Nawapenda Hawa Wadada/Wanawake MMU-Members 20 Bora. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawapenda Hawa Wadada/Wanawake MMU-Members 20 Bora.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Michael Scofield, Feb 15, 2012.

 1. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni mtazamo tu! kama haikuhusu ipotezee au "PITA" Haina kubeza, Waacheni wajione michael anawaangalia kwa mtazamo gani.

  AshaDii: Aunt heshima yako! Naomba urudishe shungi vidume vishaanza kutokwa udenda!
  Afrodenz: Designer! nakukubali mrembo Jicho kama umekula kungu manga lainiiiiiiii.
  Amyner: Mrembo uko poa kama ulivyo. September baby!!!

  Black Womani: Black beautifuly
  Cantalisia: Binti Mtambuzi uko poaa! Dogo katangaza nia kaishia mitini, Baba mkwe mkali
  Da Pretty: Uko poa dada, Ila mtu kama yuko kwa nyuma yako basi anafaidi.
  Firstlady: Jicho na mdomo aaaaah Mashaalah.

  Kabakabana: Uko bombaa! mpaka unatishia usalama wa Mwali
  King'asti:
  Uko poa mtu wangu sema leo umerusha stimu! jibu hapa
  Kipipi: Nambie mtoto wa kisukuma tupe kwa mbele sura tuione vizuri.

  Kisukari Kama jina lako lilivyo, na huo mkono kama warusha kiss kwa mtu
  Lizzy: Jimama la Unga LTD vipi kwemaa!?
  Mwali: Hivyohivyo mama naona mtakatifu kaamua kukufunua shungi. Uko bomba! akugusi mtu.

  Mamndenyi: Huyo bibi hapo anatuziba hatukuoni vizuri.
  Mrembo by Nature: Hi
  MwanajamiiOne: Jicho lako dada wee!

  Preta: Aaa una macho laini mazuuriiiiii
  Russian Roulette: Mmh Usinipige Ban mkuu, Hicho kifua kinamtoa udenda babu Asprini, Uko bomba mbaya.
  Smile: Oooh! Pole mrembo endelea kumuuguza mama yetu.

  Twande: Na wewe mtata mdadisi mpaka basi kwa baba mkwe Mtambuzi.

  Jamani kama nimemkwaza mtu anisamehe, kwangu ni amani nawapenda wote members wenzangu!
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hivi mamaa Lizzy ni jimama la unga Ltd? Aisee mbona unanichanganya ngoja Mchungaji aje
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Dah...haiko fair....ni bora ungesema wasichana/wanawake unawazimika MMU...otherwise umetripple standard!! broda!!!!

  Napita tu broda!!...
  [​IMG][​IMG] [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 4. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Haukuona kuna siku name ya "Lizzy" ilikaa pending, ikadisplay " Jimama"?
   
 5. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Only Dadas
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  [TABLE="class: style, align: center"]
  [TR]
  [TD] [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Asante sana kwa kuchukua muda wako kutoa sifa zetu
  pamoja na hayo nimeona unasifia sana macho ,
  haya bana kila mtu anakitu chake anachokipenda..
  to my opinion macho yanasema mengi ijapokuwa ni
  avatar tu .. duhhhh somehow nahisi ni valentine tena leo .. Siku njema nakutakia dear .. Cheeres.
  [​IMG][​IMG][​IMG]

   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  OK edit ya title!!
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,416
  Trophy Points: 280
  nani huyo anatishia usalama wa mwali?
   
 9. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kabakabana mkuu! si ulimchagua kuwa "v" wako kwa Husninyo.
   
 10. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaani hapa unazidi kuniacha hoi! mpaka mapigo ya moyo yanaongezeka kasi!
  Aaaa kama mwanakondoo vile kichwa chini.
  Asante dada!
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Dah.....mtoto wa kisukuma nina la kusema basi?? Mie nipo tu!! Alafu iyo sura mbona nilishageuka na watu wakaiona mpendwa?? BTW; Thanks for the appreciation dear .......I like you too!
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mie unanionea Mikaeli! Nimerushaje stimu tena ilhali nina valentino haze hapa?
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,416
  Trophy Points: 280
  kaka ule ulikuwa ni utani. v day nlijichimbia naa mtoto mwali
   
 14. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa kuwa wewe ndio wa kwanza, Kujua masahibu yangu, Ungeniweka japo kwa Bluetooth isingekuwa mbaya.
   
 15. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kumbe ni wa dada peke yao? Lakini kaka muechagua poa...
  Mi ningeongeza
  King'asti kwa intelligence na sense of humor,
  Husninyo na Sweetlady kwa kubamba kwa idea kuliko kutumia avatar kama wanavo fanya wengi humi,
  lucky_c_pesa kwa maujizi na mauwazi and last but certainly not least,
  fave of all times Michelle kwa kila kitu!!!
   
 16. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona yeye ndio alilamika kwa aunt yenu Ashadii
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hehehe! Una uhakika sikujaribu? Message ilikuwa inarudi 'connection failed, no compatible device', nikakata tamaa nikajiconnect manually.
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  1 hiyo intelligence ya kuvizia nikichochea na msuba ndo kichwa inakuwa mwake (don't try that at home)
  2 husn na sl hawana lolote, idea wanaiba kwangu kwanza!
  3 kumbe laki si mahela ni mdada? Kazi mnayo ya kusaka millioni kufanya ugomvi!
   
 19. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Thanks Mkuu, pamoja sana! :poa
  But I am curious: ningekua sina Avatar ungeweza kunikumbuka kwa michango yangu pekee?
   
 20. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  We mtundu! baba mkwe Mtambuzi hana mabinti hapa! na wale wengine "Kauzu zaidi ya dagaa sijui ndio wamelala au washamtoroka dingi"?
   
Loading...