kwa maneno ya dharau.
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe faaalla nini, hapo kuna kutongoza? nenda kale ngoma tu, angalia lakini? kapimeni wote wawili kabla hamjafanya hako kamchezo, maana mdudu siku hizi kawa sugu.
   
 3. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  poa mkuu nimekusoma
   
 4. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  If I were you I wouldn't even burn a single brain cell thinking about her.

  One, she's probably confused and doesn't know what she wants. And you really don't wanna hook up with someone like that who can pull a switcheroo on you without cause or any warning sign(s) whatsoever and leave you hanging in the air. I bet you wouldn't like that to happen to you.

  Second, unless you know her love life very well, she could very well be on the rebound and just wants to use you as a transitional sidepiece. Now, do you really want that?

  Third, she could just be playing mind games with you. Be careful.

  So unless you are feeling her in some kind of way, I'd advise you to just keep it moving.
   
 5. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu darasa la 4 ngumbalo na lugha uliyoitumia duu??
  Tafsiri mkuu zaidi ya hapo 3-0
   
 6. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huna cha kuandika wala kufikiria? Kama angekuwa dada yako ananifanyia hivyo mimi ungeshauri nini?
   
 7. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  muuzie jini moja asikataliwe tena
   
 8. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Wewe kijana, unaamkia kutongoza asubuhi mapema hivi. Ngoja kupambazuke, watu wajadili mambo ya kujenga nchi, we unaamkia ku*****
   
 9. h

  hayaka JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huna haja ya kumtongaza tena ni zamu yake ya kukutongoza wewe!
   
 10. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,099
  Likes Received: 1,199
  Trophy Points: 280
  Wewe kijana, unaamkia kutongoza asubuhi mapema hivi. Ngoja kupambazuke, watu wajadili mambo ya kujenga nchi, we unaamkia ku*****

  Kujenga nchi? Nchi gani wakati wajenzi wenyewe wanaiba kila kukicha na visingizio viiingi vya kijinga jinga.
   
 11. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  si ndio ujenzi uliobakia mkuu wa kuijaza nchi.
  Ujenzi mwingine umetushinda hata nepi tu tunashindwa kutengeneza.Maji ya kunywa tu ni ishu kubwa lita 1 now inauzwa 700-600.
  Au wewe unataka ujenzi upi??
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kusoma yhujui,

  hata picha tu????

  kwamba huyu ni mbwa ama mbuzi.
   
 13. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  We unamtaka wa nini wakati yeye alishakuambia hakutaki na amekutukana? mie msichana wa hivo huwa sirudi hata kidogo.
  Tatizo langu mie nikimwambia msichana akileta sitaki nataka mie naondoa mguu mapema coz huwa sitaki kuumiza kichwa kwa jambo hilo naumiza sana kichwa ofisini na mambo mengine si kumtaka mtu.
  Good day
   
 14. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hujapenda wewe! Kama kuna uliowapenda hawakukuonyesha nini thamani zao! Kurudi utarudi na kubembeleza utabembeleza ooh i like watu wa namna hii misimamo yote nilikuwa naipindua upside down!
   
 15. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  aisee! JF bana
   
 16. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Unaweza kukuta alikuwa sildi ndo maana alikuwa anafanya hivo.
   
 17. m

  mkazamjomba Member

  #17
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unafuta sifuri na kuandika ziro?
   
Loading...