Nywele za kwapani,,,,!

MR.LEO

Senior Member
Jun 10, 2012
129
24
How are u ladies and gentlemen,,,,!

Jamani mwenzenu nimetoka moro ninakoishi na kwenda kumsalimia ndugu yangu anayeishi singida mjini.
Sasa leo j2 mida ya saa nne asubuhi nikiwa kwenye daladala kuelekea maeneo ya mwenge sekondari ndipo nikajikuta nimekaa siti ya pili ya daladala na huku abiria wengine wakiwa wamesimama.
Miongomi mwa abiria hao waliosimama alikuwepo dada mmoja wa ukweli na mwanaume yeyote akimuona basi lazima atataka kumwangalia tena na tena ili kutoyanyima macho yake haki ya msingi ya kuona na kutizama.
Dada ni mrefu,mwili wa wastan,kifua hakijapigwa jeki na vingine vingi.
LAKINI BAADA YA YEYE KUINUA MKONO NA KUSHIKILIA BOMBA NDIPO NIKAONA MSITU WA NYWELE KWENYE KIKWAPA CHAKE NA NI NDEFU ZAIDI HATA YA NCHI TANO.
Nilipomuuza mwenyeji wangu akaniambie eti ni 'FASHION' Sasa mi naomba nijue ukweli wa hili jambo.
 
Umeishapewa jibu na mwenyeji wako, so unataka kujua nini zaidi?
 
Mh! Hii section ngumu subiri wenye kujua zaidi waje
 
Inchi tano unaielewa kweli? Hizo ni sentimita 12.5...unasuka mkia bila ya wasi wasi wowote
 
Huyo dada mie namfahamu, ana ratiba ya kwenda salon kila baada ya majuma matatu....Ukionana naye next week, zitakuwa zimenyonyolewa zoooote
 
Nataka nijue kama hilo jibu nililopewa na mwenyeji wangu lina ukweli na uhalisia?
sasa kama haumwamini aneyfuga mwenywee, utamwamini vipi mtu mwingine ambaye hata kumuona huyo anayefuga kikwapa hajamuona!
 
Wengine nywele za kwapani na hata kule mahali wanazipenda hivyo huomba ziachwe badala ya kuweka kipara.
 
Hata mimi naona uchafu tu. Awe me au ke kufuga nywele sehemu ambayo hewa haizunguki ni uchafu. Huyo ungemsogelea angekuwa ananuka kikwapa na hili joto. Hata kama ana prerfume inakuwa na harufu ya kipekee; perfume+Jasho.

fashion hiyo mimi siitaki.kuachia nywele huko,ni kujinukisha jasho tu.
 
Inch 5, mmmmmmmmmh

Hii kama si story ya kutunga huo ni uchafu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom