Unawezaje kutesa familia na kufata makahaba wake za watu na umri huu 33

telitaibi

JF-Expert Member
May 2, 2012
551
106
hi, tusaidiane kuona namna ya kumsaidia mwanake mwenzetu na maisha haya ya familia yake, ana umri wa miaka 28 tu dada huyu ana watoto 2 ndoa yao ina miaka 5 mume ana umri wa miaka 33 tu, ni kijana msomi mzuri na aliyekuwa na maendeleo makubwa ya maisha kwa miaka 2 tu alimiliki magari 3 na nyumba kubwa 2 sasa hapo ndo balaa akajiona ndo dume la mtaa mke wa mtu asipite na kashida anapewa pesa na kulipa ngono mtaa mzima wauza bar twende makahaba wa mtaa twende sasa mambo yamekuwa kinyume magari 3 mpaka mguu hakuna kazi viwanja ni magenge ya wanawake wauza pombe awadanganye na vijipesa vya kodi

mke amekonda mawazo miaka yote analia apewe pesa afanye biashara kwa mumewe ni kama kumpandisha matapishi hampi chochote na mazalaliko yote ya mtaa mahitaji ya kawaida atajua mwenyewe mama ni mzuri mrembo mchapa kazi akaanza kupika popcon mara mandazi keki ajipatie matumizi kujiunga na vikundi vya mtaani ajipatie mikopo na vibati hadi leo ameshaweza kuchukua mkopo wa ml 3 na anakaribia kumaliza apate mkubwa zaidi ni mrembo anatongozwa jibu hatajiuza kwa pesa maisha kwani hayo ya wengine mpaka marafiki zake wameharibu maisha yao na asingependa amtende mwanamke mwingine anajua garama ya uchungu wake.

hadi sasa mume hashikiki kidogo kilichopo na barabarani wtoto hawaishi maisha ya kama dad ni mdogo na ni kijana tena msomi wale wa ilboru sec enzi hizo sikuku ya kuzaliwa wtoto yapita kama j4 vile sikuku wtt hawajui nguo wala zawadi hata muuza karanga za kubeba huvalisha wanae na wakajisikia kupendwa sana si hayo tu jamani pombe akirudi piga mke matusi ngoe nywele na hayo yote watoto wanaona na kulia wakisema mwache mama dad jamani anamvua nguo na kumfanyia ukatili akiita vijana wa kufagia nje waje kumuona mama matiti wazi usiku na mchana nikikumbuka haya nasisimuka na kumwambia MUNGU nini hatima ya mama huyu na watoto na haki ya ndoa hii hadi leo anamtimizia mume wajibu wake kama kawaida na mateso yote anacholia ni UGONJWA je? na mume ndo huyo akifa hatima ya watoto itakuwa vipi je atawezaje kuwasaidia watoto wasahau unyama na bado unaendelea watoto watakua watu gani na wanajifunza nini?nu huyu mume elimu yake ya mavyuo ndo hapo mwisho wa kutumia akili mimi nimeweza msaidia na hili tu amuombe tena sana na kutafuta watu ambao mume wake anawaheshimu tenaa wenye elimu na umri zaidi wamkalishe jamaa chini kama atasikia wewe unasenaje una mahali pa kumpeleka mama huyu asaidike hata kama ni kisheria na watoto hawa ndo chooooooooooooozi ziiiiiitooooooooo karibu na samahani usingizi koma na mengine hayakupata nafasi karibu sana nani anapinga ukatili nani anapambania haki za hawa wtoto ndo taifa la kesho saidia jamani nitafikisha na mambo yakiwa shwari nitarudi kuwashukuru si hadithi hadi leo wanalala na maisha haya na wataamkia tukichelewa kusaidia wapi kongosho, Mr Rocky,sweetlady,na wengine karibuni sana
 
wanaume jamani nipeni jibu ni akili zenu tu au ndo utajiri unakuja na moto wa ngono
 
wanawake mwasemaje kuhusu mrembo wetu na msimamo na uvumilivu anatuwakilisha ila mwisho wake na watoto malaika hawa wazuri ajabu wana akili na urembo walio jaliwa
 
Kwa nini huyo mke asijaribu kutafuta watu wengine wakamshahuria mme wake? kama baraza la familia, best man etc. Kama alijaribu na yakashindikana basi nadhani ni bora waachane. Relations are meant to increase your happiness, not cut on it.
 
hata ukiwa unaongea huwa huna vituo?sijaelewa hiyo story,..
 
Sasa hapo anataka tumshauri nini? Kuwa aendelee kuvumilia?
Angekuwa mdogo wangu Hutu ningemtandika makofi tu, yangemsaidia. Na alihang on wakati kuna hela, sasa kijogoo pori kimekuwa muflisi huh? Kweli akili za like, kha!
 
Roulette,unadhani nilibisha alichosema kalou?Hapana,lakini pia,nilichosema mimi ni kweli pia!
 
Roulette,unadhani nilibisha alichosema kalou?Hapana,lakini pia,nilichosema mimi ni kweli pia!

ungei-edit kidogo ili iweze kueleweka,ndipo nitoe mawazo yangu baada ya kuielewa,
 
duh!! sasa huyo mama kinachomkalisha kwa mwanaume huyo ni nini?-kama ni ugumu wa maisha unazidi hapo?-nina uhakika hata akienda kuishi peke yake, maisha hayatakuwa magumu namna hiyo. Asidhani anaweza kuvumilia, atavumilia matusi, lakini UKIMWI itakuwaje akiletewa??????????? Aende NOLA tu, watamsaidia.
 
Aisee wanawake wengine sijui vipi?! baada ya yote hayo anasubiri nini hapo kwenye hiyo ndoa?? kama ameweza kupata mtaji anasubiri nini asitafute maisha yake mwenyewe akaachana na huo unyanyasaji?? hivi jamani mlioko kwenye ndoa mliambiwa bila waume zenu hamuwezi kuishi? Ptuuuu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom