Drag me in your madness | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Drag me in your madness

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Aug 6, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sijui ni out of my being a gentleman ama ni kuchoshwa na uzito wa usingizi ninaoubeba kila siku,
  niliketi mahali na huyu msichana next door.Lately nimekuwa nikiamka mara kwa mara katikati ya usiku kutokana
  na kelele za huyu mwanadada akilia (cries of pain particularly). Katika kuongea naye kwa upole nikagundua ni
  mwanafunzi wa chuo fulani posta na sababu za kulia ni kipigo anachopokea toka kwa boyfriend wake anayeishi naye kwa sasa.


  Ni kamuuliza, 'wewe si ulishamwambia wife(wangu) kuwa umekulia kurasini?' sasa kwanini usirudi kwenu kama huyo boyfriend wako (a mere boyfriend)
  anaku'abuse'?


  Sasa ndipo kisa chake kikaanza;
  Alikuwa mjamzito alipokua A level wakakubaliana na boyfriend wake kwamba amalize mitihani ya mwisho then ndo waufanyie ujauzito maamuzi.
  Alipomaliza wakaamua kuutoa. Aliumwa sana in the process hadi wazazi wakampeleka hospital na ndipo walipogundua kilichotokea.
  Baba yake ana ka cheo fulani katika jeshi la polisi akamlazimisha amtaje mhusika ili achukuliwe hatua binti akagoma kabisa
  na baba yake akamfukuza home ndo akaanza kuishi na huyo boyfriend. Toka hapo ndo maisha ya abuse yalipoanza, na akasema
  boyfriend wake alimlipia ada ya semester hii na humpa hela ya kujikimu so ni kama anamtegemea kwa sasa.
  Mi nikamuomba tumshirikishe dada mwingine wa jirani na ndipo sote watatu tukaamua atoke kwa boyfriend wake na awe anaishi
  kwa huyo dada na mimi nasaidia kwa mbali financially. Alivyohama tu, boyfriend wake akaleta mtu mpya!


  Backfire of the solution;
  One night nimetoka job nimepita kwa mdada wa jirani kuchukua funguo nikaambiwa na house girl haupo
  (normaly humaanisha kuna mtu wa kwetu kaniwahi. Nikashangaa kwa sababu ndugu zangu hawapo na wife alisafiri mwezi wa saba kwenda Australia)
  Kwenda home namkuta huyu bi shosti katulizana ndani half naked! Nikamuuliza kulikoni?
  Akaanza kwa lawama kibao juu yangu kwamba alikua na uwezo mzuri tu wa kuvumilia abuse toka kwa boyfriend wake until
  nilipomshawishi ahame. Nikamuuliza is it about ada? No. Chakula? hapana. Basi nikamwambia kama ni kuhusu boyfriend wake
  kupata girlfriend mwingine asiwaze akazanie kumake maisha kwanza na kwa jinsi alivyomzuri akimaliza lazima atapata
  mwanaume tu!
  (I'm so sory to be quoting this); bi shosti akaamua kufunguka,kwamba boyfriend wake alikuwa anamdo kinyume na maumbile na sasa
  she feels like getting some na hana wa kumuendea zaidi yangu mimi niliyemcost boyfriend wake..
  Dah! sijawahi in my life kukutana na kitu hiki. Nikamuuliza ni kwa nini alianza mchezo huo mchafu?
  Ooh, boyfriend wangu aliniambia usiku mmoja kama kweli nampenda tufanye hivyo!
  (Umebeba mimba yake, hukumtaja ulipolazimishwa na wazazi, umefukuzwa kwenu
  - if that does not show you love him nothing will!)
  Nikamwambia kwa kweli mi sina jinsi ya kukusaidia labda kesho tuende hospital tuone kama wana suluhisho kwa hilo.
  Akaniuliza what about tonight. Nikamjibu siwezi kuisaliti ndoa yangu na most definatelly siwezi
  kufanya huo ushenzi.
  Akaatempt kuniblackmail kwa wife, nikamuambia thats is dragging me in your madness; kama ni kusema na aseme kwa sababu ndoa yenyewe ina miezi miwili nikianza kuintroduce lies na infidelity si itanishinda mwaka haujaisha?
  Kesho yake asubuhi kwenye skype ikabidi nimwambie wife kila kitu. Akaniambia anajua mahali anaweza mpleleka bi dada
  akatibiwe hilo tatizo ila for the mean time niende kwa wazazi wa binti niongee nao ili wamrudishe binti yao nyumbani.
  So this weekend nikawa naenda kazini kwa baba yake bila kumuambia huyu dada, ila njiani nikajiuliza maswali kibao ikabidi niahirishe kwanza.
  Hebu wadau mnishauri, niwaambie hao wazazi extent ya matatizo ya binti yao? what if wakidhani mi ndo mhusika mwenyewe?
  Unawaambiaje wazazi unyama huo aliofanyiwa binti yao?
  Please help manake wife analazimisha mi kichwa cha nyumba lazima niende kuwaface hao wazazi na hataki huyo binti aendelee kukaa hapo karibu. Sasa baba yake polisi akinishuku si atanisogeza hapohapo mahabusu ndo taratibu nyingine zifuate?
   
 2. majany

  majany JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wanawake jamani...wanawake nyieee....hivi unawezaje kuvumilia maisha kama haya????Mimi huwa siwaelewi kabisa,kweli saikolojia yenu ni ngimu sana kielewa....mi nafikiri mkuu huyo mtu fukuzia mbali,au kama unataka kumsaidia saaana,nenda chuoni kwao,kama kuna gender based office za chuo uwape hiyo story...Ingekua UDSM hiyo office ipo,but hivyo vyuo vingine sina uhakika.Huko kwa baba yake naona unataka kujitafutia matatizo usiyoyajua.If I were you,ningemtimua mazima,tena nisingemsaidia teena......pumbaaaf anakulazimisha uumle 0655.....khaaa..
   
 3. NyotaMalaika

  NyotaMalaika Senior Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  dah....wema unaponzaga but just go kwa parents wake ukawaelezee....i advise uende na mtu mwingine lakini,,maybe huyo dada wa jirani ulomshirikisha mwanzo...
   
 4. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jamani next time leo kusoma mistari zaidi ya 6 haipandi kabisa ngoja nikalale nilikuwa mkesha
   
 5. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  wanausalama wetu wanaabuse power who knows atafanya nin,kwa usalama wa hili jambo,sio mbaya watu wa ustawi wa jamii,TAWLA,TAMWA wana moral justificaton ya kulifanya hli,au hata viongozi wa kidni hususan dini ya wazazi wa huyu mdada!
   
 6. peri

  peri JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mkuu shirikisha wadau kama ustawi wa jamii, madokta nk.
  Wao ndo watakuunganisha na wazazi wa huyo binti.
  Inaelekea ameathirika kisaikolojia ndo mana bado anamuona huyo pimbi wake nae ni mwanaume.
  Nakupa big up sana kwa roho yako njema, ni binadamu wa chache wenye moyo huo.
  Wengine wange take advantage na kufanya uchafu.

  Pia kila utakachofanya mueleze mkeo na usimfiche kitu iseje ikakugharimu ndoa yako, ukizingatia bado ni changa.
   
 7. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Just go my dear wala usifikirie matokeo Mungu atakulipia provided mke wako anajua whu else to fear ukipata shida she will be there.hadi machozi yamenitoka da wanaume.Nenda please please.Ila hilol a kuingiliwa kinyume usiseme kwanza baba akishampokea ndo umwambie na kama mnaweza kumpeleka hosp.Aise kumbe bado kuna watu duniani?.Remain blessed
   
 8. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,338
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  Nenda kamuombee arudishwe nyumbani kwa kuwaeleza mtoto wao anapata shinda zikiwemo hizo za kupigwa,kukosa hela ya kujikimu Ila hilo la kuliwa TIGO usiwaeleze wazazi coz watashangaa hadi washindwe kufumba mdogo wiki nzima coz ni jambo zito mno kuelezwa mzazi pia unaweza kuwaachia ugomvi mkubwa wazazi hao kwa kulaumiana kwa nin baba/mama alimfukuza mtoto na pia kama baba ni kamanda sana atakuuliza KUHUSU KUTOBOKA KWA TIGO YAKE WE ULIJUAJE ALAFU UANZE KUJIUMA.written and edited by Billie.
   
 9. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Women, women, us women! Khaaaaaaaa haya bana!
   
