Yaliyo nipata jana na valentine wangu

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Jamani ,
Kijana mtanashati na vijicent vyangu vya kudunduliza nikaamua kujitutumua kumtoa valentine wangu
nimpeleke sehemu za haya mahotel ya wawekezaji tupate dina .

Unaweza amini tumezunguka hotel kama tatu kote tunaulizwa kama tulibook na hatukupata nafasi
tukaishia kwenda kula nyama choma sehemu.

Nimejiuliza ni hawa hawa wa TZ waliojaa ktk mahotel haya au ni hawa wawekezaji na familia zao?

Je ndugu yangu wewe umekutana na nini jana?
 
kama ni hivyo basi ujue mlikuwa wengi wa type yako.
 
Kweli kabisa mkuu jana ilikuwa siku ya kupanga folen.
wale ambao wana multiple partiners ilikuwa kaz ngumu kweli kuwaridhisha wote,
Ila kuna wale ma striker ambao wanacheza kiujanjaujanja walifanikiwa kuwatimizia wote bila kushtukiwa big up.
 
Mkaa ulikuwa unazinguwa kuwaka wakati nataka kuandaa msoc wa mchana, si unajua tena mvua za feb hizi..lol
 
kama ni hivyo basi ujue mlikuwa wengi wa type yako.

Sana , na foleni izilikuwa ndefu.
Kunasehemu nilikuta jamaa wanalalamika eti wahindi wamependelewa wameingia bila kuwa kwenye list ya waliotoa taarifa mapema
Nikajiuliza pesa yangu halafu inanitesa ngoja nirudi uswanzini kwetu!
 
Pole sana kwa kukosa nafasi,siku kama ya jana si ya kushangaa kuona kila sehemu zimejaa maana wengi huitumia kujiweka karibu na wenzi wao kwa gharama yoyote ile.
 
Na wengi mliojazana humo ni wenye ndoa zenu,
sijui wakati mme unambanjua mke wa mtu,
mkeo naye anabanjuliwa na nani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom