Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aliwahi nikubalia na tukaachaana miezi michache baadaye(2008), nilimpotezea japo japo alikuwa akirudi kwa kuvizia(mawasil iaono ya nadra), niliamua kusonga mbele kwan hakuonesha kunihitaji kwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
wana MMU naomba mnijuze sijui nnaweza kuwa na tatizo gani kwani nna umri wa miaka 40 na katika umri wote huu sijawahi kupenda
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ifuatayo ni sehemu ya sms niliyoiona kwenye simu ya rafiki yangu jana jioni:- MESSAGE:- Amini kwamba ni wewe pekee uliyemo ndani ya moyo wangu. RECIPIENTS:- Amina, Chiku, Rose, Conso, Asha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wengi umekutana nao na wengi utakutana nao lakini ni vigezo vipi hukuongoza kukiri ya kuwaYes (s)he is the right one for you? 1) Uchangamfu wake kwako? 2) kauli yake kwake? 3) utii wa matakwa...
4 Reactions
85 Replies
6K Views
Katika hili, ninyi mna yapi mnayoyafahamu? Karibuni!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habarini. nina mchumba wa mda mrefu zaidi ya miaka saba ,wazazi wangu wanapenda wajukuu, na mimi nimezaliwa mwenyewe, na ndio ninatakiwa niwaletee wazazi wangu mjukuu nifanyeje? wakati mchumba...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
If you won't cheat to ur girl or to ur boy,he or she will love you forever,but if you do so,expect the worse. kulalamika mara nimeachwa,mara hanipendi,mara hajibu message,kanizimia simu..kaniacha...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf,naomba kujuzwa unapolea mtoto wa mwanamme mawasiliano ya maendeleo ya huyu mtoto yawe yanapitia kwa huyu mama wa kambo au wawasiliane wenyewe?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu nilikuwa la sita. mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua...
19 Reactions
189 Replies
17K Views
Moyo wake unamfahamisha ya kuwa hapo ndipo roho yake inapodundia lakini historia ya kijana ambaye anamfuatafuata kwa udi na uvumba ndiyo inamtia khofu............................. Kijana ana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
@arusha, baba mngoni, mama mchagga ...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI?? nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati...
7 Reactions
101 Replies
8K Views
jamani ndugu zangu mie ni mgeni humu lakini ningependa tubadilishane mawazo naitwa mkazamjomba busara ingetumika kuliko mzaha naomba mnikaribishe nijue tunabadilishana vipi mawazo najua mna mengi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hakuna asiyejua nini maana ya mapenzi, kila mmoja wenu hapa nadhani hili swala analijua vizuri ingawa kwa mitazamo tofauti. Sasa basi hivi majuzi nilitokea kukutana na madada wawili kwa nyakati...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
HABARI ZENU WANA JF Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26 natafuta rafiki wa kike sifa zangu 1.mrefu 2.white 3. Nina kifua kipana 4 .nimejazia 5. Siyo bausa 6. Mpole 8. Mcheshi 9. Sijui...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari jf.mimi ni kijana umri wangu kati ya 26-30 natafuta mke wa kuoa awe muislam mwenye heshima awe anaswali walau hata ijumaa.awe na upendo wa dhati pia awe anajua nini maana ya maisha sio awe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jina Langu: Tina Jinsia yangu: mwanamke Umri wangu: kati ya miaka 32 - 36 Natafuta: rafiki wa kiume kwa ajili ya long term relationship Umri wake: uwe miaka kati ya 33 - 37 Jinsia ya rafiki: awe...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
member wa jf em nisaidieni yaani nashindwa kupenda kabisa au kwakuwa cpati demu waukweli
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa,ebana jana ucku nimepokea txt kutoka kwa mmanzi wangu wa zaman yenye hayo maneno hapo juu,me nkawa nimekausha tu niusome mchezo kwanza,ikapita ka nusu saa,akanitumia tena txt...
2 Reactions
67 Replies
6K Views
Source: The Love Calculator We all know that a name can tell a lot about a person. Names are not randomly chosen: they all have a meaning. Doctor Love knew this so he made another great invention...
3 Reactions
160 Replies
9K Views
Nikiwa ni mwingi wa mawazo na kukumbuka miaka 3 nyuma nilivyotendwa na mdada ambaye sintamsahau maishani mwangu, Naingia ofcn kwa kishindo nikiwa na uchovu wa kimwili na akili. Walinzi ambao pia...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom