Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

How are u ladies and gentlemen,,,,! Jamani mwenzenu nimetoka moro ninakoishi na kwenda kumsalimia ndugu yangu anayeishi singida mjini. Sasa leo j2 mida ya saa nne asubuhi nikiwa kwenye...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
HAVE U EVER LOVE A WOMAN? To really love a woman To understand her, you gotta know her deep inside Hear every thought, see every dream And give her wings, when she wants to fly Then when you...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
assalam alaykum wana jf mmi ni kijana wa miaka 21 nimemaliza kidato cha nne mwaka kwa kipindi chote hicho sikwaga na bahati ya kuwavutia wasichana kwa hiyo mimi nina nini jamani na vilevile uongea...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Miaka mingi iliyopita iliukuwa ni miaka yenye ufahari juu ya mwanamke,mwanamke alikuwa mwanamke kwelikweli,ni kweli alikuwa MSAIDIZI WA MWANAUME,kwa hali hiyo tulijivunia sana hawa wakina dada...
4 Reactions
111 Replies
8K Views
My wife ni mjamzito wa mwezi 1 tu! lakini visa na mikasa haviishi hapa ndani kwanza; -Nilipigwa BAN kumsogelea tukiwa tumelaa usiku japo tunashare shuka moja. -Jana nimeamka asubuhi nikakuta...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
0 Reactions
11 Replies
2K Views
I have been going out with my boyfriend for two years now and, in many ways, he’s perfect for me — with one caveat. Although he’s very loving, when we’re in bed he feels less engaged than I am...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jf naombeni ushauri wenu,may mwaka 2008 niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja mkazi wa iringa,ila ilipofika june tarehe za kuanzia 20 alisafiri kwenda kwao iringa ambako...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Kuna kijana nilimchukua akiwa bado mdogo baada ya wazazi wake kufariki yeye na mdogo wake wakike,(yatima)ni watoto wa ndugu yangu aliyefariki nikawalea toka primary mpaka sec.ambapo sasa wako form...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sijui ni out of my being a gentleman ama ni kuchoshwa na uzito wa usingizi ninaoubeba kila siku, niliketi mahali na huyu msichana next door.Lately nimekuwa nikiamka mara kwa mara katikati ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wadau!!! Ama kweli wakati unahitaji kitu hakipatikani na wakati huitaji ndo kinapatikana kwa wingi!!!Mi nimekuwa single kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa,nimeamua niingie tena...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari za blue Monday wakuu? Yangu iko bomba iliyojaa Mawazo kibao ya kujilaumu ya kutafuta riziki ndani ya wiki hii! Well, embu tujiulize khusiana na suala hili!! Mtu anakuwa katika...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kutokana na ugumu wa maisha na ukame wa hali ya juu ktk vipima joto vya akina dada zetu, na waombapo msaada kwa mabasha zao hutoswa, hivyo wamegundua mbinu mpya ya kujipatia mkwanja mrefu kutoka...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Kumtokea rafiki wa kike wa dada yako ni mbaya?.Coz nimetokea kmpenda rafiki wa dada yangu but naona noma kemtemea madini nahic sister anaweza nifikiria vibay,Nifanyeje wa kubwa.
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Seevyou next time
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimeshuhudia mara nyingi sana kwa ndugu ana marafiki zangu wanapoamua kuoa,vile ambavyo tabia halisi ya mwanamke inakuwa imefichwa anapretend kuwa ni mnyenykevu sana,mwenye upendo ila akishaolewa...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Wewe ni mama ama binti ambaye umeolewa ma una mchumba, katika kuish kwenu najua kabisa kuna kukoseana kwa hapa na pale. Je wewe unapokosea wajua jinsi ya kukiri kosa na kuomba msamaha? je...
9 Reactions
84 Replies
51K Views
  • Closed
Hii ni stori ya kweli yaaani ni mimi mwenyewe, ni hadithi ndefu ila kwa kifupi ni kwamba natembea na binti wa rafiki yangu ila wazazi wake hawajui sasa yapata miaka 3 hivi, nilimsomesha hadi cheti...
0 Reactions
101 Replies
11K Views
Jamani salama! Nilikua na mpenzi niliempata facebook lakini yuko nje ya TZ, nikapata mwengin wa twittr ambye alikua celebrity toka Niger xo 2kashndwana. Nimeona nitafute kutoka hapa jf labda...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
hi, tusaidiane kuona namna ya kumsaidia mwanake mwenzetu na maisha haya ya familia yake, ana umri wa miaka 28 tu dada huyu ana watoto 2 ndoa yao ina miaka 5 mume ana umri wa miaka 33 tu, ni kijana...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Back
Top Bottom