Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nimetoka kidogo nje, meacha laptop yangu ikiwa on, tena nkiwa jf, kuna kabint kako hapa home nlikaacha kanchek tv, nimeingia hapa ghafla nimekakuta na kenyewe kanaperuz humu, hii imenifanya nihc...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Yalikuwa mapenzi ya dhati toka moyoni Mwangu na nilitamani kila mtu ajue nilizimika kwa Mtoto Sophy! Sikutaka nimuudhi kwa namna yoyote ile! Nilipomkosea sikujivuta.. Nilimwangukia na kumuomba...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Ivi watu wanao wabeza wanawake wakichaga kwa bidii yao ya kufanya kazi wanawaza vizuri? Au ndio wale wanaopenda kuwa na wanawake omba omba au wivu wa maendeleo. Nilidhani tutawapongeza kwa kuwa na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
How to spot romantic red flags in Relationship We all have that little voice, that soft internal whisper that tells us when something’s not quite right in the old romance department. The...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
955 Views
leo niko na mishe zangu, nashangaa bi mdada huyo Ni wifi ambaye pia ni rafiki yangu kipenz, kama wiki tatu zilizopita waligombana na kaka yangu ambaye ni mpenz wake, yy akaamua kuachana nae, kwa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari za jioni wana jamvi. kwanza natanguliza samahan kama kutakua na watu nitakao wakwaza. msichana kama amempenda mvulana ruhsa kutiririka, hebu tiririkeni njia (mitego)mtakazo tumia, angalizo...
0 Reactions
84 Replies
9K Views
Hivi mtu unakuwa na mpenzi na anakwambia live kwamba hawezi kukuoa kwa baadae kwa sababu bado ana safari ndefu ya kutafuta maisha na bado anakwambia anakupenda. Hivi kweli kuna mapenzi ya kweli...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kulewa na madawa siku ipite, kutongoza, wanawake kupoteza wakati au kumendea waume za watu kuchuna nani hapa anatibika jamani au ndo wagonjwa wote. Kama hamjafunguka hivi ndo vita vikali viko kila...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wiki iliyopita niliandika mada kuhusu dalili za hisia za usaliti katika mapenzi, unaweza kujikumbusha kwa kufungua hapa...
16 Reactions
29 Replies
17K Views
kwa kawaida mapenz kabla ya ndoa yanapaswa yachukue muda gan then muingie ktk ndoa? nina girlfriend wangu kwa miezi miwili sasa lakin anahitaji tuish pamoja ni kwel nampenda lakin cjawa na sababu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
According to relationship expert Cooper Lawrence, women are better cheaters, because they are better at keeping secrets! Lawrence says cheating is up among women in committed relationships...
12 Reactions
261 Replies
17K Views
jaman naomben ushaur,natafuta my soul mate ,niko single kwa miaka mitatu sasa,nimeajrwa private frm najitegemea c mtu wa stareh ingawa hw nagonga win mara chache nifanyeje nipate soul mate...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaMMU Mwanzoni nilidhani ni Utani..but as i speak now it seems that this has been common and people take it for granted. Niliwahi kumsikia Masanja yule we Zecomedy akisema 'Nikushukuru wewe...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Kama utani lakini ni story ukweli jana ilikuwa ni birthday ya girlfrnd wangu pamoja na furaha niliyokunayo rafiki yangu kipenzi naye mke wake ilikuwa birthday yako tukaenda kununua keki kama...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
kupenda kunahitaji moyo hasa unapokuwa umependa kweli na umependwa kweli, lakini ni vigumu kujuwa napendwa au sipendwi. wengi wanasema love is money but kwangu love is the way you can handle your...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
natafuta rafiki (strictly platonic) wa kwenda nae gym na kupiga stori za kawaida wakati wa jioni. vigezo awe na usafiri binafsi awe wa eneo lolote dar es salaam ajilipie membership mwenyewe tuma...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Kama kuna kosa ambalo siwezi kumsamehe mpenzi wangu ni USALITI", yaani nikigundua hata kama nimechelewa kujua ila hukumu yangu ni hapohapo. NI KITUGANI KIPELEKEACHO MTU KUVUNJA UAMINIFU KWA...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mapenzi ya siku hizi bila pesa ni uongo, na watu wanapo kosa pesa ya kujikimu au kumsaidia mpenzi wake basi muda mwingi huwaza kuwa akiwa nampenzi wake for sex ili asimkimbie na mwisho wa siku...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna msemo mmoja unasema "don't judge a book by its cover". Hii ina maana kwamba usihukumu kitu kwa mwonekano wake........ Naam hiyo iko kila mahali, ni jambo ambalo tumefundishwa na jamii...
4 Reactions
62 Replies
13K Views
Back
Top Bottom