hali zenu wana MMU, mapacha wawili wajulikanao kama grace & gracious wameolewa na mume 1 aitwaye Kaundula nchini Zambia.
kwenu wanajamvi je hili suala mnalichukuliaje? je wewe kama ni twin...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Nakumbuka katika kipindi changu cha mpito wakati natafuta jiko, nilibahatika kuwa na mitoko (dates) na wadada kadhaa…….. Naam...
Inawezekana ukawa ni mke wa mtu au una mpenzi wako ambaye mna matarajio ya kufunga ndoa na kuishi pamoja. Kuna wakati unaweza kujaribiwa na kujikuta ukikabiliwa na hatari ya kumsaliti mpenzi wako...
Aliekwambia Ndoa Gharama nani? Ndoa bei Rahisi
harusi ndio Bei ghali ndoa ni sh. 22500 bomani au
15000 kanisani harusi sasa ukianza na kamati ya
vinywaji tu balaa. usishangae mtu akikwambia...
Have a crush on a guy but not sure if the feeling is mutual? Or maybe you're curious as to whether that guy checking you out is doing so out of interest in you or he's just staring at the poster...
Jambo Wanajamii. Ninaandika kwa masikitiko makubwa na majonzi, na stori yangu ni ya manyanyasiko makubwa.
Nimekuwa kwenye relationship huu mwaka wa 5 na huu mwaka wa pili nimekaa na huyu...
kuna tabia imezuka kwa wasichana walio kwenye relationa kupata mimba kwa makusudi bila makubaliano na wenzi wao ili kujihakikishia ndoa,hata kama mahusiano ni ya b/friend&g/friend bila hata ya...
WanaJamvi,
Kuna taarifa toka kwa wanasayansi. Wamedai wamefanya utafiti na kuthibitisha kuwa uendeshaji wa baikeli wa muda mrefu (regular bicycle riders) una athari mbaya kwa wanawake katika...
Habari zenu wana jf,leo napenda kuwasilisha mada kuhusu mapenzi,heshima na urafiki kati ya watu hasa wa dini tofauti.kipindi hiki ambacho nchi yetu tz ina shutuma nyingi za udini na hata muungano...
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo...
JamiiForums Message
You have been banned for the following reason:
Promoting illegal activities (Sequestration and torture).
Date the ban will be lifted: 29th July 2012, 00:00...
Msaliti wa penzi zaidi ya mara kumi,mwonevu,selfish,si mwaminifu hata kwa biashara ya pamoja,mwongo,mkatili,ana wivu,muaribifu wa vitu vyako,mtapanya pesa,mfano mbaya kwa watoto na jamii...
ebana habarin za wakati huu,
mara nyingi xana hujiuliza juu ya kupokea cm ya mwenz wako lakin cpt jibu, kimbwanga hicho kimemkuta rafiki angu wa karibu xana, nibaada ya kuwa akimpigia cm...
Kuna mahali wanandoa waliulizwa swali hili:
Je, mke uliyenaye au mume uliyenaye sasa kama ingetokea sasa hivi iwe ni ule wakati unachumbiana naye kuwa mke au mume ungemchagua kuoana naye?
Zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.