 10. J

  JPM605 Senior Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mi ninahoji to which extent mlikuwa mmezoana mpaka awe na ujasiri kukaa room kwako haf naked.La pili ni aina gani ya mtizamo alikuwa nao juu yako mpaka aweze kukuelezea mahitaji yake ambayo ni so akward. Pengine nichelee kuweka wazi tu kuwa yawezekana kulikuwa na aina ya mahusiano ambayo in deed yalcultivate fertile kwa matukio yalofuatia. Nashauri tu ulitazame hilo la aina ya mahusiano yako naye coz huwa naamin mtu anayesaidiwa huwa na mipaka ya kimahusiano na mfadhili wake asije akamuudhi haf mambo yakaharibika. Ni baadaye sana nitashawishika kufikiri kwamba huyo bint alikurupuka na kukufanyia vimbangwa. Hata hivyo ni wazi kuwa kuwa wako vichaa wasojali madhara ya vitendo kama huyo do alivyofanya. Naelewa fika kuwa una nia nzuri.., kumrudisha hm dat manz haitasaidia we mpe sufficient counsilin,tiba na mikwara atabadilika for her good na yako. Naomba kuwasilisha.
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  PettyCash
  Salute!
  Aisee you are big time gentleman, sijui kuna mchango wa MMU hata kidogo? I hope so!

  Wadau wamekushauri vyema, waone wanaojihusisha na unyanyasaji wa kijinsia. If u want naweza kukuPM no ya Ananilea Nkya, she can help pia.

  So sad!
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  PROVERBS 17:9 "He who covers transgression seeks love but who repeats a matter separates friends."
   
 13. Nasema

  Nasema JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Umefanya vema sana kaka kumsaidia bidada hadi hatua hiyo uliyofikia. Taasisi mbalimbali zaweza kukusaidia zaidi. Ila mimi kwa kweli huwa sielewi wanaotoa 0713 huwa wanawezaje, hiyo sehemu nikitoa haja kubwa ngumu tu kunaniuma, je kuingiza dudu si ndio nitajuta! Mbaya!
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kusoma hujui hata picha huoni?

  unamuamini vipi huyo binti na ukweli wake?

  what if alipewa mimba na mtu mwingine na sio huyo?

  what if hakufukuzwa kwao...aliasi mwenyewe?

  what if huyo jamaa sie alie muanzishia huo mchezo ni kenyewe tu vidume

  vyake vya mwanzo?

  what if...

  what if ni kicheche tu mzoefu na wewe umeingizwa mkenge????????????
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Dunia imekuwa ngumu, kuna saa unamsaidia mtu lakini huku unasita.

  Nilichojifunza kwa sasa ni hata kama una nia ya kusaidia, usi-personalise tatizo la mtu mwingine.

  Mwonyeshe njia ya kuafuata but usilifanye lako, kuna saa unajikuta kati kati ya mess ya mtu mwingine na unashindwa kujitoa maana ulishajiingiza sana.

  Kuna movie inaitwa 'a teacher's crime' kuna kitu utapata.

  Kwa hili nawaachia wengine maana ni zito lol
   
 16. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  aisee, ku-deal na mabinti waliopofushwa na mapenzi ya kiuwendawazimu ni kazi kweli kweli
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,584
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa yaliyokukuta. Mie kwa maoni yangu nenda kawaone wazazi wa huyu binti uwaeleze kuhusu physical abuse ambayo binti yao alikuwa akiipata toka kwa huyo BF wake. Mambo yake ya kutoa tigo kamwe usiyagusie kabisa maana hujui reaction yao baada ya kusikia hilo itakuwa vipi. Naamini huruma ya mzazi itawarudia wote na hivyo wawe tayari kumkaribisha tena binti yao nyumbani.
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe hapo ni muhimu TAMWA wakahusishwa kwa usalama wa mtoa mada.
   
 19. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndo napata nguvu kaa loooo jamani kwanini wanawake wanakuwa vichwa panzi 0713 ni kanuni ya wapi kuonyesha upendo je kama akizoea then unamuonyesha na nini tena au ndo utakuwa jini la kwenda kuua adui zake kwa kujidai unaonyesha upendo maadili ya wazi wazi bila haya yanaitajika kwa jamii
   
Loading...