Nikweli?

jompyain

Member
Feb 15, 2012
29
9
Kwakua sijafanikiwa kuwa na dume la rangi nyeupe mie wangu ni mweusi
nasikia weusi wanajoto na weupe wamepooza katika majambozzzzzzz. nikweli?.
 
Ebhanaeee!!duu....nitamuuliza mama renata (my wife) kama hii kitu inaukweli ndani yake.:eyebrows:
 
Kwakua sijafanikiwa kuwa na dume la rangi nyeupe mie wangu ni mweusi
nasikia weusi wanajoto na weupe wamepooza katika majambozzzzzzz. nikweli?.
Hiyo ni nadharia tu haina ukweli wowote,mapenzi yanabaki kuwa ni hisia tu hivyo ukipenda unakuwa umependa bila kujali kama yu moto au baridi.
 
we unae mweusi,

halafu unauliza tena ati unasikia weusi wanajoto,

huyo wako inamana hujampima?????

au unataka kujua kati ya mweusi na mweupe yupi anahusika ndo ujichagulie?????
 
ingekuwa vema ungejaribu white maaana ya kuambiwa changanya na yakwako!!!!!
 
Hiyo ni nadharia tu haina ukweli wowote,mapenzi yanabaki kuwa ni hisia tu hivyo ukipenda unakuwa umependa bila kujali kama yu moto au baridi.
Joseph waache wahusika watupe jibu, au na wewe...?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom