naombeni msaada wenu wana jf! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni msaada wenu wana jf!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by korino, Feb 16, 2012.

 1. korino

  korino JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  habari zenu na polen kwa majukumu! naombeni mnisaidie hichi kitu..mm ni mdada mwenye umri wa miaka 26 ..nahitaji kujua kinanchompendezesha sana mwanaume kwa mkewe au girlfrend wake haswa ni nn?je ni mapenzi wanapokuwa faragha(kitandani)au ni uzuri wa sura ya mwanamke au shepu yake au pesa?maana nimekutana na visa vingi juu ya wanaume wanaosaliti ndoa zao na kwenda kwa wanawake wengine! je ni kitu gani hasa wanaume wanadatishwa nacho?wewe km mwanaume unadatishwa na nini kwa mwanamke/mkeo?na wadada wenzaangu naomba tuchangie mada yetu...ahsanteni
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  heshima
   
 3. korino

  korino JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  so bro wangu km mkeo anaheshima lkn hawezi kupika,mchafu,yale mambo yetu ya faragha ndo hajiwezi kabisaaaaa! we kwako anafaa fresh?!!
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ni adventure tu inayotufanya tupende kuonjaonja hata kama hao wa nje hawafikishi hata robo ya masifa ya mamsap.... (changanya na zako, usinikwoti teh teh teh)
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Korino, wewe ni mkorino?
   
 6. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Mi napendezwa na mwanamke anayemjua Mungu.
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mwee...moe naona wat attracts man is sex without commitment...basi hapo ni raha tupu jist ofa sex and be pretty...thats ur job as a woman
   
 8. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  mmmhh........??
   
 9. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hili labda ww pekee au wavulana but wanaume means real mens hawamchukulii mwanamke km ww ulivomchukulia hapo wala hawavutiwi na mwanamke kwa ajili ya hayo uliyoandika apo!labda km ni kulingana na upeo na namna uvutiwavyo na wasichana kwa upande wako!
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Utampenda mwanamme kwa mengi kwaupande wangu kwanza tabia,mpole mwenye busara ,Hana papara kwenye Sita kwa Sita unapokua nae hata waje warembo kuliko mm yeye wala hawamshughulishi,anaejali mm na familia yangu japo kwa Salam ,mie Huyo Ana nibeba kwa kidole cha mwisho.
   
 11. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  no nid to bite my head bana...loh mnakuwa wakali kumbe mwiaho wa siku bado wanaume pita nyie mbavuni
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Dia kila mwanaume ana vionjo vyake,ila kuna vitu general ambavyo asilimia kubwa ya wanaume wanapenda na kuvutiwa navo,kwanza heshima,kujiamin as a woman,mwelewa,mkweli,wivu wa kiac,mapnz ya dhati,kujituma na ubunifu kitandan bila kusahau usafi wako binafsi na ndan ya nyumba/rum,hawapendi mdomo,omba msamaha ukoseapo,jua kuhandle tempa zako,ucwe mbishi,kuwa na mashost wacoeleweka,ujue maisha nini na co kupenda starehe wakati wote,na kubwa zaidi kutulia kwenye mahusiano co kua na tamaa za kijinga.
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,667
  Trophy Points: 280
  Kwanza hili jamao ni gumu,ila Kwangu mimi,mwanamke anaejua kuwa yeye ni mwanamke inatosha kabisa kuuteka moyo wangu!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,667
  Trophy Points: 280
  Canta,nimeikubali post yako,would u marry me?
   
 15. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Wanawake wanadata na KENDEzetu kuliko kitu chengine kipatikanacho kwenye mwili wa mwanaume ndo nilivyoambiwa na mahabuba wangu nyie je?
   
 16. Mfalme Daud

  Mfalme Daud Senior Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 168
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Nadatishwa sana na kwanza uzuri wa sura na umbo na nisione soo kuongozana naye, mwenye mipango ya maendeleo, msafi, mcha Mungu na asiyetumia vilevi, mwelevu, MWAMINIFU!!! Ukiwa nazo hizo, hakika dunia sasa itakuwa paradiso ndogo kwangu!! Sintatamani yeyote yule!
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha!Eiyer!mzima swaiba?jaman hata km ni kupropose ndo inakuaga hv?umechelewa wangu nishamkubalia Salvado wangu lol
   
 18. korino

  korino JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  hapana mm c mkorino
   
 19. A

  AlicecFrerichs Member

  #19
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni adventure tu inayotufanya tupende kuonjaonja hata kama hao wa nje hawafikishi hata robo ya masifa ya mamsap
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
 20. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ni ngumu sana ku-generalise-ila ukikaa na mtu kwa muda flani,unaweza kumsoma kuwa ni vitu gani yeye huwa anapenda
   
Loading...